Ukweli kuhusu kujenga ukweni.

nazungumza kama hamna nyumba kama ukweni kwangu lipo bwangaloo sasa unajenga tena ya nini misuse ya resources ,kama unaweza lala kwenye nyumba za wageni sehemu yyte ni zaidi ya kulala kwenye nyumba ambayo ukitoka wifi analala huko.all in all umaskini wetu ndio unapelekea haya .shikamoo dada yangu gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
hahaahhahhahhaahahah! inahuuuuuu sasa?? kazi nafanya halafu wazazi wangu walalie mbavu za mbwa kisa nini??

lulerumwa eleri lwerumwa ishe oka samana foo yaa muriny.

cc Smile, Prisoner 64446

Halafu kiwanja cha kupewa bureeeeeeee, kwa nini nigharamie cha kununua wakati wakwe wamenizawadia kazi ni kuanza msingi wa nyumba tu.
 

marahabaa mamii mzima wewe??
ni kweli kwamba umaskini wetu ndio sababisho la haya yote mpendwa wangu.
 
kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara

bujibuji unamaanisha kuwajengea nyumba wakwe au, kumbuka hao ni wazazi wa mkeo , we hujengei wa kwako, au umemaanisha vingine
 

hapo ticha ulijenmga ukweni only bcoz upate pa kufikia bt c kuwajengea wazazi dats y huoni sababu kuwajengea wazazi wako coz unapo pa kufikia
 
kujenga ukweni is very possible, lakini kwa mipangilio maalum. mna nyumba yenu mjini nzuri hamjapanga, mwanaume wazazi wake kijijini wako vyema pia. Sasa ili familia zifanane unaamua sasa kujenga ukweni ili wakwe zako nao wafarijike. Lisije litatokea la kutokea, basi pa kuingilia mkakosa sababu nyumba hakuna. sio ile bismillahi, basi nyumba ya kwanza unaanza kwa wakwe... mmhhh... hapo hata mimi ni mwanamke lakini siafiki. umeoa au umeolewa ???
 
hapo ticha ulijenmga ukweni only bcoz upate pa kufikia bt c kuwajengea wazazi dats y huoni sababu kuwajengea wazazi wako coz unapo pa kufikia
kwani tunasemea kujenga nyumba ya kwenu ama ya nani??
binafsi nimechukuli kama kujenga nyumba yangu na mume wangu. but rejea post yangu ya kwanza kwenye huu uzi, wazazi wangu hawawez kulalia mbavu za mbwa na mm nikiwa na uwezo. kama hawana nyumba bora nitajenga tena kwa kiwango kizuri sana.

sitajenga nyumba ukweni kama kuna nyumba na inatosha kuwaweka watu, ila kama haitoshi nina sababu ya kujenga nyumba.
 
Tuseme umeshajenga mjini unakoishi na mkeo. Ukijenga kijijini kwenu nyumba ya kufikia mkienda home, wewe mwanaume; mwanamke naye akadai kwamba ujenge na kwa wazazi wake utamjibuje?
 
BONGOLALA mademu wa kichagga na kimakonde wepi noma?
Nasikia ukioa Mmakonde, ukaenda Mtwara kikazi, basi imekula kwako, kurudi kwenu ni sawa na embe lililoanguka ulirudishe mtini.

Umenikumbusha kuna jamaa angu ni mfanyabiashara alioa Mtwara alikuwa anamiliki maduka 3 akaoa mmakonde mtaa wa pili mbona kafilisika sasa hivi anauza sigara na karanga mtaani hao sio mkuu Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Tuseme umeshajenga mjini unakoishi na mkeo. Ukijenga kijijini kwenu nyumba ya kufikia mkienda home, wewe mwanaume; mwanamke naye akadai kwamba ujenge na kwa wazazi wake utamjibuje?

Mi nakataa kwa sababu mke wangu ameolewa hivyo ukweni hana chake
 
Bado sijawapata vizuri, mfano umeoa Mwanza wewe kwenu Dodoma. Ukajenga Nyumba yako Mwanza, sio kuwajengea wakwe zako. huu ndio mjadala wa Bujibuji au ni vipi. Kuna kosa gani hapa? Kama ni kuwajengea wazazi wenu wote ni kosa? au ulikuwa unamaanisha kuishi nyumba ya wakwe zako? Yaani nisijenge DSM kwasababu nimeoa DSM? EEh Sijaelewa ?
k
 
Umenikumbusha kuna jamaa angu ni mfanyabiashara alioa Mtwara alikuwa anamiliki maduka 3 akaoa mmakonde mtaa wa pili mbona kafilisika sasa hivi anauza sigara na karanga mtaani hao sio mkuu Bujibuji
Umkondo wa Swize kabla ya kuoa unatakiwa umtangulize Mungu, wanawake wengine wana mikosi, na wengine wana pepo la ufukara.
Haya mambo si rahisi rahisi aiseeee
 
Last edited by a moderator:
Kimbojo, kwenda kujenga kwenye eneo la wakwe zako wakati wewe mwenyewe huna hata kiwanja
 
Last edited by a moderator:

:A S 39: kumbuka baba ni kichwa cha familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…