MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 912
Hapa ndio umechefua kabisa mkuu ona: mtu mwenye certificate ya health (ambaye ni Form 4 tu) anapata mshahara mkubwa(i.e 472,000/=) kuliko mtu mwenye degree ya kilimo/livestock au mwalimu, (ambaye anaweza kuwa ni Form six/Diploma holder plus 3 or 4 years of Bsc/BA) anayepata 446,100/ and 469,200/=, respectively. Tatizo langu au letu? ni kwamba kwa nini watu wawili waliograduate mwaka mmoja na Qualifications sawa , say MA Finance, Mmoja akaajiriwa TRA na Mwingine TANESCO wanalipwa mishahara tofauti?
elimu na kilimo ndo mishahara midogo zaidi
Mimi sikubaliani na wewe kabisaa. umesahau kuwa uwe kwenye shirika la umma, taasisi yoyote ya serikali, serikali za mitaa au serikali kuu na kada nyingine yoyote ya serikali, wote mnalipwa kwa kutumia fedha za umma ambazo asilimia kubwa hutokana na kodi za wananchi. TOFAUTI ZA MISHAHARA KWA KAZI ILEILE, KIWANGO KILEKILE CHA ELIMU NA UZOEFU ULEULE NI KIKUBWA MNO HASA UKILINGANISHA NA MISHAHARA YA MASHIRIKA YA UMMA. tofauti zapaswa kuwepo lakini sio kwa kiwango kikubwa namna hiyo tena kuwe na vigezo maalumu vinavyotumika kufikia tofauti hizo. hay sasa mwangalie Dactari wa degree akiajiriwa na TBS uone mshahara atakao anza nao. kweli sungura ni mdogo ila hatugawani sawaAsalaam Wana-JF,
Nikiwa kama Mtumishi Serikalini na ambaye ninahusika na masuala ya Mishahara ya Watumishi, nimesikitishwa na namna ambavyo baadhi ya wadau wanavyojaribu kupotosha umma kuhusu mlinganyo wa mishahara ki-sekta!
Hivyo nachukua fursa hii kuleta ukweli kuhusu tofauti ya viwango hivyo ki-sekta/ki-kada. Angalieni kiambatanisho mtaona summary niliyoiandaa ambayo inatoa picha halisi kuhusu viwango hivyo! Viwango hivi ni kwa watumishi wanaoanza kazi (vyeo vya kuanzia).
NB:
Summary hii ni kwa mujibu wa waraka wa mishahara serikalini wa mwaka 2011/2012, sikuweza ku-attach waraka huo kwani una muhuri wa "Confidential".
Thanks!
Ni kweli kabisa na huo ndio udhaifu wa serikali yetu maana hakuna mantiki kabisa ya mishahara ya watumishi wenye sifa zinazofanana kupata mishahara tofauti ati kwa sababu huyu yupo sekta ya umma na huyu yupo taasisi, lakini wote pesa zinatoka hazina.Mimi sikubaliani na wewe kabisaa. umesahau kuwa uwe kwenye shirika la umma, taasisi yoyote ya serikali, serikali za mitaa au serikali kuu na kada nyingine yoyote ya serikali, wote mnalipwa kwa kutumia fedha za umma ambazo asilimia kubwa hutokana na kodi za wananchi. TOFAUTI ZA MISHAHARA KWA KAZI ILEILE, KIWANGO KILEKILE CHA ELIMU NA UZOEFU ULEULE NI KIKUBWA MNO HASA UKILINGANISHA NA MISHAHARA YA MASHIRIKA YA UMMA. tofauti zapaswa kuwepo lakini sio kwa kiwango kikubwa namna hiyo tena kuwe na vigezo maalumu vinavyotumika kufikia tofauti hizo. hay sasa mwangalie Dactari wa degree akiajiriwa na TBS uone mshahara atakao anza nao. kweli sungura ni mdogo ila hatugawani sawa
Tanzania Government Salary Scales for Teachers, Health
Sector and Other sectors as of 2011/2012
TGHS B1 - 472,000/=
TGHS C1 - 682,000/= Health Sector (Certificate, Diploma & Degree consecutively)
TGHS D1 - 792,200/=
TGTS B1 - 244,400/=
TGTS C1 - 325,700/= Education Sector (Certificate, Diploma & Degree consecutively)
TGTS D1 - 469,200/=
TGS B1 - 221,600/=
TGS C1 - 309,800/= Other sectors, incl. Agriculture & Livestock
TGS D1 - 446,100/= (Certificate, Diploma & Degree consecutively)