Acha kuamini kila kitu jishughulishe kufikiri.Nssf kila mwaka ongezeko la wanachama linazidi kukua ukilinganisha na mifuko mingine ya hifadhi ya jamii ambayo iko taabani.huduma bora na ubunifu wa dr dau ndio umechangia shirika kuaminika kila uchwao.
Haswa,watu kama hawa si wakuwaacha kabisa.wanaweza kuhatarisha amani ya nchi japo watz tunaishi kwa amani hii ya kuvumiliana.Mjinga Huyo,eti usalama wa taifa wafanyie kazi upuuzi alioleta mleta mada,,,,kwanza inatakiwa mleta mada akamatwe ahojiwe na ubaguzi wake
Haitoshi yeye kuondoka tu, ameacha uharibifu. Sasa hizo nafasi za kazi alizotengeneza bila mahitaji, unafikiri hata akija nani atazifutaje kirahisi bila gharama?hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.
Nimtetee kwani ana kesi ya kujibu? Nimtetee ili niokoe nini wakati keshaondolewa NSSF na kupewa ubalozi?We huna lolote umetumwa tu umtetee dau,mwandishi anamaliza kwa kuomba special audit hiyo ndyo itaeleza ukweli wote hakuna uongo hata kidogo hapo
Kule Tanga wanaliita 'Chuzi la Tope' maana linawekwa nazi tu....bila maji hata tone!....Kwahiyo linakuwa zito sana!!Patamu hapo..
Chuzi limepata mpishi....
Lets wait and see to where this circus shall end!!!!!!!!!
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Nimtetee kwani ana kesi ya kujibu? Nimtetee ili niokoe nini wakati keshaondolewa NSSF na kupewa ubalozi?
Nimeongea facts, ktk mifuko ya hifadhi NSSF ndio mfuko pekee wenye mtaji Mkubwa na assets za uhakika kuliko mifuko yote
Unajua hali zinazoikabili PPF na PSPF? Unafahamu PSPF now inashindwa kulipa mafao kwa wakati? Mbona haisemwi popote? Kwanini hakuna kelele juu ya mifuko hii iliyo ktk kundi la kifo?
Sahihi kabisa Mkuu, Amewabagua wapemba kama vile si binadamu wanaopaswa kuajiriwa NSSF endapo wana vigezo vilivyotimia. Mleta mada kadhihirisha chuki + ubaguzi.
Mwana Diplomacy huwa anachanganua mambo kabla kuchangia ..yaani umeshindwa kumsoma mtela mda kuwa ni mdini na mkabila baadae unaleta habari za nondo? Kamanda umechemka sana usiwe fuata mkumbo unajiharibia professional yako.Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Yani we ndio kipofu kabisa na madini mkubwa.Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Ndio maana nikaamua kuweka ukweli...Lusungo.
Tatizo hapo siyo Nssf.
Huyo jamaa anajua fika uhalisia na uimara wa Nssf na kazi kubwa ambayo Dr Dau kaifanya.
Ila Tatizo hapo ni kwamba anaona kuna Barakashia na Hijjab nyiingi sana kitu ambacho yeye kinamkera sana.
Sijui tatizo ni nin waislam kufanya kaz hapo
Mbona mashirika mengine meengi wamejaa wakristo kila idara na hujaskia waislam wakisema kuwa ajira hizo wanapeana makanisani?
Na hata waislam wakihoj jibu wanalopewa ni kwamba hatuna shule.
Waambie jamaa waache. Chuki
Acha wazimu wewe, njoo hapa ujibu hoja utuambie udini uko wapiHaitoshi yeye kuondoka tu, ameacha uharibifu. Sasa hizo nafasi za kazi alizotengeneza bila mahitaji, unafikiri hata akija nani atazifutaje kirahisi bila gharama?