Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

odbg

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
318
Reaction score
154
Jamani ndugu zangu nimepangiwa Kampala University Kiu Pharmacy naomba mnaojua mtujuze kuhusu ile skendo ya kutisajiliwa na bodies ya maphamasia
 
Mwaka huu cdhan kama kulikua na mgomo
 
Kwa nini usingetafuta ushauri ndo ukajaza

Yaani umesha kuwa selected ndo unaomba ushauri wewe kweli mwendo kasi.( samahani lakini)
 
Kwa nini usingetafuta ushauri ndo ukajaza

Yaani umesha kuwa selected ndo unaomba ushauri wewe kweli mwendo kasi.( samahani lakini)
Ww mbona unajikuta mjuaji,kwani kuhama haiwezekani.afu hujui hats situation ilikuwaje
 
Ungeuliza kabla hujachaguliwa

Kuna mshkaj wang yuko second year ndio ananipa michongo yote ya kile chuo.
Ila kwasabab ume be selected kakomae ivyo ivyo maana hakuna namna

Kwa nini usingetafuta ushauri ndo ukajaza

Yaani umesha kuwa selected ndo unaomba ushauri wewe kweli mwendo kasi.( samahani lakini)
Wapo watu waliomba vyuo vingine kabisa machaguo yote matatu lakini wamepangiwa chuo kingine kabisa.

Je mnalijuwa hilo?
 
  • Thanks
Reactions: THT
Danganywa sasa humu , afu uache kwenda kusoma .. Wenzako kwa mamia wapo wanajisajili huko sahivi .. Afu siajabu yanayo kukatisha tamaa humu mengine ni wapiga debe huko GOMZ..KIU wanaisikia sikia tu .. Hata jengo la health science hawalijui ... Uamuzi ni wako .
 
Waambie wakutajie matatizo uone wanavyobwabwaja .. Wanakutajia mgomo wa mwaka 2014/2015 .. Ambao umeleta changes kubwa sana ..mpaka KIU haijafungiwa kudahili mwaka huu .. Kama Yale mavyuo mabovu yaliyo zuiwa kudahili 2016/2017
 
1476179321242.jpg
 
Back
Top Bottom