Ukweli kuhusu kile kinachoitwa ongezeko la vibamia

Nawashangaa mkiitwa vibamia mnavyoumia kwanini msijikubali??? Mpo kama ke wenye flat screen akisikia chura inavyosifika huyo anaenda kununua vigodoro au madawa nae apate chura

Ukiona maumbile madogo unaenda kuyaongeza na hapo ndo mwanzo wa tatizo zamani mlitucheka na sie kujichubua au kujiongezea makalio kwa kusema tuna akili ndogo saiv hatuchekani

Mshana si kwamba wanaume 25-30 wana vibamia mwanaume akishabalehe ukubwa wa umbile lake inategemea na genes zake kuna wenye 40 na wana vidogo au wastani wenye 23 ana hogo la maana

Kuzaa si mwanzo wa kuwa na bwawa kwani zamani hawakuzaa??? Aina yetu ya maisha kwa sasa inachangia kuleta mabadiliko makubwa katika miili yetu km dildos urembo ulopitiliza nasikia na njia za uzazi wa mpango nazo zinaharibu mfumo wa kiasili ukeni vyakula vya viwandani navyo si salama sana, tabia za kubadilisha wanaume ktk umri mdogo nayo inapanua njia, utoaji mimba tena mara kwa mara inaharibu njia

Kwanza vibamia ni vitamu mno kuliko hiyo migobole nshasema sana humu kuhusu utamu wa bamia( sio vile vyenye unyafuzi maana kuna watu hawanielewi hapa) bamia inayozungumzwa inajulikana sana tu

Kwa wanawake ukitoka leba fanyeni zoezi la kegel mara kwa mara kwa muda mrefu hata km hujazaa lkn unaona njia yako imeshatanuka na kulegea hili zoezi lina siri kubwa ya kurudisha maumbile ya kike uimara wa misuli na mbano wake
Vizuri sana.... Wape somo wenzio,ili kibamia lisiingie kwenye kamusi...
 
Naunga mkono hoja!
Kingine ni tabia ya sisi wanaume kutumia vumbi la Kongo kwa lengo la kuwakomoa wanawake mnapokuwa wapenzi!
Sasa siku akija kuolewa na bwana ambae masikini hajui maswala ya vumbi la Kongo ndo mwanamke anaanza kuhisi Jamaa ana kibamia......

Wadada epukeni majamaa wanaotumia Viagra Na mkongo labda km huna mpango wa kuolewa
 
Mkuu viagra na vumbi la kongo vinahusiana na performance tu. Suala la maumbile hubaki vilevile.
 
HILI JAMBO NILILIONA MAPEMA SANA MKUU.VIBAMIA SIO VINGI MTAANI ILA MAUMBILE YA HAWA WENZETU YAMEKUWA MAKUBWA MNOO NDO MANA VIBAMIA VINAONGEZEKA.
Na wao kuficha aibu wanajificha kwenye kivuli cha vibamia kumbe wao ndo tatizo
Hivi ongezeko la mabwawa linasababishwa Na nini?
 
Nawashangaa mkiitwa vibamia mnavyoumia kwanini msijikubali??? Mpo kama ke wenye flat screen akisikia chura inavyosifika huyo anaenda kununua vigodoro au madawa nae apate chura

Ukiona maumbile madogo unaenda kuyaongeza na hapo ndo mwanzo wa tatizo zamani mlitucheka na sie kujichubua au kujiongezea makalio kwa kusema tuna akili ndogo saiv hatuchekani

Mshana si kwamba wanaume 25-30 wana vibamia mwanaume akishabalehe ukubwa wa umbile lake inategemea na genes zake kuna wenye 40 na wana vidogo au wastani wenye 23 ana hogo la maana

Kuzaa si mwanzo wa kuwa na bwawa kwani zamani hawakuzaa??? Aina yetu ya maisha kwa sasa inachangia kuleta mabadiliko makubwa katika miili yetu km dildos urembo ulopitiliza nasikia na njia za uzazi wa mpango nazo zinaharibu mfumo wa kiasili ukeni vyakula vya viwandani navyo si salama sana, tabia za kubadilisha wanaume ktk umri mdogo nayo inapanua njia, utoaji mimba tena mara kwa mara inaharibu njia

Kwanza vibamia ni vitamu mno kuliko hiyo migobole nshasema sana humu kuhusu utamu wa bamia( sio vile vyenye unyafuzi maana kuna watu hawanielewi hapa) bamia inayozungumzwa inajulikana sana tu

Kwa wanawake ukitoka leba fanyeni zoezi la kegel mara kwa mara kwa muda mrefu hata km hujazaa lkn unaona njia yako imeshatanuka na kulegea hili zoezi lina siri kubwa ya kurudisha maumbile ya kike uimara wa misuli na mbano wake
Wonderful reply, asante sana sister, umechambua vizuri na bila ubaguzi huku ukitoa somo murua
 
Mkuu viagra na vumbi la kongo vinahusiana na performance tu. Suala la maumbile hubaki vilevile.
Ni kweli ila ukitumia ile stretching ya misuli huwa kubwa sana to some extent unene Na urefu huwa unaongezeka kwa kiasi fulani kidogo!
 
Hakuna Mwanaume Kibamia Hata Siku 1 Ila Wenzetu Wa Upande Wa Pili Ndo Shida Ndo Maana Unashauliwa Kabla Hujamuoa Onja Kwanza Kujua Yaliyomo Yamo Ili Usijekuuziwa Mbuzi Kwenye Gunia
hilo neno kibamia halijatoka hewani mkuu, watu walifananisha ukweli kuna watu majaaliwa yao kama bamia ukweli yaani ukikutana nayo ndo ile ukikatika nchale ukikohoa nchale
 
Eeeeeeeh bwana, nilishawahi kuligusia hili kwenye uzi wa dada yetu mmoja aliyekuwa analalama kama punda 'eti wanaume wa siku hizi hawafikishi wanawake kileleni'. Mkuu mshana jr, hili la watoto wa kike kuingiliwa mapema haliishii tu kwenye kutanuka via, na hata hisia pia.

Ukimpata binti ambaye hajajiharibu kwa kuigawa organ yake kama pipi ya birthday, hata wewe mkunaji utaona tofauti. Haiwezekani na hainiingii akilini, wewe mtoto wa kike, hunijui sikujui, tunaingia chumbani ungali unajua naenda kukufanya nini halafu nikukute MKAVUUUU kama nguru. Wanawake wameharibika kisaikolojia na kimaumbile. Dkk 25 bado hujamwagika...hiyo sasa si gwaride.

Kwa advataiz tu unamtongoza anakuangalia 'macho kodo' na wala hammalizi dkk 20 kishakubali. Mnaingia ndani yuko mkavu kama mpingo na mawazo yake yako 50% kitandani, 50% mfukoni kwako...akikojoa huyo labda kojo la bia za ofa. Sugu alizonazo mwilini na akilini hazijawahi kumuacha mwali na hamu. Akitoka hapo mbio mtandaoni kushusha lawama.
 
Kibamia ni msemo maarufu unaomaanisha uume mdogo... Ni tatizo linalokuja kwa kasi sambamba na ukosefu wa nguvu za kiume
Kwenye mada moja kuna mtu akauliza mbona mwanzoni hakukuwa na vibamia? Ukweli ni kwamba tatizo la vibamia sio kubwa kama linavyokuzwa, tatizo lipo ila sio kihivyo na kuna jambo lingine kabisa linalosababisha vijana wengi waonekane vibamia
Zamani kabla dunia haijavaa bikini, kulikuwa kuna kuheshimiana kukubwa kwenye umri hasa linapokuja suala zima la mahusiano.... Ilikuwa ni jambo lisilowezekana kabisa kukuta binti wa miaka 18 anadate na mwanaume wa miaka 40.... Lingine ni kwamba mabinti wengi walijitunza na kuja kuanza mahusiano ukubwani, na hawakuwa wanachojoa chupi zao hovyo hovyo WALIJITUNZA NA KUJIHESHIMU SANA
Siku hizi binti hata maungo yake hayajakomaa, tayari ameshaharibiwa na anaaza mahusiano na mtu aliyemzidi umri kwa mbali sana.... Mtoto wa kike kama huyu aliyeanza mahusiano kwenye umri wa miaka 16 akifikisha 23.. Anakuwa tayari ni mzoefu aliyebobea huku akiwa na maungo makubwa kuliko saizi yake... Usoni ni mdogo lakini huko ndani mmh.... Mwanamke kama huyu akidate na kijana wa miaka 25-30+ ni majanga... Lazima jamaa aonekane kibamia kumbe wala hana hilo tatizo ila kakutana na oversize XXL.
kingine ni matumizi ya dildos, mabinti ambao wanachungwa sana ama wale ambao hawataki kujihusisha na wanaume mapema huamua kutumia vinyagongono kujitosheleza... Huyu ukija kukutana naye hapo baadae lazima uonekane una upungufu wa nguvu za kiume au una kibamia., kwakuwa size na nguvu ya kinyagongono ni tofauti kabisa na nguvu ya binadamu
Kwahiyo wapendwa mnapowalaumu wanaume kuwa wana vibamia mkumbuke na hayo ya kwenu pia... Najua kuna tatizo la punyeto ambalo nalo linawasumbua na kuwaathiri vijana wengi lakini kiuhalisia vibamia ni vichache shida ni SIZE zinazofanya colabo

NB: mimi sina kibamia
Ukweli mtupu
 
hilo neno kibamia halijatoka hewani mkuu, watu walifananisha ukweli kuna watu majaaliwa yao kama bamia ukweli yaani ukikutana nayo ndo ile ukikatika nchale ukikohoa nchale
Mimi nashauri sana watu watafute size zao halafu pia kuepuka kumangamanga unajimaliza bila kujua... Ukitulia na mmoja naye akatulia na wewe via vya uzazi vina ya hulka na kubadilika kuendana na mazingira, yani huji adjust ili size ziendane
 
Back
Top Bottom