Ukweli kuhusu mume na mke kwenye ndoa

Ukweli kuhusu mume na mke kwenye ndoa

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,485
Reaction score
3,229
Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda.

Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake.

Kama haupo tayari USIOE wala KUOLEWA. Endelea kudanga
 
Mbona kuna wengine wanaoa na kukaa mbali na wake/waume zao sababu za kikazi n.k sasa ngono hapo wanatatua vipi?
 
Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda.

Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake.

Kama haupo tayari USIOE wala KUOLEWA. Endelea kudanga
Sindano ya moto😂
 
Back
Top Bottom