No sio dip ni bachelorUkifeli form six .. Diploma huwa wanachukuliwa kwa kutumia matokeo ya O level .. Na KIU diploma zipo .. Wala haina tatizo kabisa .. Hongera yake mwaka watatu anakalibia kumaliza..
kwa matokeo ya mwaka jana na juz fom six mwenye DD ambayo ni four walienda chuo woteUkifeli form six .. Diploma huwa wanachukuliwa kwa kutumia matokeo ya O level .. Na KIU diploma zipo .. Wala haina tatizo kabisa .. Hongera yake mwaka watatu anakalibia kumaliza..
Daah...hao ndio wale wa kufanya operation ya kichwa badala ya miguu.Kiu hili nalo ni jipu sio siri jamaa ang yupo hapo pharmacy anaingia mwaka wa tatu bt form six alikuwa na div 4 sasa hii si kutengeneza bomu kwa taifa kwel?
Mimi nimechoka kubishana na hili linalojiita " catecholamine"Kiu hili nalo ni jipu sio siri jamaa ang yupo hapo pharmacy anaingia mwaka wa tatu bt form six alikuwa na div 4 sasa hii si kutengeneza bomu kwa taifa kwel?
Mpiga era .. Nenda chuo ukasome sawa , uelimike uondoe ujinga , ndio kwanza unaenda kuanza mwaka wa kwanza .. sijui unaenda kusoma kozi gani!! Afu mie nilijua .. Labda upo angalau mwaka tatu hivi ungekuwa na uelewa wa mambo kidogo .. Ukaweza kubishana na mie kaka yako ...Natumaini ukifanikiwa kumaliza , utakuwa umeondokana na ujinga ulio nao .. Kila laheriMimi nimechoka kubishana na hili linalojiita " catecholamine"
Ni ya kweli hayo mkuu?Kwa medical field kiu wanaongoza kwa compitent kuliko chuo chochote Tanzania wana shule ya maana... international and tannzanian lectures.. dogo nenda kiu utafaidika sana... by the way vyuo vyenye shida havijaruhusiw kudahili mwaka wa kwanza kwa intake hii... nenda kampala ukasome uwe international
100% ..watanzania hawajazoea challenges.. wanasoma kwa kufata jina la chuo na sio ubora wa elimu.. kampla imeleta mapinduz ya elim tanzaniiaNi ya kweli hayo mkuu?
Kwa medical field kiu wanaongoza kwa compitent kuliko chuo chochote Tanzania wana shule ya maana... international and tannzanian lectures.. dogo nenda kiu utafaidika sana... by the way vyuo vyenye shida havijaruhusiw kudahili mwaka wa kwanza kwa intake hii... nenda kampala ukasome uwe international
mwaka huu vp wamepata nafasi au wenge tu mana wapom waliochaguliwa harafu hawakwenda je mwaka huu wamedahiliwakwa matokeo ya mwaka jana na juz fom six mwenye DD ambayo ni four walienda chuo wote
Kumbe watu wa pharmacy nao wanafanya operation siku hizi ,sikujua .Daah...hao ndio wale wa kufanya operation ya kichwa badala ya miguu.