Ukweli kuhusu ishu ya Stephen Masele

Maskini Ndugai hata watu wa nje wamemtambua ni wa jazba na ana mambo ya hovyo wameanza kumshirikisha kwenye mambo yao ya hovyo, nae kwa vile ni wa hovyo hajatambua anatumika hovyo na anaendelea kujipambanua ulimwenguni jinsi alivyo wa hovyo..
Masele ameponzwa na tamaa ya kuwa Rais wa PAP kwa maana nyingine Ngamia anataka kuingia mzima mzima kwenye hema!
 
Vita yaUspika 2020

Eti kosa lake Umbea, tangu lini umbea umekuwa kosa la kisheria ?
 
Masele ameponzwa na tamaa ya kuwa Rais wa PAP kwa maana nyingine Ngamia anataka kuingia mzima mzima kwenye hema!
Masele hana tamaa ya urais mkuu, rais wa PAP mwenyewe amekiri kuwa ana tuhuma na wabunge wote wametaka apishe kiti, masele hawezi kunyamaza kwa kuwa ataonekana ameona hizo tuhuma si chochote.. Hofu ya Ndugai ni kuwa Masele akiwa rais wa PAP kama atamzidi vile, jamaa ni jazba na kibri kichwani mtupu.
 
Safi mkuu kwa kuniongezea taaluma. Mimi nilisikia mgogoro wao Masele & Dung ni huyu rais kudhalilisha wafanyakazi wa kike kingono. Waafrika tunakwama hapohapo kila siku ila bado hatupagundui.
 
Mkuu kuna uzi mwingine wa Spika wa PAP uangalie
Safi mkuu kwa kuniongezea taaluma. Mimi nilisikia mgogoro wao Masele & Dung ni huyu rais kudhalilisha wafanyakazi wa kike kingono. Waafrika tunakwama hapohapo kila siku ila bado hatupagundui.
 
Ile cklip ya masele akihutubia bunge na wabunge kumpigia kofi,,,, kwamba yeye kachaguliwa na wabunge !!!! Ingemfanya Jobu kutathmini uamuzi wa kumsitisha kwake
 
Tuwe Watulivu Wakati Taratibu Zikiendelea
 
Birds of a feather
 
Zile tweets za Mh. Masele zikisema "Mr. President siwezi kufanya yale unayotaka kusikia tu..." wananchi walizihusisha moja kwa moja na mr. Jiwe kuwa 'KAMCHANA LIVE!'

Kumbe aliyekuwa anaongelewa ni President wa PAP. Kwa hili, inabidi Jiwe ajitafakali kukubalika kwake.

Heko PM kumruhusu jamaa aendelee na majukumu yake (japo naona kama ni mgongano wa mihimili) lakini supika kwanini amrejeshe kwa lengo la kulindana? Rais ameshakiri makosa, Supika utajificha wapi?

Je, anaendelea kuthibitidha ile kauli ya CAG? Au ndo masna ameamua kumkagua na CAG ili kuendelea kuipa nguvu ile kauli? Binafsi naona wangeshughulikia kasoro zilizoibuliwa kuliko kulindana.


Mnamuundia zengwe CAG ili mumuondoe???
 
Hekima na busara havijatumika katika ku-handle hiyo issue na baadhi ya ma-Rais wa nchi za Africa wamelalamika, hivyo kijana anatakiwa kurudi tz ASAP na kwa swala la PM huo ulikuwa mtego wa kumnasa kirahisi.

Inasemekana Masele akiwa Rais wa PAP ata-pose a threat to.......
 
Hivi inawezekana kuutafuta ubora au u weledi wa SPIKA wetu kwa kuwatumia wananchi wapige kura kusema ANAFAA au HAFAI
Tuweni kama wale wengi bungeni hata mmoja tu akisema Ndiyoooo anawawakilisha wooote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…