Ukweli kuhusu Ndege ya Air Tanzania "kuegeshwa" bila kuruka

Hii ni hata kwenye magari,tunashauriwa kutumia matairi ya magari kwa masaa kadhaa,yakipita hayo masaa basi tunapaswa kubadilisha,lakini kiswahili-swahili watu huendesha tu magari mpaka yanawapasukia na kupata ajali.Usafiri wa anga ni tofauti,mambo ya "safety" ni jambo la kwanza na la muhimu.

Hata hayo matairi ya magari ya ulaya hayapimwi muda kwa masaa bali miaka, na kuna namna ya kusoma ule muda. Yaani ubadilishe matairi ya gari kwa kuzingatia kipimo kidogo cha muda - masaa.
 
Mkuu Barafu uko sahihi kabisa, Unajua limezuka kundi la Watu kwa Media kila Japo wao ni kukosoa tu na Kuombea Tushindwe yani hakuna tena uzalendo, Hata kama kuna kupingana na Mkuu machache lakini sio mpaka issue Technical mtu analeta siasa, Ivi waandisi 50 kweli? Na mtu still ana amini na kuanza kutokwa Povu
 
Naomba kuuliza kwa hiyo ni check C au check D? Kwa hiyo hiyo ndege ipo kwenye hangar terminal 1
 
Hata hayo matairi ya magari ya ulaya hayapimwi muda kwa masaa bali miaka, na kuna namna ya kusoma ule muda. Yaani ubadilishe matairi ya gari kwa kuzingatia kipimo kidogo cha muda - masaa.
Huo ni mfano tu,lengo lilikuwa kujulisha,kama kwenye magari ni "miaka" basi kwenye ndege ni "masaa",ambayo hayo masaa ukiyageuza kwenye siku na miezi,basi unaweza kukuta ni miezi sita au miezi tisa!!Suala la "duration" linabaki palepale
 
Mange anashikia watu akili..amekua overrated sana..yaani atakachopost wanakichukua kama kilivyo hakuna kuhoji...watu hawajiongezi..
 
Mange kasema,...Bado washabiki wa Mange hawakuelewi mpaka yeye mwenyewe Mange atoe kunradhi
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hata mimi pamoja na maelezo marefu ya nguli wa jamiiforums sekta ya usafiri wa anga, al-maaruf barafu bado nashindwa kushawishika na maelezo yake mazuri.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haha amekadilia masaa mangapi toka imefika.

Kweli mkuu ngoja wabadili vipuli au isubili nyingine zinazokuja.
 
Back
Top Bottom