Usituzuge, unajua kwamba ukiwagusa serikali tu watakubana kwenye jina la kufoji, Said Bagaleunafiki wangu umekujaje tena hapa? kwanza hapa mimi siyo hoja wala siyo topic, jadili hoja kaka
pole sana. siungani na pande zote hizo mbili, nasimamia ukweli!
inakuwaje mnahamia kwa PM Pinda badala ya kujadili hoja iliyopo mbele yetu?
pole sana. siungani na pande zote hizo mbili, nasimamia ukweli!
Siungi mkono Mgomo wa Madaktari.....Wamejaa tamaa, jeuri, wanatumiwa na hawana uzalendo.
siungi mkono mgomo wa madaktari.....wamejaa tamaa, jeuri, wanatumiwa na hawana uzalendo.
Naomba ninukuu, thread inasema, [h=2]"kumbe pinda alidanganya bunge..!! wasikilize madaktari channel 10"[/h]Nadhani tunamzungumzia pinda alivyopotosha jamii, nikimaanisha moja ya key word ni 'pinda' kwahyo tunarudi pale pale kwamba tunayemwongelea ni pinda a.k.a waziri mkuu.mi wala sina shida ya kuhesabiwa na wewe wala na yeyote yule kwa kuwa sina shaka na udaktari wangu, mimi ni daktari tu hata kama wewe hutonihesabu. uwezo wako ni mdogo sana maana umeshindwa hata kusoma between the lines na kuelewa nilimaanisha nini...
Hili swali zuri sana ungekuwa specific zaidi kwamba kwani yeye ameenda wapi baada ya kuhitimu MD? Tatizo ni nini kama alikuwa na mpango wa kuwa na MBA, sidhani palikuwa na haja ya kuingia MD.mkuu mimi siwezi kukushambulia kabla sijakusikia unacho maanisha. sasa mkuu ukweli ni upi? sababu madaktari wanalalamika kwamba hawajatekelezewa kitu chochote.
serikali ilipoleta mapendekezo yake madoctor waliomba yakafanyiwe marekebisho na wakaipa serikali wiki mbili kabla ya mgomo.
kifaa cha t scan hakifanyi kazi huu ni mwezi wa saba.
wahitimu wa udoctor wanaenda wapi baada ya kuhitimu?. Mia
pole sana. siungani na pande zote hizo mbili, nasimamia ukweli!
Siungi mkono Mgomo wa Madaktari.....Wamejaa tamaa, jeuri, wanatumiwa na hawana uzalendo.
usisahau hii kashfa mpya ya bn 303 waklizoficha swiss bank hiyo ingeweza kununua vitanda vingapi??uzalendo gani unautaka wewe? Kwa haraka haraka unataka warisk maisha yao? Sababu hakuna vitendea kazi mfano hai wataweza kutibu vipi WAgonjwa WALIO LALA chini? Sababu hakuna vitanda, wale viongozi wa serikali ambao ndo wanaDAI Uzalendo, wanaidhinisha hela ya kununulia mashangingi ili waendee ofisini, lakini hela ya kununiua vitanda vya hospitalini hakuna. Tunataka serikali iboreshe hospitali. Usifikiri vitu vizuri vya halali vinakuja kirahisi. UDHAIFU WA WATAWALA MISONGE, LAKINI USISAHAU UKWELI NI UHURU