Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
unakumbuka kauli ya kikwete kuwa swala la uraisi ni la familia?, kama ndiyo utakubaliana nami kuwa huyo uliomjibu ni mke wa mwigulu nchemba..
Huwezi hubiri neno la Mungu bila kumtaja shetani!!!
Tatizo hapa JF ukiwambia ukweli CHADEMA unaonekana hauna heshima.
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

Ahaa! Sasa sister Juliana Shonza vipi yeye bado hajafikiriwa pa kuchomekwa? Nayeye kajitahidi kutumika kwa muda mrefu kidogo sasa!
mimi nina Degree but mbowe ana zero form six na ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!!!!!
kura 32000 nilizozipata nikiwa nagombea ubunge kwa tiketi ya chadema ndio zinazokichangia chadema mil nne na laki nane kila mwezi kama ruzuku kutoka mbozi.
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Inajulikana wazi umelipataje na huna haja ya kujisifia kaduka kako ka kuhongwa na mwigulu nasema hivo kwasababu kwa akili ako huwewzi kutafuta mtaji hata kidogo bali kupewa na utafirisika si muda.
mimi nina Degree but mbowe ana zero form six na ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!!!!!
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Watu wema mara nyingi hawana tabia ya kujisifu wao wenyewe bali husubiri kusifiwa. Hata hivyo unajipongeza kwa kumaliza adhabu? aisee. mimi nadhani ulipaswa kuwapongeza Mods kwa kufanya kazi yao ipasavyo.Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe
Kwani ni nani aliekuambia kwamba unamkanganya? au ana maswali yasiyo ya lazma kwako?Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima,Unawahamasisha chipukizi kufanya nini? Kwa mujibu wa kanuni za CCM chipukizi ni watoto wenye umri wa miaka mingapi?Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM)Hongera kwa kuajiriwa. Ninapenda kukuuliza swali moja. Kwa mujibu wa kanuni za UVCCM; Vijana hawaruhusiwi kutoa muongozo wowote kwa chama bali kutekeleza yale yote wanayoagizwa na chama kutoka juu. Je! hii ni kweli? na kama ni kweli; je; kwa maoni yako ni sahihi?na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.Ningependa pia kufahamu kama kitaaluma wewe umesomea masuala ya habari na mawasiliano; au kuna kigezo kingine kilichotumika kukupatia nafasi hiyo.Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCMKwa hiyo hata ufisadi ni haramu kwa CHADEMA na wananchi lakini Halali kwa CCM? au unataka kutuambia nini hapa!Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
........Mambo kama haya ndo yanaifanya CCM inanekane ni kundi la wajinga.....kashfa za kijinga na reja reja kwa watu ambao siasa zako za kinafki na mwigulu haziwafikii hata 1/3 ya siasa walizofanya toka Enzi hizo......punguzeni utoto na ushamba.....ongeeni kama WANAUME wenye akili...sio mipasho kama akina HADIJA KOPA......Kwa mfano hapo ungeweza kujibi kistarabu kwa nini umeacha ualimu ukaenda kwenye siasa.....ila mlivyo wapuuzi najua huwezi kunielewa...pengine hata umeshakimbia huwezi kusoma hapa...Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Kaka naomba unijibu swali langu moja tu. Ina maana UVCCM wanaajiri tu bila kujua kama mtu anajua ilan ya CCM au la?Sio vituko nasema kweli nimeajiriwa toka mwezi wa Tano na nimeamua kusema ili kuondoa mkanganyiko wa kuniuliza kwamba nasema nikiwa kama nani!!!
Na Juliana Shonza ni nani?