Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

Duu mbona hii ya leo nimeiweka vizuri sana? Nilichoandika ni kuweka mitazamo yote kukidhi mahitaji ya kila mmoja wetu
Anyway ni ngumu kuacha kunywa pombe kama ulishazoea kunywa
Mkuu Mabwawa Nayo Yana Mikondo Ya Maji?.
Mi Nilishashuhudia Mtu Aliyepotelea Bwawani Kwa Siku Mbili, Watu Wanapiga Mbizi Siku Zote Hizi Lakini Hapatikani. Siku Ya Tatu Akapatikana Lakini Taarifa Ya Hospitali Ilisema Hakuna Maji Aliyokunywa Ingawa Alizama Bwawani. Hili Sijui Unalizungumziaje?
 
Ukiangalia hapo nimezungumzia dhana tatu
1. Ushirikina
2. Viumbe wa majini (kwenye maji)
3. Mikondo ya maji (hapa ni mito maziwa na bahari)
Popote yanapokaa maji mengi kwa pamoja huvutia viumbe na nguvu tofauti tofauti
 
Ila Aina Hii Ya Samaki Hupatikana Zaidi Kwenye Maziwa Na Baharini. Sijawahi Kupata Taarifa Za Uwepo Wao Katika Mabwawa Na Mito.
Ni kweli ila huko nako kuna viumbe vyake tena vyenye madhara sawa na hao
 
Aaah cheuci we ni kajipu
[emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Aaah cheuci we ni kajipu
[emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kwenda zako na hiyo aka yako
 
Dah mkuu mshana ,unanishauri VP baharn na ziwan ni mahali salama ,kuogelea
 
Mshana eeee,
We muha-(ya) acha ulozi wewe yote haya uliyajuaje?
Kila uganga we umo tu, au ndiye .......wa jamii forum????
 
Mshana eeee,
We muha-(ya) acha ulozi wewe yote haya uliyajuaje?
Kila uganga we umo tu, au ndiye .......wa jamii forum????
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
rest in peace current [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…