Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,157
- 14,119
Yeah ni kweli... Ila unaendaje kama mbeba boksi sasa... Unapata visa ipi... Na Trump huyu.Marekani ukienda kama professional Kuna unafuu, lakin ukienda kama mbeba box jiandae kwa msoto wa maana
Mis you!Yap yap
Me 2Mis you!
Youtube kuna hizi series za 'cross border to canada'Hii sehemu ya tatu ndio umethibitisha kuwa hii ni bonge la chai
Ukiwa kwenye Det
Yaani na kuna watu wamemtetea kweli na kumuamini.Youtube kuna hizi series za 'cross border to canada'
Yaan mleta uzi anavyohadithia ndo mtiririko hivi hivi[emoji28][emoji15]
Mi nachoshangaa kuna some crucial info's hazingumzii kabisa[emoji848]
[emoji23][emoji23]Siku nakanyaga Marekani, aisee watanirudisha bongo labda nikiwa nime-dead..!
Niache kuonana na akina toni braxton,akina jhene aiko..nirudi bongo kufanya nini!
Nimetumia hii trick ya kwenda kutalii SA, Pass yangu inashughulikiwa. Hii ni kweliAndaa document nyingine zooote kisha waambie unaomba passport kwa ajili ya kuitumia kuomba scholarships au waambie unaenda kutalii sehemu kama south africa. Hautahitaji barua ya mwaliko
Sent using Jamii Forums mobile app