Wadau, inawezekana kweli alichokichambua jamaa ni kweli lkn kabla uamuzi wa rais, inasemekana preliminary investigation ilifanyika na jamaa wamekutwa na mali nyingi sana. Pili, ajira nida ni za kujuana, watu wameajiriwa pale ndugu, halafu mkuu wa kaya wa NIDA inasemekana kila mzuri ilikuwa halali yake. je utampata mzuri bila chenji? Tusidanganyane, mimi namwamin sana Magufuli, wanaodai anakurupuka hawajamwelewa utendaji wake wa kazi. Unajua kunusa, kuhisi, kusogea na kuangalia na kuchukua hatua. ndo maana wale hawajawekwa mahabusu kama mafisadi wa Bandarin. Tusubir tuone.....