Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Sawa!!! lakini hili siishie kwenye Mfuko mmoja tu, liende kwa mifuko yote, mashirika ya umma yote, vyuo vikuu vya serikali na vyuo vya ufundi...kama kweli mleta mada ulikuwa na lengo la kuondoa uozo wote kama huo wa 'Dr' hapa nchini...!!
 
Acha uongo hapo hawakuandika hayo u nafikiri kitabu cha Silvan ninachoooo
 
Pascal Mayalla yuko wapi aje kumtukana Dr Dau kama kawaida yake????
 
Acha uongo hapo hawakuandika hayo u nafikiri kitabu cha Silvan ninachoooo
Antibalaka,
Ustaarabu na adabu inakataza kuitana ''waongo.''
Hapana haja ya kushambuliana kwani matokeo
yake huwa ni kuvuruga mjadala.

Ungeweza tu ukasema kuwa ''kitabu hakisemi
hivyo...''

Lugha inakuwa ya kistaarabu na mnafanya mjadala
wa heshima.
 
Antibalaka,
Ustaarabu na adabu inakataza kuitana ''waongo.''
Hapana haja ya kushambuliana kwani matokeo
yake huwa ni kuvuruga mjadala.

Ungeweza tu ukasema kuwa ''kitabu hakisemi
hivyo...''

Lugha inakuwa ya kistaarabu na mnafanya mjadala
wa heshima.
Nimekuelewa, sorry
 

Ahsante yesu,ahsante jpm umekuja kuikomboa nchi,kuikomboa Nssf,sasa tumeanza kuonja utu wetu ambao dau aliutapanya yeye na mapanya wenzake,yametapanye hela zetu na rasilimali za nchi,hali ndani ya shirika iliathirika na siha ya shirika ikanyauka,sasa shirika linaanza kunawiri,majizi yanahangaika kwa sangoma bila mafanikio,yanaloga,yanatia sumu,yanaweka vikao ila kwa nguvu yako yesu na jpm hawafiki popote.
Mungu ibariki afrika na tanzania
 

Comparison ianze kuanzia 2006-2015,hii mijinga ilikuwa inajifanyia inavyotaka kiss DHAIFU
 
P
Punguani mkristo hadi kwa idrisa?OK ni lini Nssf ilikuwa the least ktk social securities tz?,msingi wa Nssf no mkulo,huyu kibaka dau aliweka nguzo na tofali lakini mwisho alianza kubomoa msingi,kalagabaho
 
P

Punguani mkristo hadi kwa idrisa?OK ni lini Nssf ilikuwa the least ktk social securities tz?,msingi wa Nssf no mkulo,huyu kibaka dau aliweka nguzo na tofali lakini mwisho alianza kubomoa msingi,kalagabaho

Hawa mahayawani yanabwabwatu tu hawajui ilikotoka nssf .mkulo neo alijenga base nzuri huyu mdini akaiharibu kwa kuweka waizi hasa kwenye project ili wagawane,sasa watetez wa dau msubirini kisutu maana hata dhamana haitakuwepo hadi mahakama ya mafisadi itapoanza
 

Huyu DHRA ni kihiyo na ana nyodo sababu tu aliwekwa na hawara yake profesa kapuya kushirikiana na marehemu kaboyonga alokuwa mwenyekiti wa board
 

Mtabwabwaja wee ila dau atawekwa kati kisutu
 
Chuki zilizokuwa moyoni mwako ni kubwa zaid kuliko hizo unazodhihilisha
 

Makala haikuandikwa kitaalamu. Yote ni mambo ya kusemwa, kudaiwa, kuhisiwa, nadharia.....hakuna concrete. Nakuuliza swali moja tu. Juu ya udini: hebu tupe idadi ya wafanyakazi wote walioajiriwa mmoja kwa moja na Dau. Kisha tuone kati yao nani Waislamu na nani sio Waislamu. Na hata ikiwa wengi ni Waislamu, siyo dalili ya udini. Kwa sababu kama ni hivyo tu, hata JPM ni Mdini. LAzima u prove nani ameajiriwa kwa sababu ya dini yake tu bila ya kuwa na sifa zinazostahiki. Nyie watu mwajisemea tu, hamjui hoja kama hizi mkipelekwa kortini hazisimami. Acha kuandika kama mtu ulietumwa au kwa husuda au emotions zako.
 
Ogopa sana mtu mdini.
Inauma sana kubaguliwa kwa namna yoyote ile iwe dini, rangi, kabila au kipato...
Ni dhahiri huyu bwana hakuwa kiongozi mzuri na wala NSSF halikuwa shirika lake binafsi.
 
you are female wild dog,
Hutaki kanywe sumu,hawezi chomoka ktk kashfa za Nssf,indicators
1.uchunguzi unaendelea
2.mjengo wake ada estate ulisimama tangu alipoondolewa Nssf.
Nknknk
utabwabwaja weeeee, lakini wewe ni mbwa tu! period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…