OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,914
Tunaishi katika mfumo mbovuHIZI HEKAYA ZIPO MIAKA NENDA RUDI ILA MAISHA YANASONGA KAMA KAWAIDA
Mwanamke kuomba omba pesa inatokana na mfumo tunaoishi, hata awe na kila kitu atakuomba tu,kwel kabisa
Binadamu hatuwezi kufanana, ila majina yanaweza kufanana, binadamu wote sio sawa, isipokua kila mtu anasifa yake ya kipekee, jina haliwezi kuwa na msaada wowote kwa mtu isipokua hutumika kama kiwakilishi tu.R.I.P real Luckdube
Science improve nani yupo juu ya mwenzake?
Wakina sir Newton,Galileo,Louis Pasteur, Charles Darwin, Albert Einstein,Otto hahn wanyamaaaaaaa wakina Nicole Tesla, Aristotle, Faraday, Mendeleev enzi hizo wanafanya vikao vyao hawakutaka sio tu mwanamke auzuliwe vikao vyao Basi hata kuwa mhudumu tu waku wakuhudumia maji ya Kilimanjaro..
Mwanamke Ni chanzo Cha uhai hiyo Ni heshima kubwa sana na ibakie hivyo milele na milele.
Ukija na hoja za mwanamke Ana akili kuliko mwanaume au yupo juu ya mwanaume basi tunakuwa tunawatukana wazee,magwiji,ma-guru,mababu walioleta mwanga kwenye hii dunia.
Namalizia kwakusema pole najua mapenzi yanakutesa ndo Mana umekuwa mwanafilosofia
Hakuna anayeteseka isipokua nataka niwasaidie watu waishi kwa amani,Science improve nani yupo juu ya mwenzake?
Wakina sir Newton,Galileo,Louis Pasteur, Charles Darwin, Albert Einstein,Otto hahn wanyamaaaaaaa wakina Nicole Tesla, Aristotle, Faraday, Mendeleev enzi hizo wanafanya vikao vyao hawakutaka sio tu mwanamke auzuliwe vikao vyao Basi hata kuwa mhudumu tu waku wakuhudumia maji ya Kilimanjaro..
Mwanamke Ni chanzo Cha uhai hiyo Ni heshima kubwa sana na ibakie hivyo milele na milele.
Ukija na hoja za mwanamke Ana akili kuliko mwanaume au yupo juu ya mwanaume basi tunakuwa tunawatukana wazee,magwiji,ma-guru,mababu walioleta mwanga kwenye hii dunia.
Namalizia kwakusema pole najua mapenzi yanakutesa ndo Mana umekuwa mwanafilosofia
Mimi nadread original kabisa a?Na wewe mwanamke na degree yako kwanini uvae wigi? Kwanini uweke kucha za bandia ? Huo ni mtego mliowekewa ili muishi kwa kutokujiamini.
Huu ndio mfumo mbovu ninao uzungumzia, mwanamke anafundishwa kua mtumwa wa mwanaume tangu akiwa mtoto mdogo, na anafundishwa kumtegemea mwanaume, hivyo basi ukiombwa pesa usiwe unalalamika,Mwanaume anapokuwa mwanaume mwanamke lazima akimbilie jikoni haraka
Vizuri, ila wengi hawajitambuiMimi nadread original kabisa a?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Vizuri, ila wengi hawajitambui