kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 811
inapendeza kuona wananchi wameamka
JF bonge la darasa.
soon tutashuhudia vijana wakivamia mafisadi hadi makwao kurudisha walivokwapua
hii ndio jf hata tiss chamtoto
inapendeza kuona wananchi wameamka
JF bonge la darasa.
soon tutashuhudia vijana wakivamia mafisadi hadi makwao kurudisha walivokwapua
Mkuu hayo unayosema sooon yatatimia. Nilikuwa Arusha juzi na nikashuhudia jinsi wale vijana walivokuwa wanavunja ule uzio wa mabati na kila mmoja kuondoka na bati lake.
Kwa kweli ile ni ishara kwamba vijana watafikia mahali na kuvamia maeneo au nyumba zilizojengwa kwa uvamizi wa kifisadi wa maeneo ya wazi. Na walikuwa wanaimba ''Nchi Imeuzwa Na Sisi Tuchukue Chetu''.
Duh kazi ipo....ukombozi wa nchi hii upo mikonon mwa vijana! Na sio CC au CDM...
Michael Urassa aliekuwa (au bado yupo) Manispaa kwenye mipango mji, right??
Kama ni huyu jamaa ni Beste wa Mramba saaaana. Amejenga Njiro chini kidogo ya Amani Bar karibu na jeshi, kwa uoga jumba kalipiga layers tatu za Fensi ya umeme, kafunga CCTV kila kona.
Pesa zake anaziweka account tofauti tofauti, kwa kuwafungulia mkewe na wake wote accounts ili kuhifadhi fedha hizo.
Huyu jamaa Ndie anaesimamia kampuni ya Mramba ya Tanganyika Mines.
Jamaa ni Fisadi Bigtym.