Ukweli kuhusu huawei y6 II

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Nilizoea Huawei y6 pro sasa nilivyoingia kwenye toleo la Huawei y6 ïï nahisi kama inalamba sana bando kwani nikiwa na MB 1000 nilikuwa natumia siku wakati data zikiwa always on lakini Leo Huawei y6 ïï hata siku haimalizi
 
Matumizi yako tu kiongozi
 
Nilizoea Huawei y6 pro sasa nilivyoingia kwenye toleo la Huawei y6 ïï nahisi kama inalamba sana bando kwani nikiwa na MB 1000 nilikuwa natumia siku wakati data zikiwa always on lakini Leo Huawei y6 ïï hata siku haimalizi
hujabadilisha mtandao au zamani ulikuwa na 3g sasa hivi 4g etc, kuna baadhi ya mitandao kama youtube jinsi speed yako ya internet inavyokuwa kubwa ndio jinsi wanavyokuletea vitu vya quality kubwa na ndio jinsi bando linavyoisha upesi,

pia inawezekana matumizi yameongezeka.

jaribu kwenda data usage halafu uangalie simu yako inakula vipi mb na ni app gani inatumia sana hizo mb
 
Vp kuhusu kukaa na chaji pia na speed kwenye internet plus ubora wa camera.
 
hujabadilisha mtandao au zamani ulikuwa na 3g sasa hivi 4g etc, kuna baadhi ya mitandao kama youtube jinsi speed yako ya internet inavyokuwa kubwa ndio jinsi wanavyokuletea vitu vya quality kubwa na ndio jinsi bando linavyoisha upesi,

pia inawezekana matumizi yameongezeka.

jaribu kwenda data usage halafu uangalie simu yako inakula vipi mb na ni app gani inatumia sana hizo mb
Matumizi ni standard
 
Mmh mbona wanaisifia xna kuhusu kutunza chaji,unataka kusema hata masaa 6 haifikishi
Masaa 6 kama uko update haifiki labda kupiga na kupokea Tuonane kama ni umeme wa kununua baada miezi 3 utakuwa umetoa hela ya simu nyingine also yo can't manage
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom