Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 752
haaa haaa kwan ulitaka akuambiaje? Mimi nakuchana live nimevutiwa na wewe na ninaomba compani yako kuspend na kushirikiana kwenye maisha n so on. ata ivyo siku iz kupitia story unajikuta ushamtongoza mtukuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake
Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
Mkuu ni kweli kabisa!Wanawake wa siku hzi hawatongozwi wanakuja wenyewe we una score tu.
Ni jinsi unavyojiweka...play like ur the prize/trophy to be won utaja niambia. Otherwise mtaishia kurusha vocha tu wenzio wala. Tehe
Tongozo za kipendwa hizo..Vipi ulimkubalia?kuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake
Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
Nilitamani angekua pembeni nimpige Kofi kwenye upara wake kama sahaniTongozo za kipendwa hizo..Vipi ulimkubalia?
Tongozo la kifwara sana hilohaaa haaa kwan ulitaka akuambiaje? Mimi nakuchana live nimevutiwa na wewe na ninaomba compani yako kuspend na kushirikiana kwenye maisha n so on. ata ivyo siku iz kupitia story unajikuta ushamtongoza mtu
ebu nifundshe la kijanjaaa. maana najua yupo ambae akikuambia tu mambo unaanza kulowaTongozo la kifwara sana hilo
Yani mitongozo ingine ni kujishushia heshima tuHa haaa tena siajabu hapo amejikakamua mpaka mwisho
Huyo ndio poyoyo kabisa! Alidhani hujamstukia. Wanavua ili watongoze vizuri....Yani mitongozo ingine ni kujishushia heshima tu
Kuna boya mwingine nae nlimkuta kwenye ofisi moja eeh tumesalimiana ana Pete ya ndoa akasema anakuja kunihudumia kurudi kavua Pete kabaki na alama sijui Pete alivaa kabla ya uhuru..... Nilimuona bolizozo kweli mxyuuuu
Sijui nani kamwambia anataka ndoa ovyo sanaHuyo ndio poyoyo kabisa! Alidhani hujamstukia. Wanavua ili watongoze vizuri....
Ni kuacha tu u much know ha ha haebu nifundshe la kijanjaaa. maana najua yupo ambae akikuambia tu mambo unaanza kulowa
Kama ulimuelewa alichamaanisha ungekubali tu.kuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake
Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
Hahaha gelofriend nimechekaje. Hawa ndugu wanajikutaga wajanja while unaona kidole kimeshaweka kabisa alama ya peteYani mitongozo ingine ni kujishushia heshima tu
Kuna boya mwingine nae nlimkuta kwenye ofisi moja eeh tumesalimiana ana Pete ya ndoa akasema anakuja kunihudumia kurudi kavua Pete kabaki na alama sijui Pete alivaa kabla ya uhuru..... Nilimuona bolizozo kweli mxyuuuu
MabwePandekuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake
Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
Agrrrr tongozo la hivo linakata stimuKama ulimuelewa alichamaanisha ungekubali tu.
Mkwanja alikuwa nao au?Agrrrr tongozo la hivo linakata stimu
Daaah umenikumbusha mbali, jamaa mwenye hilo jina alikua bonge la mchezaji..Yani mitongozo ingine ni kujishushia heshima tu
Kuna boya mwingine nae nlimkuta kwenye ofisi moja eeh tumesalimiana ana Pete ya ndoa akasema anakuja kunihudumia kurudi kavua Pete kabaki na alama sijui Pete alivaa kabla ya uhuru..... Nilimuona bolizozo kweli mxyuuuu
kweli mkuuivi wanawake wametengeneza formula ya kutongoza? bas waiandike na waitangaze ili ifuatwe
Ngoja ni googleMkwanja alikuwa nao au?
Itakuwa vyema.Ngoja ni google