Ukweli kuhusu kutongoza

mkuu its very easy to have beautiful girls like what you think.

swissme
Mbona sasa unazungusha sana maada...?! Hiyo ndo mistari? Hapa nilikuwa nimeshaandaa kalamu na karatasi kwa ajili ya kuanda nondo ili cku nikimtokea demu nisikose ya kumwambia. Sasa mmh..!!
 
Mbona sasa unazungusha sana maada...?! Hiyo ndo mistari? Hapa nilikuwa nimeshaandaa kalamu na karatasi kwa ajili ya kuanda nondo ili cku nikimtokea demu nisikose ya kumwambia. Sasa mmh..!!
hahahaha .je unataka demu unayemjua au ndio mara ya kwanza kuonana nae.

swissme
 
Teh! Teh! Teh! Umekutana na mengi mkuu. Teh!
 
We ukimwona mwonyeshe hela tu mpe atm card yako na password
Atakupendaje...
Tuletee mlejesho
 
Reactions: R.K
Cjui wakaka wengne uwaga wanawaza nini,
Kuna likaka lilianiambia " we ni mzuri hata wakina wema sepetu na jackline uwoya hawajakufkia"
Afu akaongeza "mtoto mzur ngekuwa na gar ngekuachia funguo, hufai kutembea na miguu"
 
Kiukweli mimi siwezagi kukaa na demu alafu kuanza kumwambia ila mademu zangu wote niliowahi kuwa nao inatokea tu tunapendana then anakuwa wangu na nimeshazoea vibaya siwezi tena kutongoza
 
siku hizi hatutongozi tunapiga field kwanza
 
Ila kusema ukweli ni raha sana kutongozwa na mtu anaejua kutongoza yani unatamani asichoke awe anaendelea tu kukutongoza kila siku
 
Ila kusema ukweli ni raha sana kutongozwa na mtu anaejua kutongoza yani unatamani asichoke awe anaendelea tu kukutongoza kila siku
Ahahahahaha unapeeeenda kusifiwa enhee.
 
kuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake

Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
Sana yani hata kama ulikuwa unamzimiaga unaghairi..... Au yule wa sisi wote wakubwa twende ukanipe basi
Chefuuuuu
 
Na kuna wale wa hivi siku zote hizo bado hujaelewa tu nia yangu? Hivi nikufanyieje mpaka unielewe ( sasa anataka wewe ndo umfundishe kutongoza lol)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…