Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eeehee Baba Wewe utaacha Uchawi lini Baba angu
NATAMANI Mshana Jr angekuwa mfipa tu kama mimi maana hata aeleze vipi lazima aitwe mshirikina tu kama sisi wafipa.Ukweli mnamuonea mno.Ni sawa na sasa inavyoaminika kuwa wafipa wote ni walozi ili mradi tu kuitwa mfipa.
Kwa sasa hata makabila mengine waoshio ufipani wakirudi kwao wanaogopwa sana.
Jamani mwacheni mshana apumue.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Kuna siku nilitaka kuanzisha special thread kwa ajili ya dawa za asili na tamaduni za asili na uchawi nikajiuliza mara mbilimbili na huu ufipa wangu usumbuwanga huu nikaona heri kuacha tu.
Mwisho nikajiuliza kama mshana asiye mfipa yanamkuta haya sasa kwangu itakuweje ukizingatia leo watu wanakumbukumbu ya comedy ya ngombe na mwewe basi nikaenda kukojoa nkarudi kulala.
Jamani wafipa ndo kabila safi kuliko yote Tanzania ukiishi na mfipa utafurahi daima hatuna tabia yoyote mbaya kama tunavyochafuliwa huko.
 
 
Niliwahi kuanzisha moja huna haja ya kuogopa.. Ukiogopa watu utashindwa kufanya mengi... Naitwa mchawi wa JF ila ukiwauliza nimeroga wangapi hawana majibu
 
Write your reply...
sinaga mchezo na maji asee
sijawahi kupanda hata mtumbwi achilia mbali kuogelea kweoye vi swimming pool!

sinaga mchezo na maji
 
Write your reply...
sinaga mchezo na maji asee
sijawahi kupanda hata mtumbwi achilia mbali kuogelea kweoye vi swimming pool!

sinaga mchezo na maji
Siku ukipata nafasi njoo twende Mafia kwa jahazi
 
mafia kaka??
bora nitandikwe risasi 32 za kichwa
 
Mvuvi maarufu na mtaalamu wa mambo ya bahari na mito, bwana Hmood Nassor Hamdoun anaeleza dhana moja ndegefu inaoaminika na wengi hasa wa mwambao mwa pwani kwamba baharini kuna jini liitwalo Chunusi.

Akitumia picha tanzu bwana Hmood anasema, katika picha anaitwa chunusi ila kwa jina lingine anaitwa "electric eel". Anafanana na kambale. Anatoa umeme wa aina ya tuli (static electricity) hadi vilt 850v.

Kiwango hicho cha umeme kinatosha vizuri kuua binaadamu na damu kuganda ndio maana utasikia wanasema jini chunusi ananyonya damu.

Ni vigumu kumvua kutokana na maumbile yake na umeme autoao. Wengi hawajawahi kumuona ndiyo maana inabaki kuwa tu ni jini wa kwenye maji.

La Voice ni muafrica wa kwanza kugundua kuwa chunusi sio jini bali ni electric eel.

___________________
Kupanua ufahamu wako zaidi, endelea kufunua kurasa za kitabu pendwa cha Taifa cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
 
Mshana kwetu kuna aina tofauti sana ya Chunusi tunaita (Nduwa) watu wa Marangu, Kilema, Kirua na Mamba wanafahamu. Ni viumbe ajabu wenye nguvu za ajabu. Wanafuga mifugo, wanakarakana na wengine wanatoa ishara kila saa sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…