Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
- Thread starter
-
- #21
hawa jamaa hawasikiki tena,chezea ccm wewe,umalaya unapohamishiwa hadi kwenye siasa matokeo yake ndio haya..acheni kuendekeza njaa vijana mtapakatwa.
Leo ndo umekuja kusema ukweli! Je, yule Tambwe Hiza yeye ni nani saivi ndani ya CCM? Hajasikika muda mrefu saivi kuna nini kimemtokea?
Ahaa! Sasa sister Juliana Shonza vipi yeye bado hajafikiriwa pa kuchomekwa? Nayeye kajitahidi kutumika kwa muda mrefu kidogo sasa!Sio vituko nasema kweli nimeajiriwa toka mwezi wa Tano na nimeamua kusema ili kuondoa mkanganyiko wa kuniuliza kwamba nasema nikiwa kama nani!!!
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Ushauri wa bure, wattalamu wana sema kila mtu amezaliwa na kipaji ambacho ukikitumia vizuri unakuwa mtu huru kabisa na maisha yanakwenda, sasa jitafute kipaji chako, kitumikie kitakupa heshikma saidi ya kuwa mzazi wa Vccm, ukifuata hili baada ya miaka mitano utarudi kunishukuru, ni muda wa kuamka sas muda unaruhusu, acha kuishi kwa ukibaraka, ili kujiletea heshima kwa girlfriend wako kama unae na ndugu zako, haujazaliwa kutmikishwa ubaya ili kulipwa ushuru usio naheshima tafakari chukua hatuaKwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Sasa hapo nimeelewa tatizo kubwa la ndani ulilo nalo. Dr Stephen Ulimboka ni daktari kitaaluma na anafanya kazi yake ya kutibu wagonjwa lakini pia ni MWENYEKITI wa jumuia ya madaktari. Wewe kazi unayoifanya ya afisa habari ni ya KITAALUMA, ila unaweza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM kwa mfano kwa sio kazi ya kitaaluma.
Pia sasa nimeelewa kuwa hata majukumu yako inawezekana huyajui. Kuwa fair kwa wanaCCM wenzio ingekuwa vizuri ungeweka na JOB DESCRIPTION yako hapa ili wajiridhishe na kuona ni aina gani ya kazi utakuwa unazifanya. Ila zingatia sana ushauri wangu bwana mdogo, kwa umri wako itafikia kuwa na familia, utapata watoto ambao watahitaji kusoma, tena katika shule nzuri tu. Lazima uwaze kuhusu maisha yako ya baadaye kwa kuwa na Job Security, hizi kazi za kupeana zawadi ni mbaya. Kwa mfano siku inatokema Mwigulu aliyekupa hiyo kazi anakuomba JICHO kwa mfano, na ukimpa jicho lako hutaona tena, lakini ukimnyima unarisk nafasi yako, utabaki njia panda na kujutia maisha yako. Njia nzuri ya maisha yako mdogo wangu ni kumuomba akusaidie upate shule ya kufundisha hapa Dar, piga kazi ya ualimu huku ukifanya siasa kama Party time. Kuna leo na kesho mdogo wangu.
Mbona hata FRED MPENDAZOE nae kama siku hizi pia hasikiki vp kuna nini!!!!!!!
Khaa!! Ruzuku ikikata tu kibarua nacho kinaota :bored:Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Mbowe hajawahi kuwa DJ, ila amewahi kumiliki clubs za Disco kuanzia Mbowe Hotels hadi sasa ni Club Billicanas.
Nadhani wakati wakina Kalikali (RIP) wanapiga DISCO pale Mbowe Hotels miaka ile ya 1980s, wewe bado ulikuwa haujulikani.
Tuletee ushahidi wa kuonyesha kwamba Mbowe alikwahi kuwa DJ.
Pia ninaDuka langu pale Mtaa wa ngomati Keko. karibu sana kuna nguo nzuri sana za watoto.