Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

Serikali ilitumia kiasi cha 7Billion kupeleka wagongonjwa nje wakati ilitumia 5 billón kuendesha hispitali kubwa ya muhimbili, mbeya, bugando na Kibongoto this is another silly session.
 
wanadi wakotayari kukaa meza moja na serikali ila iwe na dhamira ya kweli kutatua matatizo ila kutishana na ku2mia mahakama ni kukwepa tatzo sio suluhu ya tatizo ila wakae wajadiliane na ndipo suruhu itapatikana
 
Kipindi kizuri na General ameweza kukiongoza kwa ufasaha kwani ni mmoja wa magwiji kwenye fani hii. Kifupi madaktari mmeweza kufikisha ujumbe kwa wale wanaopenda maendeleo ya watanzania lakini mkwamo wa mawazo kwa baadhi ya watanzania hasa mchangiaji mmoja unaonyesha ni kwa kiasi gani bado tunasafari ndefu kuifikia nchi ya ahadi. Kama mtu anahoji suala la hospitali za mashirika ya dini kupewa ruzuku angetumia muda mfupi tu kutambua idadi yahospital za rufaa hapa nchini ambazo ni za serikali. Pia tutambue kuwa kunabaadhi ya maeneo hakuna hospitali za serikali bali ni watu wa dini ndo wameweza kufikisha huduma kwa wanajamii.WATANZANIA TUBADILIKE KWA MADAKTARI WANATUFIKISHIA UJUMBE ULIO WAZI TUFANYE MAAMUZI SAHIHI KUHUSU AFYA ZETU TUSIRUHUSU WASANII KUCHAKACHUA UHAI WETU
 
inakuwaje mnahamia kwa PM Pinda badala ya kujadili hoja iliyopo mbele yetu?
Hoja iliyopo kwenye huu Uzi ni ya Pinda kudanganya Bunge
Na hii wamethibitisha wenzako waliohojiwa Channel 10, una hiyari ya kuungana na CCM mwenzako Pinda ukawatosa madaktari wenzako, au kinyume chake!!
 
pole sana. siungani na pande zote hizo mbili, nasimamia ukweli!
 
inakuwaje mnahamia kwa PM Pinda badala ya kujadili hoja iliyopo mbele yetu?

kiongozi!ongea basi kama kiongozi msomi,hoja gani iliyopo mbele yako?kama ni hoja ya madaktar huwezi kujadili hoja ya madaktar bila kuitaja serikali,na tayari PM alisha toa matamko ambayo leo yanadhihirishwa na madaktar kuwa ni uongo.Pinda amekua ni muongo,Pinda anasifa ya uongo,hajui dunia ya sasa ni kama kijiji.

Wala wewe katika madaktr sikuhesabu wewe unatabia ya unafiki,uliusubili uwazi kwa hamu hadi ulianza kuwasalit wenzako ukitegemeb utapewa zawadi ya uwazir,hufai mtini,shimon,nchikav wala majini.
 
Yeyote mwenye akili atawaelewa madaktari na kuwaunga mkono!

Aisee hata mimi niliyetoroka mirembe nimewaelewa sana Drs. I hope kesho magazeti yetu yatayapa kipaumbele haya majadiliano ya leo ili wananchi wengi waweze kujua ukweli.
Hata mchumi Grade I wa BOT ataweza kuona pumba wanazofanya hao waajiri wake pale Lumumba
 
kiongozi!ongea basi kama kiongozi msomi,hoja gani iliyopo mbele yako?kama ni hoja ya madaktar huwezi kujadili hoja ya madaktar bila kuitaja serikali,na tayari PM alisha toa matamko ambayo leo yanadhihirishwa na madaktar kuwa ni uongo.Pinda amekua ni muongo,Pinda anasifa ya uongo,hajui dunia ya sasa ni kama kijiji.

Wala wewe katika madaktr sikuhesabu wewe unatabia ya unafiki,uliusubili uwazi kwa hamu hadi ulianza kuwasalit wenzako ukitegemeb utapewa zawadi ya uwazir,hufai mtini,shimon,nchikav wala majini.
mi wala sina shida ya kuhesabiwa na wewe wala na yeyote yule kwa kuwa sina shaka na udaktari wangu, mimi ni daktari tu hata kama wewe hutonihesabu. uwezo wako ni mdogo sana maana umeshindwa hata kusoma between the lines na kuelewa nilimaanisha nini...
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom