Wanatengeneza njia za upigaji tu hakuna la zaidi.Hili la majengo hapa Arusha ni jambo la kweli kabisa yapo majengo mawili moja lipo mkabala round about Kaloleni halina wapangaji 95% na lingine lipo mkabala na Christ church halina wapangaji kabisa yaani hadi unashangaa hizi fedha zetu zinavyochezewa.
Nimekubaliana na point zote isipokuwa hiyo ya udini na ukabila,ifike wakati tuache propagandaNilianza kusoma nilipofika hapa " Dr amejaza hadi wapemba" nikaacha maana naamini wote wanaomuita Dr Dau mdini ni watu wenye chuki uislamu na waislamu. Ila huyu ni ameingezea na ubaguzi, siamini mwaka 2016 bado kuna watu wana ubaguzi wa kijinga jinga hivi.
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
nawe pia mbaguzi, kaleta uzi kiswahili wewe unachangia kichina!!Sometimes shallow minded people should desist from contributing issues. This guy has laid facts bare.Given the fact that he is from within why should we doubt him?The govt should carry out staff audit,including investigating how employment opportunities were offered.
Nashukuru kwa elimu kubwa uliyompa mtoa mada.hope amekuelewa zaidi ya matarajio yetu.asante..Aisee acheni hizi blabla zilizojaa chuki... Fitna.... Visasi.... Majungu na husda!
Hakuna ushahidi uliotolewa mpaka sasa unaoonesha uhalisia wa hayo usemayo.... Ndio maana Sefue alishindwa Ku provide ushahidi mzito kwa Magu na kuonekana ni mbabaishaji....
Umeeleza sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?
PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?
SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?
Mimi ni mkristo ktk hili sitaki unafiki Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....
Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!
Hivi ikifanyika forensic audit ikagundulika kwamba kulikuwa na ufisadi wa kutisha NSSF mtaficha nyuso zenu wapi?katika watu wapumbavu basi we ni mmoja wapo.
katika suala udini ungetoa facts katika shirika la NSSF kuna waislamu wangapi na wakristo wangapi, then ungelinganisha na mashirika mengine ya kijamii. Udaku mpelekee Shigongo hapa tunataka facts. Non sense
Nadhani kama chama CHADEMA mnaweza kulichukua hili kwa kupitia wabunge wenu mkapeleka hoja binafsi bungeni ili Dr Dau achukuliwe hatua kwa kuajili waislamu, wapemba na watu wa Kisarawe. Tusisubiri serikali kwa jambo kama hili maana waislamu, wapemba na watu wa Kisarawe wamejaa pale kwenye shirika nyeti.
Acha kutoka povu..... Dr. Dau aligeuza NSSF kama msikiti.....Mdini mkubwa wewe na sisi tukianza kiweka nafac za uteuz wa magufuli utakaa hapa bwege ww
Ben,Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Pu.mba kweli hili jamaa lileta mada.sijui nani kalituma kuleta uozo huu.Sahihi kabisa Mkuu, Amewabagua wapemba kama vile si binadamu wanaopaswa kuajiriwa NSSF endapo wana vigezo vilivyotimia. Mleta mada kadhihirisha chuki + ubaguzi.
Kati ya mtoa mada na idara ya usalama yupi anapaswa kuwa na taarifa zaidi ya mwenzie? Yaani usalama waanzie hapa kupata taarifa ilhali wao ndo wanaopaswa kuwa vyanzo vya taarifa?Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Acha kuamini kila kitu jishughulishe kufikiri.Nssf kila mwaka ongezeko la wanachama linazidi kukua ukilinganisha na mifuko mingine ya hifadhi ya jamii ambayo iko taabani.huduma bora na ubunifu wa dr dau ndio umechangia shirika kuaminika kila uchwao.Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Ben,
Usinipasue mbavu hizi ndiyo nondo?
Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba.
Na nyie Chadema fukuzeni wapemba kina Duni Hajji.
Ben hapa tatizo ni Uislam wala hamna chochote mbona mifuko mingine wamejaa wakirsto watupu hamna neno udini au udini uwa unatumika kwa Waislam tu.
Kati ya mtoa mada na idara ya usalama yupi anapaswa kuwa na taarifa zaidi ya mwenzie? Yaani usalama waanzie hapa kupata taarifa ilhali wao ndo wanaopaswa kuwa vyanzo vya taarifa?
We huna lolote umetumwa tu umtetee dau,mwandishi anamaliza kwa kuomba special audit hiyo ndyo itaeleza ukweli wote hakuna uongo hata kidogo hapoAisee acheni hizi blabla zilizojaa chuki... Fitna.... Visasi.... Majungu na husda!