Wapo watu waliomba vyuo vingine kabisa machaguo yote matatu lakini wamepangiwa chuo kingine kabisa.
Je mnalijuwa hilo?
njoooo usome kiu kipo vizuri na kimesajiliwa, achana na maneno ya wapambe....I mean kutokusajiliwa
Huwa unajitahidi sana kukitetea chuo chako,big up sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Danganywa sasa humu , afu uache kwenda kusoma .. Wenzako kwa mamia wapo wanajisajili huko sahivi .. Afu siajabu yanayo kukatisha tamaa humu mengine ni wapiga debe huko GOMZ..KIU wanaisikia sikia tu .. Hata jengo la health science hawalijui ... Uamuzi ni wako .
Waambie wakutajie matatizo uone wanavyobwabwaja .. Wanakutajia mgomo wa mwaka 2014/2015 .. Ambao umeleta changes kubwa sana ..mpaka KIU haijafungiwa kudahili mwaka huu .. Kama Yale mavyuo mabovu yaliyo zuiwa kudahili 2016/2017
mm nasoma kiu... hayo wanayosema hakuna ukweli njoo chuo usomeMwaka huu cdhan kama kulikua na mgomo
Toa sababu mkuuKampala sikushauri mkuu
Kwa sababu zipi ?Kampala sikushauri mkuu
Atakuwa na sababu ipi zaidi ya mashauzi?Toa sababu mkuu
Wamekupangoa TCU au? Kama ni wao basi wahoji wao ndo wasimamizi wa hiki chuo pia.Jamani ndugu zangu nimepangiwa Kampala University Kiu Pharmacy naomba mnaojua mtujuze kuhusu ile skendo ya kutisajiliwa na bodies ya maphamasia
mkuu wewe umechaguliwa chuo gani? sababu nilikua nakuona ukihaha sana kwenye threads za kuhusu selection, usikute hata hiyo kampala unaitamani, cha msingi kama hujui kitu heri unyamaze sio kukatisha tamaa watu waliochaguliwa.........Maandamano iko chuo hayaish na unaweza kupga course alaf end of the day unaambiwa haikusajiliwa katka iko chuo.
Toa sababu mkuu
Kwa sababu zipi ?
Migogoro kila kukichana sababu ipi zaidi ya mashauzi?
Au hujui hata Lipumba ni Profesa bingwa wa uchumi?
mkuu upo chuo gani? course ipi? naomba unijibu samahani lakini.......Kwa nini usingetafuta ushauri ndo ukajaza
Yaani umesha kuwa selected ndo unaomba ushauri wewe kweli mwendo kasi.( samahani lakini)
Ni pmmkuu upo chuo gani? course ipi? naomba unijibu samahani lakini.......
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tuambie unasomea wapi mkuu tujue na upo koz gan maana hyo kiu watu wanaililia aseeNi pm
Hakuna la ajabu kuelekea hizi round za mwisho haya hutokea. Sio kila mtu hupata alicho omba. Wanajitahidi kukupa ulicho omba lakini ikishindikana wanakupachika mahali. Unapewa offer unafanya maamuzi.Bro kwa uelewa wangu,hiki kitu HAKIWEZEKANI
Either utapata moja kati ya uliyochagua au utakosa kwenye hiyo round
Wanachosahau hawa vijana ni kuwa machaguo yote matano yana chance sawa ya kuwa selected kwa hiyo huwa wanachagua kozi yoyote ili tu kujaza nafasi na mwishowe mtu anachaguliwa chaguo la tano ambalo hakua na nia nalo ,na hapa ndipo shida inapoanzia
Una uhakika na ulisemalo?Hakuna la ajabu kuelekea hizi round za mwisho haya hutokea. Sio kila mtu hupata alicho omba. Wanajitahidi kukupa ulicho omba lakini ikishindikana wanakupachika mahali. Unapewa offer unafanya maamuzi.
100% LABDA WAACHE MWAKA HUU.Una uhakika na ulisemalo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ata kama wangenichagua apo kwa baat mbaya ningeahirisha mwaka tu.mkuu wewe umechaguliwa chuo gani? sababu nilikua nakuona ukihaha sana kwenye threads za kuhusu selection, usikute hata hiyo kampala unaitamani, cha msingi kama hujui kitu heri unyamaze sio kukatisha tamaa watu waliochaguliwa.........
I bet umechaguliwa cambridge au oxford kwa jinsi unavyo comment....😵😵😵