Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Mtela Mwampamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
537
Reaction score
347
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.
hicho kitengo kilikuepo au umepachikwa tu.?

Juliana yeye kapewa kitengo gani au bado anatafutiwa.?
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.

Mkuu leo ni mala ya kwanza nasoma maandishi yako bila kuitaja CHADEMA, Dr Slaa na Mbowe.
Umebadilika sana Hongera kwa kupewa mavyeo huko CCM sasa hauna njaa tena si kama ulivyokuwa Misri eeeh!
 
UVCCM wamekosa mtu wa kumpa hiyo nafasi!! Nilikua nakufuatilia katika kampeni za Arusha na Juliana Shonza,honestly mlikiua chama kwa kuijikita katika personal attack badala ya upembuzi wa sera. Mnatembea na mtu aliyemwagiwa tindikali,sawa laikni ndicho wana Arusha walitaka kukisikia katika muda ule? Mlitumia muda mchache sana kueleza sera na muda mwingi kupaza sauti za kashfa,matusi,ambavyo havikukisadia chama.
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.
aisee tufafanulie kuhusu lile sakata la madiwani 8 Bukoba imekuwaje tena, maana tunaambiwa umoja na mshikamano ndiyo nguzo yenu sasa kimenukaje nukaje huko?

Vipi hicho cheo mbona kidogo sana, waambie wakupe kikubwa kama vipi basi nenda NCCR - Mageuzi kule vyeo ni nje nje, tena uchaguzi wao wa viongozi wiki ijayo.
 
Mkuu unasimamia kitengo hiki.?
uploadfromtaptalk1376547135743.jpg uploadfromtaptalk1376547195628.jpg
Na huyu ndio kamanda wenu.? uploadfromtaptalk1376547398948.jpg
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.

Men are Born ignorant, not stupid. but you seems to be made stupid by CCMnism
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.

Sasa digrii yako ya ualimu na ukuu wa kitengo cha habari vinaendaje?? Wakati uko upinzani ulikuwa ni mmoja wa watu wanaopinga mambo ya kupeana vyeo kama zawadi, halafu na wewe umeangukia huko huko kwenye kupewa cheo kama zawadi, poor you...

Njaa zinaharibu maisha yenu vijana, kama ungekubali kufanya kazi yenye hadhi na heshima kubwa ya ualimu ambayo umeisomea, na ambayo imekulea na kukusomesha, kwa kuwa mama yako alikuwa Mwalimu, usingeingia huku kwenye kudhalilika kwa kupewa tuvyeo twa kijinga kama huto. Kwa taarifa yako ni kuwa siku utakapopingana na aliyekupa hicho cheo (Mwigulu Nchemba) kwa hoja au akuombe kitu ambacho wewe haukubali kumpa jamaa atakufukuza hiyo kazi maana haikutangazwa kokote, umepewa tu kama zawadi na hauna sifa za elimu wala uzoefu wa kuifanya. Kwa kifupi hauna Job Security mkuu...
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
 
Back
Top Bottom