Ukweli kuhusu intarahamwe zanzibar

ngozimbili

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
1,398
1,006
Nimepitia katika wikipedia kuhusu historia ya Zanzibar kwa mshangao mkubwa kumbe kumetokea genocide Zanzibar wakati wa mapinduzi na watu 20,000.wenye asili ya kiarabu.kwa hio nadharia ya interahamwe bado ipo.ndo maana kuna watu wanapinga muundo wowote ambao haulindi usalama wao na wapo tayari kufanya lolote kuzuia mabadiliko yoyote.
 
Chadema
 
Back
Top Bottom