kwani hoja iliyopo ni ipi daktari?inakuwaje mnahamia kwa PM Pinda badala ya kujadili hoja iliyopo mbele yetu?
Hoja iliyopo kwenye huu Uzi ni ya Pinda kudanganya Bungeinakuwaje mnahamia kwa PM Pinda badala ya kujadili hoja iliyopo mbele yetu?
pole sana. siungani na pande zote hizo mbili, nasimamia ukweli!Hoja iliyopo kwenye huu Uzi ni ya Pinda kudanganya Bunge
Na hii wamethibitisha wenzako waliohojiwa Channel 10, una hiyari ya kuungana na CCM mwenzako Pinda ukawatosa madaktari wenzako, au kinyume chake!!
inakuwaje mnahamia kwa PM Pinda badala ya kujadili hoja iliyopo mbele yetu?
Yeyote mwenye akili atawaelewa madaktari na kuwaunga mkono!
pole sana. siungani na pande zote hizo mbili, nasimamia ukweli!
pole sana. siungani na pande zote hizo mbili, nasimamia ukweli!
mi wala sina shida ya kuhesabiwa na wewe wala na yeyote yule kwa kuwa sina shaka na udaktari wangu, mimi ni daktari tu hata kama wewe hutonihesabu. uwezo wako ni mdogo sana maana umeshindwa hata kusoma between the lines na kuelewa nilimaanisha nini...kiongozi!ongea basi kama kiongozi msomi,hoja gani iliyopo mbele yako?kama ni hoja ya madaktar huwezi kujadili hoja ya madaktar bila kuitaja serikali,na tayari PM alisha toa matamko ambayo leo yanadhihirishwa na madaktar kuwa ni uongo.Pinda amekua ni muongo,Pinda anasifa ya uongo,hajui dunia ya sasa ni kama kijiji.
Wala wewe katika madaktr sikuhesabu wewe unatabia ya unafiki,uliusubili uwazi kwa hamu hadi ulianza kuwasalit wenzako ukitegemeb utapewa zawadi ya uwazir,hufai mtini,shimon,nchikav wala majini.