Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,335
- 5,014
Intellect analyze and believe then soul actKuna uhusiano ganj Kati ya Intellect na Soul
Njia ya asili ni salama zaidi na inabaraka zote kwa munguBe Warned..
Nguvu za kiroho can be originated from Dark or Light Dimmension, so choose wisely
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Katika dini inasemwa "asiye fanya kazi na asile"
Wahenga nao wakasema "kama unataka mali utazipata shambani" pia "mgaagaa na upwa hali wali mkavu"
Mimi ninasema "kaa kizembe life likucharaze viboko utie akili"
Why do you suppose I'm Mr, huh? Secondly, regarding your question, I am definitely not a result of superflous intervention of nature.Where you come from Mr J Tegga
Everything comes and originates in darkness.Be Warned..
Nguvu za kiroho can be originated from Dark or Light Dimmension, so choose wisely
This is all you get from individuals who have made darkness their permanent residence.Everything comes and originates in darkness.
Darkness is vast than light.
Darkness is stronger than light
Mleta mada, una akili Sana halafu umevunja minyororo ya utumwa wa akili.
Natamani nikupe zawadi ya kitabu.
Anyway, Mimi pia Nina formula yangu ambayo nimepanga kukomaa nayo na Nina imani 100% itakifikisha mbali. Formula yngu ipo kwenye symbol,nikiamua niiweke kwa mfumo wa symbol kwa sababu..
1 kuficha maana kwa mtu mwingine yeyote
2 symbol inaniongezea vib
According to mi akili ndo controller mkuu ila soul ndo ina power and magnet so baada ya kuamua au kuwaza kitu soul ndo ita bless or not apo nadhan umeanza npata vzur unaposema soul tayr umegusa spritualKiongozi naona umenipoteza nilitegemea full overview about Soul n Intellect kisha ningekuuliza kitu. Anyway shuktani
I always thought you were intelligent, but nuh! Success is what you really get when you wisely subdue unreasonable cowardice. Every person has equal chance of success.Yote uliyoandika yote hapo hayana maana mafanikio ni bahati nasibu! Isipotokea kwako itatokea kwa mwingine.
Ingawa mafanikio yana tafsri pana,na kila moja anaweza kukuuliza una manisha MTU kufanikiwa katika nyanja IPI?? lakini site tunakubaliano haijalishi ni kwenye nyanja gani mwisho wa Siku yatatafsiriwa katika fedha na furaha.
Hivyo basi katika uchumi njia kuu za MTU kuwa tajiri ni 3 ambazo ni bahati,Jitihada na akili.katika hizo bahati inachangia 90%.
Chukulia mfano mtu aliyezaliwa katika familia tajiri,sio rahisi MTU huyu kuwa masikini,hivyo uwezekano wa yeye kufanikiwa ni 98% kuliko yule aliyezaliwa katika familia masikini.
Angalia mfano mwingine wa Magufuli vs Lissu katika mchanganuo ulioutoa hapo juu lissu anamzidi kila kitu magufuli,akili-jitihada-na kiroho but ukweli usiopingika kimafanikio Magufuli kamzidi Lissu.
Light can't exist without darkness, but darkness exists without light. That's why, wherever you remove light darkness takes it's place. This meant that, light comes to balance darkness in nature not to remove itThis is all you get from individuals who have made darkness their permanent residence.
Our spirit is actually akili that has been predisposed to supernatural being -- God ama DevilMkuu we
According to mi akili ndo controller mkuu ila soul ndo ina power and magnet so baada ya kuamua au kuwaza kitu soul ndo ita bless or not apo nadhan umeanza npata vzur unaposema soul tayr umegusa spritual