Wajue fermists

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,417
9,806
Kumekua na sumu mbaya sana inayosambazwa na wanawake wapotoshaji wanaojiita "wapigania haki sawa" katika andiko langu nitawatambua kwa neno "virusi". Hawa virusi wamefanikiwa kuchota akili za wanawake wengi sana kitu kilichopelekea athari mbaya kwenye jamii zetu miaka ya hapa karibuni mfano ongezeko kubwa la talaka na ndoa kuvunjika, ongezeko la single mothers, ongezeko la matukio ya kikatili wanayofanyiana wanandoa n.k,

Hii ni kwa sababu hakuna mwanaume timamu atakaekubali kuwa chini ya mwanamke au kulingana mamlaka na mwanamke ndani ya nyumba sasa pale unapolazimisha kwenda tofauti na iyo kanuni ya asili ndipo matatizo kama hayo yanajitokeza. Yajue makundi ya virusi.

1. Ambao thamani yao imeshuka kwenye soko la mahusiano. Hawa ni wale virusi ambao umri umeshaenda wapo kwenye miaka 35-40+ . Katika age iyo ni ngumu kumpata mwanaume wa kutulia nae na kufanya maisha maana hakuna kidume atanunua gazeti jioni, kwaiyo kujipa moyo hawa virusi wanajifanya wapigania haki hili ionekane hana mwanaume kwa sababu hayumbishwi kimisimamo lakini ukweli ni kwamba anaishi na maumivu makali moyoni na hawawezi kurudisha miaka nyuma na kulekebisha pale walipokosea. Hakuna mwanamke asiependa kuwa na mwanaume wa kumfariji, kumwelezea namna siku yake ilivyoenda na kumpa ulinzi n.k

2. Walioachika. Hawa ni wale virusi ambao wameachika na wameshindwa ku-move on kwaiyo bado wanaishi na heartbreaking. Wanaingia kwenye movements za 50/50 kutokana na kushindwa kuondoa kile kinyongo moyoni na kutumia hizi harakati kama defensive mechanism ionekane mume au wanaume kwa ujumla ndo wenye matatizo. Ukiona status za mwanamke kwenye mitandao ya kijamii zenye caption za "i love myself", "Am CEO of my life", "am superwoman" ujue ni yeye.

3. Wenye ulimbukeni wa mafanikio. Ukweli ni kwamba kiasili mwanamke hana stamina ya kuhimili nyakati zake za mafanikio kwa busara. Tangu mdogo mwanamke ameshakuzwa kwa mawazo kwamba atakapovunja ungo ataondoka nyumbani na kwenda kutunzwa na mumewe ikiwa yeye atatakiwa kumtii na kumuheshimu mumewe kama malipo ya matunzo anayoyapata sasa pale ambapo anapata mafanikio na kuweza kujitunza mwenyewe anapatwa na ulimbukeni wa kuona kwamba hakuna nafasi ya mwanaume kwenye maisha yake ivyo haoni ulazima wa kumheshimu na kumtii mumewe maana kama ni matunzo yeye pia anao uwezo wa kujitunza.

Wanachokifanya hawa virusi sio kupigania haki sawa ila ni kupandikiza chuki, kiburi na jeuri kwa wanawake wenzao pamoja na kuchochea uadui wa kijinsia kitu ambacho kinapelekea migogoro katika familia na ndoa baada ya mahusiano ya wenzao kufa na kuwawapweke kama wao basi hapo ndo hawa virusi wanapata relief ya moyo, waswahili wanasema "msiba wa wengi ni sherehe"

Kwa usalama wa maadili ya vizazi vijavyo mamlaka husika zinapaswa kuwaangalia hawa virusi kwa jicho la tatu na kuwapiga breki au kuwapa msaada wa kisaikolojia maana wananmchango mkubwa sana katika kuyumbusha familia na kama unavyojua ukiyumbisha familia umebomoa next generation yote.

Hawa virusi wanahitaji msaada wa kisaikolojia maana tatizo lao ni la kisaikolojia zaidi mbaya zaidi wao wenyewe hawajui kama wana matatizo na wanaona wanachokifanya ni sahihi maana mara nyingi matatizo ya kiakili muhusika huwa ajui kama ana matatizo mfano mgonjwa wa akili pale milembe hajijui kama ana matatizo ya akili.

Kwenu wakina dada na wadogo zangu ambao mpo 15-30+ nyie ndio kundi ambalo hawa virusi wanalilenga kwaiyo msikubali kuingia kwenye mtego wao. Hawa virusi wana tabia ya kujipost mitandaoni sehemu za starehe au wapo locations nzuri na caption za kuonesha kwamba wana furaha kuishi maisha ya uhuru ukweli ni kwamba wana-fake tu furaha kiuhalisia wanaishi na maumivu makali sana moyoni kwaiyo msipotoshwe na maisha yao ya kwenye mitandao na media, nyie bado mna safari ndefu katika career na mahusiano yenu.

Muheshimu, mpende na mtii mwanaume wako, jua nafasi yako kama mwanamke ndani ya nyumba na mwachie mwanaume wako nguvu ya utawala ndani ya nyumba. Elimu yako, mafanikio yako kiuchumi yasikupotoshe hata dunia ipinduke kamwe haiwezekani mwanamke na mwanaume wakawa na nguvu sawa vinginevyo mwanaume aamue tu kujishusha kwa sababu yupo na wewe kimasilahi kwa lugha ya kisasa wanaitwa mario.

Kaka zangu pia kwa andiko hili sijamaanisha kuwapa go ahead ya kuwafanyia undava wake zenu. Mpende mkeo, mjali, msikilize, timiza wajibu wako kama kichwa cha familia. Mdhibiti mkeo na binti yako kuangalia sana vipindi vyenye mahudhui kama ya wanawake live ya joyce kiria na tamthilia nyingi za kizungu na kifilipino mahudhui mengi ya vipindi kama hivi ni sumu kwa akili ya mwanamke.
 
Feminism ndiyo iliyofanya leo hii mama yako alipwe mshahara sawa na anko wako, ndio iliyofanya dada yako asome masters kama wewe, ndio iliyosababisha binti yako apate nafasi ya kwenda kidato cha kwanza sawa na mtoto wako wa kiume.

Kama tu unaelewa feminism ninini na feminist ninini, feminism si neno hasi kama mnavyolifikiria .

Hayo mengine ni matatizo ya binadamu ke, kama ambavyo binadamu Me wanayo ya kwao.
 
Feminism ndiyo iliyofanya leo hii mama yako alipwe mshahara sawa na anko wako, ndio iliyofanya dada yako asome masters kama wewe, ndio iliyosababisha binti yako apate nafasi ya kwenda kidato cha kwanza sawa na mtoto wako wa kiume.

Kama tu unaelewa feminism ninini na feminist ninini, feminism si neno hasi kama mnavyolifikiria .

Hayo mengine ni matatizo ya binadamu ke, kama ambavyo binadamu Me wanayo ya kwao.
Shida tuliipokea hii ideology bila kumuandaa mwanamke kisaikolojia.
 
Acha chuki dhidi ya wanawake...wanawake aji wababu ya wewe...kuwa masikini au kukosa ajira.

Mara utuita kausha damu...saiv unatuita virus.

Unashida mahala....jitafakari
 
Acha chuki dhidi ya wanawake...wanawake aji wababu ya wewe...kuwa masikini au kukosa ajira.

Mara utuita kausha damu...saiv unatuita virus.

Unashida mahala....jitafakari
Mimi naandika ukweli sasa kama wewe unatafsiri ni chuki iyo ni shida yako.
 
Hivi ni Fermists eti? Mods msibadilishe kichwa cha thread tafadhali ili tuendelee kushuhudia ujinga wa huyu Mwenye utapiamlo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom