Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Kafie mbali na wapagani wenzako ,toa pumba zako humu kama haubelieve in God haituhusu ka na upagan wako usilishe wengine sumu,kafie mbali wakala wakuzimu we,tahnaan mkubwa wewe
 
kwa ujumla dini ni complicated sana, ila kwa kurahisisha ni dini mifumo iliyojaa uongo unaoaminika kua ukweli na pia dini zinategemea sana hofu kama kifaaa chake muhimu sana haswa dini za Abraham( Abrahamic religions).
 
Unachanganya kati ya Mungu na Imani.

Uislam sio Mungu wala ukiristu sio Mungu. Learn the difference
Uislam bila Mungu huo sio Uislam na ukristo bila Mungu sio ukristo. Nisome Nini Sasa hapo lazima vichanganywe unataka niweke Imani Maji ya uvuguvugu Ni kahawa wakati hakuna Buni.
 
hapo umepinda mkuu, wanaoukataa uwepo wa kiumbe cha kufikirika (god), hawapo kwa sababu kiumbe hicho kipo, HAPANA.
Wapo ili kutengua uongo wa watu wachache waliokiumba kiumbe hicho akilini mwa
Fikiri hivi: utaweza kuelewa, na hapo utakuwa mwanzo wa ko kujua kwa kiasi fulani ukweli wa mambo.
Bila shaka hapo ulipo una macho na unaona. Hebu fikiri pasipo mwanga ungeona hicho unachoona? Ungekubali kwamba, unachosikia ni uhalisia (physical existance) au mythicized tu?
Hapo hapo, kwa msaada wa hadubini (microscope) unaweza kuona viumbe ambavyo kwa nguvu ya macho huwezi kuona, jinsi hii haijakufikirisha bado, kuelewa kitu juu ya uwezo wako?
Neno Mungu, ni neno linaloelezea uwezo wa mwisho wa binadamu anapotaja au rejea nguvu iliyofanya vitu hivi vyote vinavyooneka na visivyoonekana. Ni kweli na bayana kabisa nguvu hii iliyofanya vitu vyote ipo na inafanya kazi, ingawa bado, binadamu hajaielewa vizuri. Ndiyo katika ukweli huu, wengine wanita Mungu, wengine Allah, wengine God, n.k. Lakini wrote wanarejelea na kumaanisha nguvu ile ile moja.
Katika mukutadha huu, mtu akidai kwamba Mungu hayupo, ni hadithi za kunga, maana yake macho ni macho pasipo mwanga.
Kwa maana nyingine ni kwamba, ukisema Mungu hayupo maana yake wewe pia haupo. Hii ni wasababu hujioni wewe ukiwepo, hivyo huoni Mungu akiwepo pia.
Hatahivyo, Mungu hasemwi au hafundishwi katika ukristo, kwa mfano na dini nyingine, kwamba ni kiumbe kisicho kuwa na nyama ni spirit and not physical.
Kuelewa vizuri mwanadamu na Mungu: fikiri, mfano huu mdogo, umeme na nyaya za umeme.
 
kwa ujumla dini ni complicated sana, ila kwa kurahisisha ni dini mifumo iliyojaa uongo unaoaminika kua ukweli na pia dini zinategemea sana hofu kama kifaaa chake muhimu sana haswa dini za Abraham( Abrahamic religions).
Na hofu ndiyo msingi mkuu wa mema.Wewe usingekuwa na hofu ya Mungu bila shaka ungelizaa na mamako au babako.
 
Uislamu ni dini yachuki na kuua watu
ondoa fikra za uchongaishi, chambua hoja. Kuna ukweli ktk alio andika. Kifupi dini ni imani, na kuwa na imani, uwezo wa kuhoji uuweke pembeni. Wahubiri ni wana maslahi, si leo swala jana. Take care.
 
Na hofu ndiyo msingi mkuu wa mema.Wewe usingekuwa na hofu ya Mungu bila shaka ungelizaa na mamako au babako.
Mimi sina hofu ya Mungu na sijafanya hivyo uvanyovisema. Mtu mwenye akili haitaji aambiwe kuna mungu ili atende "mema".
 
Daah kila mtu na imani yake kijana ww baki tu na imani yako ukifa ndo utajua km kuna Mungu,Moto,pepo omba visiwepo lkn km vipo imekula kwako bora sisi tunaishi kwa kuamini dini tukifa vikiwa havipo hatujapata hasara ila shughuli vikiwepo sasa
et omb visiwepo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]amuombe nani yan hapo?
 
Dini ni neno lenye asili ya kiarabu huku likiwa na maana Ya njia.

Pamoja na bla bla zako jua kwamba zaidi Ya miaka 2000 iliyopita Yesu Kristo (Neno la MUNGU wa kweli) alivaa mwili akaja na kukaa kwetu.

Huyo Ndiye njia (dini) Ya kweli.

Dunia imejaribu kuficha Sana maisha, no kifo cha Yesu Kalina imeshindikana. Warumi walificha wakashindwa
 
 
"NATURE HAIRUHUSU" tatizo tunajaribu kudhani Mungu ni kama kiumbe, bila kudhani kwamba huenda ni nguvu, inayofanya kila kitu kinakuwa, kinajiendesha na kinaangamia, na hii unayoiita kuwa Nature is part of it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…