Ukweli kuhusu Kansa

Ukweli kuhusu Kansa

Kuishi kwingi ni kuona na kusikia mengi.

Nishawahi kupita sehemu nikakuta watu wa dini flan wameitisha mkutano wanachambua maswala ya kidunia na Freemasons. Nakumbuka walisema kwamba AIDS ni mchongo wa Marekani kupunguza idadi ya watu ili wacontrol dunia.

Nakumbuka kabisa hadi leo walisema kwamba the real meaning ya AIDS ni "American Idea of Destroying Sex"

Leo pia naambiwa na Kansa ni mchongo wa wazungu ili wapige hela.

Ngoja nivute subira nisikie kesho watasema ugonjwa gani nao ni mchongo.
Kama wangetaka mfe wangewapiga virusi kama Corona kwenu Africa halafu wawape vikwazo msikanyage kwao.

HIV wanawaletea misaada ya ARV msife kama kuku.
 
Back
Top Bottom