Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

mkuu serial I ya ccm siwezi Kuwa na imani nayo hata Nyerere afufuke hapa kuna facts not only speculations mbona wamenunua viwanja kwa inflated prices hao nssf kule kigamboni name arusha zile nazo speculations?
Basi unafanya maisha kuwa magumu. Unachokizungumza ni hearsays

Without concrete evidence nobody is condemned in justice.

Hata huyo LOWASSA wanaemtuhumu kuwa fisadi, SERIKALI wanashindwa na HAWATAWEZA kumpeleka kwenye so called ''Mahakama ya mafisadi''
 
Basi unafanya maisha kuwa magumu. Unakizungumza ni hearsays

Without concrete evidence nobody is condemned in justice.

Hata huyo LOWASSA wanaemtuhumu kuwa fisadi, SERIKALI wanashindwa na HAWATAWEZA kumpeleka kwenye so called ''Mahakama ya mafisadi''
Those are facts and not hearsay my friend,watu walifanya auditing na kuja na hayo mafisadi ya dau,alitaka evidence itoke wapi
 
Uko sahihi. KUna watu wanadhani Mkristu mwenzao au mwislamu mwenzao akiwa na pesa basi ni ushindi wao wote! Akiiba anatetewa na waislamu wote eti yuko sawa tu hata kama hafaidiki na lolote au chochote.

Hapa imekuwa ni Dau! Dau! Dau, bila mwisho! What is this creature? Ni muislamu pekee mwenye uwezo na akili? Mbona kuna waislamu wenye mafanikio makubwa na elimu ya maana kuliko yeye lakini hawaonekani ktk utetezi? Huyu mtu lazima kuna tatizo na raia wengine wa dini zingine.
 
Those are facts and not hearsay my friend,watu walifanya auditing na kuja na hayo mafisadi ya dau,alitaka evidence itoke wapi

Hivi kuna auditor mwengine zaidi ya CAG?? . Kama CAG kafanya ukaguzi na hajakuta hayo madudu wewe ni nani unaemtuhumu??

Au kwasababu aliemkagua Dr Dau ni ustaadh mwenzie????

Usiishi kwa CHUKI BINAFSI kijana utawahi kuzeeka na kufa mapema kwa kijiba cha roho

Na kama ukifika uzeeni basi lazma uwe mchawi
 
CAG ni Wa serekali mkuu he is not independent kama Ernst &young au PWC,hao ndio wangekata mzizi wa fitna kama Epa ilivokuwa
 
Ila kusema kweli Dau alitakiwa kufikishwa mahakamani, alikuwa mbadhirifu na mdini sana!
 
Ila kusema kweli Dau alitakiwa kufikishwa mahakamani, alikuwa mbadhirifu na mdini sana!
Acha Uchochezi Na Taarifa Yako Utafungwa Mwache Ambassador Dr Dau Aiwakilishe Nchi Vema!
Dau Ameshatakaswa Na Mkulu Unadhani Utaweza Kumchafua Tena ?

Tatizo Mnaiamini Sana Ccm Mkidhani Inaweza Kufanya Lolote La Maana
 
tunachokipinga hapa ni islamophobia kama huelewi. hakuna anayetetea mwizi kama ameiba sharia ichukue mkondo wake, ni hiyo ni kinyume kabisa na sharia za uisalam tofauti na huko kwenu mnaiba halafu mnaenda kutoa sadaka kubwa kubwa kwa pesa za wizi. lakini hatutaki mtu ashambuliwa kwa sababu ya dini yake. hii tabia hamjaianza leo ya kuwashambulia waislam na hata kuwachukia bila sababu. ziko post nyingi tu humu zikionesha hilo; mfano member wanaandika; huwa nachukia sana nikipita kwenye lile daraja la Dau na kuona shungi nyingi. hizi ni chuki zsizokuwa na sababu labda sijui niziitaje. mwengine anachukia kumuona muislam kafuga ndevu tu, mwengine akiona kavaa kanzu ni issue. hizi ni tabia zetu. mbona sisi tunawaona mmevaa misalaba yenu ya mzungu aliyewambwa hatubughudhiwi? na wala hatuna time nanyi? iweje nyie iwe kinyume chake kwetu? kweni nyie mna uspesho gani wapuuzi nyie??
 
mkuu unaendeshwa na hisia Mimi sio mkristu wala sijabatizwa,kwa ufupi Niko kundi la kingunge sina mpango na utamaduni Wa mtu mweupe mnaouita udini.....over[/QUOTE]



wewe unaonekana mkiristo sana tu tena pengine mlokole. kuwa tu kama wakatoliki. wako user friend sana huku mitaani (ukiacha ule wa kwenye system). hawa hawana makuu. I love these guys kwa kweli. lakini nyie wa misimamo mikali ni shida sana kwenye nchi hii.
nimeaamini kwa nini nyerere aliwanyima uhuru. aliona mbali sana yule mzee.
 
nivigumu sana kujadili kitu na taahira;
niambie hao uliowataja walishashika nyazifa gani zinazoingiliana na jamii moja kwa moja?
mwinyi -mlimuita sana mdini, mwaka 1997 pale mlimani walimdhihaki kupitiliza na hata kufikia kuwarudisha nyumbani
mkamba-ameshika cheo gani kinachointract na watu moja kwa moja? kama ni baba ametoka jeshini na kuwa mkuu wa mkoa na kuishia ukatibu mkuu wa ccm. kama ni mtoto alikuwa muandishi wa hotuba za Kikwete na leo yupo huko mazingira, kwanza inasemekana anaweza hata asiwe mislam na kwa maelezo yaliyopo humu mke wake na pengine na watoto wake ni wakirsto na wanaenda church kabisa
Dr. Husein Mwinyi-huyo ni waziri wa huko jeshini
Prof. Mbarawa-huyo ni waziri wa mabarabara
Dr. Salim A.S-huyo alikuwa huko OAU
narudia tena kusema ni ngumu sana ku-argue na mtu wa aina yako
2005-sio nyie mliokuwa bize kumtukana kila aina ya Matusi Salim AS kwa yeye kutaka kugombea urais? unafikiri tumesahau?
jiulize Prof. Kapuya ambaye media zinaonesha ni mtu wa Madisco na totoz; alipokuwa elimu sio nyie mliomuita mdini? kisa tu kusema wanafunzi wa kike wakiislam waruhusiwe kuvaa hijabu ambazo haziwadhuru nyie kwa chochote? wapuuzi sana nyie watu
 

SIO siri kwamba wewe ni mdini na mbaguzi.Hii mada ni ya kijinga na ya kipuuzi.Sitaki tena malumbano ya mambo yasiyo na tija katika taifa letu.
Nakutakia heri katika jitihada zako wewe na washirika wako katika kuleta vita ya Jihad Tanzania.
 

We baki na akili yako ya madrasatul latul
 
Huyu Dr. Dau mbona yupo midomoni na akilini mwa watu wengi hasa hapa jamvini?
 
SIO siri kwamba wewe ni mdini na mbaguzi.Hii mada ni ya kijinga na ya kipuuzi.Sitaki tena malumbano ya mambo yasiyo na tija katika taifa letu.
Nakutakia heri katika jitihada zako wewe na washirika wako katika kuleta vita ya Jihad Tanzania.
acha kukimbia fact wewe.
kila la heri! na wewe kuendelea kutushambulia kila siku humu mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…