Ukweli kuhusu "Kibamia'

Nadhani aliona mbele na kuwaza maisha halisi wakati wewe ukiwaza hisia halisi.

Hata mpendane kiasi gani ndugu, sex haiwezi kuwa kama chakula. Kuna siku utakosa hata muda wa kuiwaza na akikuomba utatamani ushikwe hata na homa ya ghafla kwa muda ili asiendelee kukuomba.
 
Hahahaa , umejitahid kuwadefend ila kibamia kitabak kuwa ibamia πŸ˜†uzur wao weng kinachowabeba ni hela πŸ˜† ila life is not fairπŸ˜† unafananish kifo na ucngz kibamia na tango wee
Bamia yenyewe inaanzia sentimita ngapi kwa mfano? Na hicho kipimo iwe imelala au imesimama? Watu mnadanganyana sana!
 
Nimeanza kuzeeka. Sikuwahi kujua kama kuna uke wa mwanaume. Dunia inaenda kasi sana.

Ni sawa na wale wanaosema binti wa kike kana kwamba kuna binti wa kiume.
hayo maneno huwa niyakukazia kazia tu mkuu.

Mfano mtu amwite mpenz wake MY WANGU

na pia kusema UKE WA MWANAMKE hapo utatambua mwandishi anamaanisha uke wa binadam jinsi ya kike na sio wa mnyama.
 
Kuna mtu kakueleza hivyo au unazingua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…