Ukweli kuhusu malipo ya dowans

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Wakuu habari za jioni, kipindi cha mwezi au miezi miwili iliyopita kulikuwa na mjadala uliopamba moto kwenye vyombo vya habari, wanasiasa na hata humu JF kuhusu malipo ya dowans na gafla sijaisikia tena je ishalipwa kimyakimya au serikali imegoma?yeyote mwenye kujua kuhusu hili pls atujulishe.

Nawakilisha
 
Yeah, kwa anayejua atujuze. Nakumbuka mjadala wa dowans uliuawa na ujio wa Babu wa Loliondo na kikombe chake na wengine waliomuiga. Hatimae imejulikana pamoja na kwamba kikombe cha babu wa Loliondo hakina madhara kama serikali ilivyosema!! waliokunywa bado ni wagonjwa. Pamoja na kujulishana kuhusu deni tulilokuwa/tunalodaiwa na dowans, tuambiane pia kuhusu hali ya mtoto wa dowans yaani ile kampuni iliyonunua mitambo ya dowans
 
Wakuu habari za jioni, kipindi cha mwezi au miezi miwili iliyopita kulikuwa na mjadala uliopamba moto kwenye vyombo vya habari, wanasiasa na hata humu JF kuhusu malipo ya dowans na gafla sijaisikia tena je ishalipwa kimyakimya au serikali imegoma?yeyote mwenye kujua kuhusu hili pls atujulishe.<br />
<br />
Nawakilisha
<br />
<br />
Mlilema na babu wa loliondo wakalipana shwa shwa! Dead story
 
Back
Top Bottom