The conceited
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 440
- 496
Wakuu nimejaribu kupitia thread mbalimbali kuhusu kifo cha huyu raisi wa marekani na kumekuwa na nadharia mbalimbali;moja ikiwa ni kuwa kulikuwa na utofauti wa kimtizamo pamoja na kiutendaji baina yake na shirika la kimarekani la ujasusi(CIA) na kwaufahamu wangu kidogo kuhusu hili swala najua kuwa aliuwawa na sniper ambae hajulikani mpaka leo akiwa katika moja ya mikutano yake ya kitaifa huko marekani.
wakuu na wajuzi wa mambo naomba mwenye ufahamu kuhusu kifo cha huyu ndugu,atolee maelezol
JOHN 8;32 "And you shall know the truth and the truth shall make you free"
wakuu na wajuzi wa mambo naomba mwenye ufahamu kuhusu kifo cha huyu ndugu,atolee maelezol
JOHN 8;32 "And you shall know the truth and the truth shall make you free"