Ukweli kuhusu Dudumizi

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Wadau hamja mboo?

Niende moja kwa moja kwenye maada, kuna huyu ndege anaitwa dudumizi kwa menye kuujua ukweli wake atiririke hapa huyu ni ndege ana rangi ya kahawia na rangi nyeupe kifuani,

Huyu ndege huwa wanapatkana sehemu zenye mvua nyingi na huwa wanapatkana sana mida ya jion na asubuhi hasa maeneo yenye matete na uoto wenye majimaji,, huyu ndege ana vifaranga vyake vyeusi na vina tumbo kubwa.

Ndege huyu naskia anatumiwa sana na waganga wa kienyeji inasemekana huyu ndege anaasili ya dawa flan kias hata ukimfunga kamba huwa inajifungua yenyewe.

Nilipokuwa mdogo niliwahi kukifuna kifaranga chake lakn kesho yake nilikuta amehamisha kila kitu hata kile nilikuwa nmekifunga hakikuwepo..
Kwa kiluga chebu tunamwita Ndugutu.

mshana jr, jichawi ,LIKUD na wengne wengi,
 
Huyo ndege huwa halalii mayai yake.

Anataga katika viota vya wenzake
 
Hii mada mbona imefika leo? Ilikuwa wapi?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…