EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
-
- #41
Siyo kweli, huyu mzee ni stan bakora kila sehemu. Kuna siku walimhoji ana watato wangapi alishindwa kujua idadi halafu cha ajabu hana mke.
Jiwe ana damu ya kunguni, nilishaanza kumhusisha yeye. wakati mwingine jiwe tunamuoneaKwa hisani ya Malisa GJ
Kwa wasioelewa yanayoendelea kuhusu Masele. Ni kwamba Masele ni Makamu wa kwanza Rais wa bunge la Afrika (PAP). Hivi karibuni ameingia kwenye mgogoro na Rais wa bunge hilo Bw.Roger Nkodo Dang raia wa Cameroon. Masele anamtuhumu Dang kwa ubadhirifu wa pesa za bunge hilo, hivyo ameunda kamati ya kumchunguza.
Dang amekasirishwa na uamuzi huo na anaona Masele anafanya mbinu za kumuondoa ili yeye akalie kiti cha Urais wa bunge hilo. Kwahiyo Dang ameamua kumng'oa Masele kwenye nafasi yake ili yeye aweze kuwa 'safe'.
_
Dang amempigia Spika Ndugai kumuomba amuite Masele nchini ili yeye aweze kusurvive. Na Spika Ndugai leo kwa jazba amemsimamisha Masele ubunge wake na kuagiza arudi nchini haraka kwa kile alichokiita mambo ya hovyo. Lengo la Spika ni kumuokoa Rais 'fisadi' wa bunge la Afrika, Roger Dang. Yani Ndugai anatumika kwenye mgogoro usiomhusu.
Leo Masele ameliambia bunge la Afrika kwamba hatarudi nchini kwa agizo la Spika kama alivyoamriwa. Amesema Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amemruhusu aendelee na shughuli zake za bunge la Afrika (PAP).
_
Amesema Rais wa bunge hilo Roger Nkodo Dang hataweza kumng'oa kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Rais kwa sababu hakuteuliwa, bali alichaguliwa na wabunge wa bunge hilo. Amesema na kushangiliwa na wabunge hao.
Nafikiri mmeelewa sasa. Maana wengine mlishaanza kumuwazia jiwe.!View attachment 1100051
Jiwe ana damu ya kunguni, nilishaanza kumhusisha yeye. wakati mwingine jiwe tunamuonea
Yuko kwenye stage ya Diabetic encephalopathy.Ndugai Anawafanya wenye "Diabetes Melitus" waonekane Wendawazimu.
Kwani ni vibaya kuupata urais wa PAP kama nafasi imejitokeza?Masele ameponzwa na tamaa ya kuwa Rais wa PAP kwa maana nyingine Ngamia anataka kuingia mzima mzima kwenye hema!
Mkubwa ni Spika na ndiyo maana jina la Waziri Mkuu huwa linaletwa kwenye ka mfuko ka Lambo ili athibitishwe na Bunge!
0IQ sasa unakula vegetable iq imeanza kuwa 20Ndugai=Ndu-Guy chutama upepo upite
JItahidi kuwa unasoma post vizuri na kuielewa kabla ya kutoa mapovu, mbona mtoa post kaeleza vizuri tu. Praise team mna tatizo moja la kutojipa muda wa kuelewa jambo kabla ya kulijibu hali inayowafanya muonekane kuwa ni mazuzuSasa km wewe ulidhani ni mh Rais ni yako na umeshushuka vibaya sana.
ndugayi ni jipuWaziri Mkuu na Spika Ndugai nani Mkubwa kwenye Issue za Wabunge na za Kibunge?
Serikali kuu imeanza kutoa miongozo ya Kibunge kwa Wabunge baada ya kuona Dish la Spika Lina Yumba
Habari ndo iyo Spika anatumika apa bila kujua.Kuna kitu sijaelewa, yaani mtanzania Job Ndugai ameamua kumhujumu mtanzania mwenzie ili kumtetea mkameruni katika bunge la Afrika?
Ana bifu gani hilo na Masele?
Yaani kwamba amehongwa na mkameruni? Spika wa bunge la Tanzania ana njaa kiasi cha kuhongwa na mtu wa nje ili kumhujumu mbunge mwenzie ili kumtetea mtu wa nje? Mkuu nakuamini haya mambo una uelewa nayo sana, wewe unahisi kuna nini hapa?
Waziri Mkuu na Spika Ndugai nani Mkubwa kwenye Issue za Wabunge na za Kibunge?
Serikali kuu imeanza kutoa miongozo ya Kibunge kwa Wabunge baada ya kuona Dish la Spika Lina Yumba
Raisi wa PAP naona nae kaangukia pale mahala k.............Ile kitu so acha watu na hekima zao huangukia pale mahalaSafi mkuu kwa kuniongezea taaluma. Mimi nilisikia mgogoro wao Masele & Dung ni huyu rais kudhalilisha wafanyakazi wa kike kingono. Waafrika tunakwama hapohapo kila siku ila bado hatupagundui.
Al aroubahAfu we mzeeee, hahahaha, kafutari pale kwa msomali kariakoo, bili juu yangu
Truth never bendsKwani Lisu & Co wanapoamua kuichafua tanzania wana bifu gani na watanzania!
Waziri Mkuu na Spika Ndugai nani Mkubwa kwenye Issue za Wabunge na za Kibunge?
Serikali kuu imeanza kutoa miongozo ya Kibunge kwa Wabunge baada ya kuona Dish la Spika Lina Yumba
Hapo ndipo napozidi kumfahamu mtukufu Supika wetu... tangia fimbo hadi fukuzafukuza.... something wrong somewhere...Kwa hisani ya Malisa GJ
Kwa wasioelewa yanayoendelea kuhusu Masele. Ni kwamba Masele ni Makamu wa kwanza Rais wa bunge la Afrika (PAP). Hivi karibuni ameingia kwenye mgogoro na Rais wa bunge hilo Bw.Roger Nkodo Dang raia wa Cameroon. Masele anamtuhumu Dang kwa ubadhirifu wa pesa za bunge hilo, hivyo ameunda kamati ya kumchunguza.
Dang amekasirishwa na uamuzi huo na anaona Masele anafanya mbinu za kumuondoa ili yeye akalie kiti cha Urais wa bunge hilo. Kwahiyo Dang ameamua kumng'oa Masele kwenye nafasi yake ili yeye aweze kuwa 'safe'.
_
Dang amempigia Spika Ndugai kumuomba amuite Masele nchini ili yeye aweze kusurvive. Na Spika Ndugai leo kwa jazba amemsimamisha Masele ubunge wake na kuagiza arudi nchini haraka kwa kile alichokiita mambo ya hovyo. Lengo la Spika ni kumuokoa Rais 'fisadi' wa bunge la Afrika, Roger Dang. Yani Ndugai anatumika kwenye mgogoro usiomhusu.
Leo Masele ameliambia bunge la Afrika kwamba hatarudi nchini kwa agizo la Spika kama alivyoamriwa. Amesema Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amemruhusu aendelee na shughuli zake za bunge la Afrika (PAP).
_
Amesema Rais wa bunge hilo Roger Nkodo Dang hataweza kumng'oa kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Rais kwa sababu hakuteuliwa, bali alichaguliwa na wabunge wa bunge hilo. Amesema na kushangiliwa na wabunge hao.
Nafikiri mmeelewa sasa. Maana wengine mlishaanza kumuwazia jiwe.!View attachment 1100051
0IQ sasa unakula vegetable iq imeanza kuwa 20
Al aroubah
Huwa naenda kunywa maziwa ya Ngamia pale