babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
sasa kuna wajinga wanatetea hapa povu linawatoka utadhani mtu wao anasingizwa.Tafuteni audit report ya Ernst and Young ya mwaka 2015... Mtapigwa na butwaa, Kuna uozo ambao hauvumiliki, na mambo yote yameanikwa kwenye report mpaka issue za HRH
Ni vigumu kuthibitisha kama wakristo wengi wanaajiriwa kwa kigezo cha dini maana wengi wana weledi wa elimu unaotakiwa tofauti na majority ya waislam wanaoajiriwa. Kubali tu kwamba kwenye elimu mpo chini na ndo muanzie hapo kujirekebisha. Maeneo mengi yenye waislam bado mwamko wa elimu mdogo... na msipo jirekebisha mtalia mpaka mpaka mwisho wa dunia.
Aisee acheni hizi blabla zilizojaa chuki... Fitna.... Visasi.... Majungu na husda!
Hakuna ushahidi uliotolewa mpaka sasa unaoonesha uhalisia wa hayo usemayo.... Ndio maana Sefue alishindwa Ku provide ushahidi mzito kwa Magu na kuonekana ni mbabaishaji....
Umeeleza sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?
PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?
SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?
Mimi ni mkristo ktk hili sitaki unafiki Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....
Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!
Mkuu nami sipendi udini na ukabila. Lakini hilo halizuii kujua fikra ya mtu. Wengine huwa na nia nzuri ila wanashindwa kuwasilisha wazo.Nilianza kusoma nilipofika hapa " Dr amejaza hadi wapemba" nikaacha maana naamini wote wanaomuita Dr Dau mdini ni watu wenye chuki uislamu na waislamu. Ila huyu ni ameingezea na ubaguzi, siamini mwaka 2016 bado kuna watu wana ubaguzi wa kijinga jinga hivi.
mkuu upo biaed sana,halafu mtu kuwa muislam hakmfanyia kuwa malaika kana kwamba hakosei....kuongezka kwa mtaji ndani ya nssf pamoja na mishahara hakumfanyi dau kuwa mr clean.......Kama kweli huyo mtoa mada ni mtumish wa Nssf nasi atakuwa ni mdeki choo
Kwa sababu kwa akili ya kawaida kabisa hata watu ambao hatupo huko tukiingia tuh kwenye website ya shirika tunajua kuwa kipindi .Dr Dau anaongia assets thaman ilikua kama 170billions na had anaondoka assets ni over 3trillion.. atasemaje shirika limedrop.
Kipind Dr Dau anaingia data zinaonesha officer alikua analipwa almost kama lak 5 na 20elfu hiv..hiv sasa ni zaid ya 1M..utasemaje kwamba shirika limedrop...au ni chiz huyo?
Dr Dau kipind anaingia Nssf nan alikua anaijua?
Lakn hiv sasa Nssf ni leading pension fund siyo Tuh Tanzania bali ni East and Central Africa..na vision yao ni kwamba hadi 2020. Ni kuwa leading pension fund Africa..!huyo anaejiita ni mfanya kaz wa Nssf anashindwaje kujua hata mission and vision za muajiri wake?
Kama siyo chuki ni kitu gan.
Palipo na ukweli pasemwe.... Hili ni shirika pekee ambalo serikali inakimbilia kukopa hela ikifulia na hairejeshi....Ndugu umesema sahihi kabisa. Mimi na wadanyakazi wenzangu mwezi wa 10 tumelipwa mafao ndani ya siku 10 bila kuchelewesha. Maana kampuni Yetu ilikufa. Kwanini watu wanapenda sana kusema uongo? Una faida gani?
mkuu upo biaed sana,halafu mtu kuwa muislam hakmfanyia kuwa malaika kana kwamba hakosei....kuongezka kwa mtaji ndani ya nssf pamoja na mishahara hakumfanyi dau kuwa mr clean.......
kama mtu aliharibu ukweli usemwe,kama mtu alifanya mazuri asifiwe,,,dau kasifiwa sana sasa kuja kwenye kuweka mabaya yake wazi povu linakutoka.
watz tuna shida sana maana hatujui ni wapi tunasimama,hatujui tunaimama kwa ajili ya taifa ama tunasimama kwa ajili ya dini zetu.
kuhusu udini wa dau ,kila kitu kimewekwa wazi,watu wanakwambia iligikia stage mpaka wafagizi na walinzi wanaajiriwa kwa dini zao hili nitatizo tena kubwa sana.
Hilo gumu kusemwa na mwenye chukiVipi mbona hujasema kuhusu mikopo ambayo Serikari ilipewa na shirika na bado haijarudishwa na kusababisha mfuko huu ma mingine kuwa katika hali mbaya?
Amegusia wapemba sio sababu ya dini yao, kumbuka mtoa maada amezungumzia undugu. Mke wa Dr. ni mpemba PLEASENilianza kusoma nilipofika hapa " Dr amejaza hadi wapemba" nikaacha maana naamini wote wanaomuita Dr Dau mdini ni watu wenye chuki uislamu na waislamu. Ila huyu ni ameingezea na ubaguzi, siamini mwaka 2016 bado kuna watu wana ubaguzi wa kijinga jinga hivi.
lakini kumbuka majipu mengi yamelelewa na yule mwislam mwenzenu wa Msoga....... Halafu ninyi watu wa ajabu sana kila siku mna lalamika serikali inawaonea akati JK mwisilam na alitawala miaka 10.. Hivi hamuoni nyinyi waisilam wenyewe ndo chanzo cha matatizo yenu? Nyinyi msijirekebishe endeleeni kupiga majungu wakristo mkidhani kuna hakimu atawaamulia.. "nyetu na roho zenu za korosho, sisi tunasonga tu"
Mkuu nami sipendi udini na ukabila. Lakini hilo halizuii kujua fikra ya mtu. Wengine huwa na nia nzuri ila wanashindwa kuwasilisha wazo.
Upuuzi ule ule tu sasa kwakuwa Dau kaoa Mpemba wapemba wote hawatakiwi kufanya kazi NSSF. Kesho huyu mtu akisema mke wa Mchechu ni mchaga kwahiyo wachaga wote walioajiriwa NHC wamependelewa utamuelewa?Amegusia wapemba sio sababu ya dini yao, kumbuka mtoa maada amezungumzia undugu. Mke wa Dr. ni mpemba PLEASE
Hivi kuna rejal anaweza kuongea upuuzi kama si gasho ni upuuzi kama huwezi ona hili.. Jamaa samakiUmejuaje kama ni gasho?...