Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,434
Yafuatayo ni maoni yangu binafsi - kwanza kama mtanzania halafu baadae kama Mwa CCM kwani daima Naamini Tanzania Kwanza, Siasa Baadae. Mengi ya sababu hizi zinatokana na wananchi wenyewe ambao nimekuwa nazungumza nao mijini na vijijini na kunipelekea kugundua kwamba kuna mapungufu makubwa juu ya ukweli nini hasa kinapelekea chama changu cha CCM kupoteza mvuto kwani tafiti karibia zote juu ya suala hili, including the recent one iliyozaa dhana ya kujivua gamba sio holistic na badala yake nyingi zimekuwa atomistic. Solutions based on the atomistic approach hazitatatua tatizo bali kukuza zaidi tatizo. Nitaanza kwa kuelezea sababu kumi na nne (14) zinazopelekea CCM kupoteza mvuto kwa wananchi. Then mjadala utajikita katika kuangalia dhana nzima ya kujivua gamba na nitamalizia kwa kujadili changamoto zilizopo mbele ya CCM na maoni yangu juu ya nini kifanyike ili kuiokoa CCM katika kipindi hiki kigumu kuliko vyote tangia kuzaliwa kwake mwaka 1977.
Leo hii, kijana ameondokana na muundo huu kwani following the political liberalization in 1992, civics education has, in theory, aimed at producing knowledgeable, questioning citizens who show their affection for their country by critically examining its existing institutions. This contrast ipo evident just from a comparison of topics covered in various civics textbooks today. While texts books enzi za Ujamaa included long and relatively dry descriptions of every major government function or job - from ministers, RCs/DCs to local party leaders, textbooks za after 1992 content zake zimebadilika and instead focus on controversies in government policy and structure. Mfano, textbook ya mwaka 2001 includes an extensive section about the role of media in a democracy, which was hardly mentioned in the texts za Ujamaa era. Vitabu vya sasa heavily criticize the government for its suppression of the media and free speech. Notable issues that were present in the Ujamaa era textbooks, but are not present in todays textbooks were frequent inspiring quotes from leaders, incitement to sacrifice for our country, and carefully framed national historical tales/stories. Implication yake sasa ni nini? A good citizen in the Ujamaa years was a subject of the state, whereas a good citizen today is a participant in the process of political change. Wakati wa Ujamaa, a good subject citizen was loyal to all leaders and state institutions; leo hii, a good participant citizen shows his love of the country by critically demanding that it does better.Hivi ndivyo vijana wengi katika mazingira ya sasa wanajua kuchagua mchele na chuya.
Leo hii asilimia kama 35 ya watanzania wapo mijini na asilimia 65 bado wapo vijijini. Lakini idadi ya watanzania, hususan vijana mijini inaongezeka kwa kasi sana. Wengi wao wanakimbia hali ngumu vijijini and associate the economic hardship with bad policies under serikali ya CCM; lakini pia they associate urban life na Maendeleo, modernity, access to recreational activities etc. Asilimia karibia 60 ya wapiga kura mijini ni vijana na hawa ndio chanzo cha Chadema kushinda majimbo mengi ya mijini kama Dar-es-salaam, Moshi, Mbeya, Musoma, Mwanza n.k kwani idea ya kuhamia mijini kwa wengi wao ni progressive and this goes hand-in-glove with how they perceive Chadema i.e. see it as a progressive and forward oriented party wakati chama chetu cha CCM is being perceived as a regressive party and backward oriented. Nitafafanua hili baadae.
Kitu kingine muhimu pia ni idadi ya wapiga kura wengi vijana wenye elimu ya sekondari inaongezeka kwa kasi. Vile vile, idadi ya vijana wanaoendelea elimu ya chuo kikuu inazidi kukua lakini idadi kubwa sana ya hawa tayari ama wana ndugu, rafiki au jirani anaefanikiwa kufikia kiwango cha elimu ya chuo kikuu. Implication ya suala hili tutalitazama baadae.
Kitu kingine muhimu pia kukizungumza hapa ni kwamba, wakati wa ujana wetu, kumkosoa mkubwa wako ilikuwa ni kosa kubwa sana. Ilifikia hatua hata mkubwa wako akipumua, kijana haraka haraka unachukua jukumu lile na kusema ni mimi ili kumwondolea mkubwa au mzee wako fedhea. Na iwapo utamwona mtu mzima anakosolewa mbele yako basi unamwona ni dhaifu. Nina mfano mzuri juu suala hili katika Tanzania ya leo. Mwaka jana nilipata nafasi ya kuudhuria mafunzo ndani ya darasa moja shule ya msingi wilaya ya kinondoni ili kujionea mwenyewe matatizo yanayowakumba wanafunzi na walimu wao. Shule hii ilikuwa haina uzio (fence) kwahiyo wapitia njia wengi, walikuwa na tabia ya kupayuka kila wakisikia walimu wanafundisha kwa kutamka mwongo huyo, anawadanganya kila wakati walimu walipokuwa wanatoa mafunzo yao. Hili liliwavutia sana wanafunzi wale na polepole wakaanza kupoteza heshima mbele ya walimu wao kwani walianza kuonekana kumbe sio chochote kwani pamoja na ukubwa wao na heshima yao kumbe hata wao wapo vulnerable na wanaweza kosoleka. Sina maana kwamba Chadema ni sawa na mpita njia, la hasha, hoja yangu hapa ni kwamba vijana na watoto wengi sasahivi wamekuwa wanavutiwa sana na hoja za Chadema za kukosoa utendaji wa serikali ya CCM na hoja hizi zimekuwa zinamvua mtu mzima na heshima zake (CCM) nguo hadharani na hili limechangia sana chadema kuvutia vijana na watoto wengi katika mikutano yao ya hadhara kwani wakisikia mikutano ya chadema, wanajua mkubwa anaenda hadhirika.
Suala la jinsia nalo ni muhimu kuligusia kidogo. Idadi ya wanawake Tanzania imekuwa inaongezeka kwa kasi zaidi ya wanaume. Hivi sasa, katika watanzania kumi, wanawake ni kati ya sita na saba. Na tunajua jinsi gani kina mama na kina dada walivyokuwa na ushawishi pamoja na msimamo juu ya masuala mbali mbali in the household iwe kiuchumi, kisiasa na kijamii. Mama au dada akifanya uamuzi, mara nyingi ni wa busara na akishaamua mabadiliko, hayumbi na harudi tena nyuma. Mabadiliko ya changes in age and gender characteristics ni masuala ambayo CCM hatujiandaa kuyadhibiti au kuweka mikakati ya kwendana na mabadiliko hayo. Tuna UWT, UVCCM lakini wameshindwa katika hili.
Bongo flava na rap zilipo emerge in early 1990s, artists no longer needed kuficha the meaning of their words na kwani sasa walipata uhuru wa kutoa maoni yao juu ya social, political and economic issues surrounding them. Following liberalization of the media, wasanii wengi wakaanza kwenda to independent radio stations and recording studios that were rapidly mushrooming in the early 1990s. Consequently, lyrical messages became more direct compared to enzi za dansi na taarab wakati wa Ujamaa au mfumo wa chama kimoja. Muziki wa rap, lwa mfano haraka ukapata a strong network of support from vijana kwani muziki ukawa jukwaa la vijana to promote and amplify their political and social views, na vile vile kuamsha wenzao across the country about the challenges of life. Mfano wasanii kama Roma Mkatoliki na nyimbo zake juu ya mafisadi, au wimbo mpya wa Izzo Business uitwao ridhiwani where anamweleza mtoto wa rais Kikwete ridhiwani akamwambie baba yake adha wanayopata vijana. Yote haya yamechangia sana vijana kuamka, kupanuka mawazo na kufanya rational and informed decisions juu ya nini mchele na nini chuya.
Ukiachilia mbali suala la simba na yanga ambalo halina uzito sana, rangi ya kijani katika bendera yetu inaashiria mimea au mazao. Implication yake ni nini? Wakulima wetu wengi wamekuwa na hali duni katika kipindi karibia chote cha miaka 50 ya uhuru, na suala hili limekuwa linatugharimu sana kisiasa CCM pamoja na serikali. Katika pita pita zangu huko vijijini, nilikuwa nawapa chemsha bongo watu kwa kuwauliza hivi bendera ya chama chetu ina rangi ngapi? Wengi walijibu mbili kijani na njano. Lakini ukweli ni kwamba rangi ya CCM ni moja tu kijani na hata katiba ya chama inasema hivyo. Mjadala huu ukapelekea niulizwe maswali, Je rangi ya kijani katika bendera yetu ya CCM na ile ya Tanzania zinawakilisha kitu gani? Nikawajibu haraka haraka kwamba ni mimea au mazao na ustawi wake. Baadhi ya wakulima wakaelekea kukerwa sana na suala la rangi ya kijani kuashiria ustawi wa mimea wakati kilimo chao kipo hoi kwa miaka 50. Utafiti huu ulinistaajabisha sana. Wapo baadhi ya wananchi wakatamka kwamba rangi za Chadema na CUF zina mvuto zaidi.
Pia alama ya za jembe na nyundo zinaonekana kuwakera sana wananchi walalahoi kwani kuna baadhi walitamka kwamba chama kimetekwa na wafanyabiashara. Mwanakijiji mmoja alienda mbali zaidi na kutamka kwamba ni bora jembe na nyundo vigeuzwe kuwa noti ya elfu kumi na nyumba ya ghorofa ili tujue moja.
Suala lingine la kugusia hapa ni la Sera na Dira ya CCM. Unlike miaka ya nyuma, leo hii ni vigumu kwa kijana kuelewa CCM inampeleka wapi. Wapiga kura wengi pia wamekuwa wanachanganya sera za serikali, dira ya nchi na ilani za chaguzi CCM. Wanashindwa kuelewa haya yanahusiana vipi. Ili kujijengea uelewa zaidi, vijana wengi wanaamua kuangalia zaidi ahadi wakati wa kampeni za urais pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwani kama kigezo kikubwa kuelewa serikali inajiendesha vipi na vile vile kuchambua utendaji wa serikali. Ingawa CCM imekuwa inajitahidi kutekeleza ilani zake kwa kiasi kikubwa, bado impact ya utekelezaji huu kwa kijana wa Tanzania ni ndogo sana. Tuna mikakati mizuri sana ambayo hata wapinzani wamekuwa wanaiga lakini tatizo letu limebaki kuwa utekelezaji.
Tatizo lingine ni kwamba leo hii CCM inaendesha nchi katika mifumo miwili, wa kwanza ni ule unaotokana na Azimio La Arusha na wa Pili Azimio La Zanzibar. Hii inaleta conflict of interest kwani kwa upande mmoja, kiongozi anaruhusiwa kuwa na mali n.k akiwa kazini lakini kwa upande mwingine linakuwa tatizo. Vile vile katika siasa zetu ndani ya chama, Ujamaa na kujitegemea still features but in practice, hakuna kitu. Inasikitisha kusikia vijana wa UVCCM katika salam zao wakiimba siasa za Ujamaa na kujitegemea wakati in practice hazipo.
Pengine nimalizie sehemu hii kwa kusema kwamba watanzania wengi walishakata tama na serikali ya CCM (suala la hudua za kijamii) baada ya Mwl. Nyerere kuondoka madarakani mwaka 1985 kwani ni wakati huu ambapo mageuzi ya kiuchumi yalianza kuja kwa kasi na huduma za kijamii zikaanza kutoweka kwa kasi pia. Suala la Ujamaa na kujitegemea likabakia kujitegemea sio kama jamii bali kivyakovyako kimaisha ili mradi chakula kiingie tumboni. Kutokana na hali hiyo wananchi wengi wakaanza kujitafutia huduma wenyewe mfano kiafya by kujilipia wenyewe in private hospitals au kwenda hata kwa waganga wa jadi kwa wale waliokosa uwezi kifedha; in terms of employment, pakatokea massive lay-offs as the government used to be the major employer in the modern sector wengi wakaishia kwenye informal sector kama mama lishe, machinga n.k. Kwa wale waliobahatika kubaki makazini, real wages zilishuka kwa kasi kwani Basic Salary haziku match na uhalisia wa gharama za maisha, Kwahiyo wakaanza kupunguza kujituma katika kazi zao rasmi na kutumia muda mwingi kwenye informal income generating activities; kuna wengine wengi pia ambao walianza kujisaidia kwa kuiba fedha za serikali, rushwa ikakithiri n.k. Kutokana na hali hii, by 1992 when mfumo wa vyama vingi ulipoingia, wananchi wengi walishakuwa disappointed na CCM kwani baada ya miaka yote ya kujitolea mashambani na makazini kwa bidii mwisho wake ikaishia kuwaweka katika hali mbaya zaidi ya kiuchumi. Pampja na yote haya, wananchi wengi waliendelea kuunga mkono CCM after 1992, sio kwasababu eti sera zetu zilikuwa na tija kwao bali kutokana na perception iliyokuwepo kwamba upinzani utaleta uvunjaji wa amani na utulivu. Kwa kuunga mkono utawala wa CCM iliwaletea matumaini kwamba angalau the future was more predictable notion kwamba maisha ya tabu lakini amani uhakika wa amani upo.
Vijana wengi wanawangalia kina Zitto, Mnyika kama their inspirational figures, especially given the unequivocal level of success katika harakati zao za kupigania maslahi yao na ya nchi kwa ujumla. Vijana wengi sasa wanahisi wamepata viongozi wa kuwasikiliza. Hivi sasa, Zitto, Mnyika, Mdee wanazidi kuonekana kama standard ya viongozi bora, not just among viongozi vijana Tanzania bali pamoja na wazee. CCM tumeanza kubadilika katika hili kwa kuingiza vijana katika nafasi za juu lakini inabidi tukimbie wakati upinzani wanatembea.
Nikiwa bado katika suala la viongozi bora versus bora viongozi, kwa kiasi kikubwa viongozi wetu wengi ndani ya CCM wamepitwa na wakati na hawana elimu inayohitajika kuongoza Tanzania ya leo. Mfano mdogo tu ni kwamba ukiangalia wengi wa watendaji wetu katika chama, karibia asilimia 90 (Makatibu wa CCM wilaya na Mikoa) ni darasa la Saba, la nane, kumi au kidato cha nne. Hawa wanawaongoza vijana wa Tanzania ya leo ambao wengi wao wamesoma na ndio washauri wakuu wa wazee wetu huko vijijini kuhusu masuala mbali mbali ya kiuchumi na kisiasa (kwani kijamii bado wazee wameshika usukani). Mfano rahisi na wakaribu kushindwa kwa wanafunzi wa vyuo kuja Dar-es-salaam kupiga kura October 2010 brought more harm than good for CCM kwani utafiti unaonyesha kwamba kubaki kwao mikoa husika walisaidia sana Chadema kupata kura nyingi za ubunge na urais. Tuzidi kukumbuka kwamba leo hii, nyumba nyingi Tanzania aidha ina mtoto, ndugu, rafiki au jirani aliefika au anaesoma elimu ya chuo kikuu.
Ukweli unabakia kwamba dhana ya Gamba ni dhana nzuri sana because its all about change. Chama chochote huwa kinahitaji changes aidha kwa ajili ya ku stimulate growth au kurekebisha makosa kadhaa. Chadema kwa mfano kimepitia transformations nyingi kufikia hapa ilipo na hiyo ilikuwa ni dhana ya gamba vile vile kwa maana ya transforming and modernize the party au in other words realizing change is the only thing thats constant if you want to stay ahead of competition. Chadema ya 1995 sio Chadema ya 2005 na sio Chadema ya 2010 na haitakuwa chadema ya 2015 na hii inatokana na Chadema kujivua gamba kila wakati. Ninadiriki kusema hapa kwamba kwa wasio elewa dhana ya gamba watakuja na shambulizi kubwa sana juu ya hoja yangu hii.
I personally do not think suala la gamba ni suala la ufisadi pekee kwani ufisadi is ubiquitous yani lipo kila mahali, na litaendelea kuwepo chini ya chama chochote kwa muda mrefu sana, kama lilivyo nchi hata zilizoendelea. Kitachobadilika chini ya utawala mwingine mfano wa Chadema, CUF etc iwapo watafanikiwa kukamata madaraka ya nchi, itakuwa pengine ni the magnitude ya ufisadi and implementation ya anti ufisadi strategies. Otherwise tumeona katika nchi nyingi zilizotutangulia kimageuzi jinsi gani vyama vipya viliingia kwa sera za kumaliza ufisadi lakini viongozi hao hao kuishia kuwa mafisadi mara tu walipopata uongozi wan nchi .Ndio maana uamuzi wa Chadema kugundua kwamba mtaji wao haupo kwenye ufisadi pekee ni mzuri kwani kuna masuala mengine mengi muhimu zaidi kuleta Maendeleo na wameanza kuyafanyia kazi.
Pia nisema kwamba suala la gamba limekaa kishabiki zaidi kwani ni desturi yetu watanzania kufurahia kuona mwenzako anaanguka hata kama anguko halina maelezo yanayojitosheleza. Hata Jenerali Ulimwengu amelizungumzia hili katika current issue ya RAI. Lakini hii haina maana kwamba siungi mkono mafisadi kutolewa, ila napinga approach ya kuwatoa just because umma una perceive ni mafisadi. Sio sahihi kumfukuza mtu kwenye chama sababu tu ni mtuhumiwa. Kabla ya kumfukuza, ni lazima kiongozi huyo apewe nafasi ya kujieleza kwani ni haki yake ya msingi. Wapo wanaosema kwamba tuhuma za kisiasa sio lazima ziwe za kimahakama. Nakubaliana na hilo ndio maana viongozi huwa wanajiuzulu na suala linaishia hapo. Lakini hili la kufukuzana ndani ya chama ni jipya na ni la hatari. Kwa kifupi, kujiuzulu kwa tuhuma ni sahihi, lakini kufukuza mtu ni suala linguine, ni muhimu haki itendeke na wapewe nafasi ya kujieleza ili tusije fanya maamuzi ya hisia na ushabiki. Tuelezwe tuhuma zao ili tuzijue na wao wajieleze ili wananchi tupime. Otherwise tujiulize, hata ndani ya vyama vya upinzani, ni wangapi watapona kutokana na tuhuma based on perception kwani zipo nyingi. Mfano, Chadema is perceived kuwa chama cha wachaga etc. Wananchi wakihukumu based on this perception?
Kwa mtazamo wangu, kujivua gamba iwe zaidi:
Kwetu sisi CCM imetuwia vigumu to maintain us at the steady state and we are in the brink of entering into a decline stage if we dont take urgent decisions now and leave important decisions for later.
Changamoto facing CCM Vis-à-vis Chadema
Nimalizie kwa kusema kwamba, kwa upeo wangu ambao upo informed na magazeti mbali mbali pamoja na threads za humu ndani ya JamiiForums, inaonekana mwaka 2015 CCM tutakuwa na wagombea wengi sana na watagawanyika katika makundi makuu matano:
- Sababu ya Kwanza CCM kupoteza umaarufu ni Mabadiliko katika silabasi elimu ya uraia mashuleni.

- Sababu ya pili CCM kupoteza umaarufu: Demographic changes (in terms of population).
Leo hii asilimia kama 35 ya watanzania wapo mijini na asilimia 65 bado wapo vijijini. Lakini idadi ya watanzania, hususan vijana mijini inaongezeka kwa kasi sana. Wengi wao wanakimbia hali ngumu vijijini and associate the economic hardship with bad policies under serikali ya CCM; lakini pia they associate urban life na Maendeleo, modernity, access to recreational activities etc. Asilimia karibia 60 ya wapiga kura mijini ni vijana na hawa ndio chanzo cha Chadema kushinda majimbo mengi ya mijini kama Dar-es-salaam, Moshi, Mbeya, Musoma, Mwanza n.k kwani idea ya kuhamia mijini kwa wengi wao ni progressive and this goes hand-in-glove with how they perceive Chadema i.e. see it as a progressive and forward oriented party wakati chama chetu cha CCM is being perceived as a regressive party and backward oriented. Nitafafanua hili baadae.
Kitu kingine muhimu pia ni idadi ya wapiga kura wengi vijana wenye elimu ya sekondari inaongezeka kwa kasi. Vile vile, idadi ya vijana wanaoendelea elimu ya chuo kikuu inazidi kukua lakini idadi kubwa sana ya hawa tayari ama wana ndugu, rafiki au jirani anaefanikiwa kufikia kiwango cha elimu ya chuo kikuu. Implication ya suala hili tutalitazama baadae.
- Tatizo kubwa linalowakabili vijana hawa ni nini?
Kitu kingine muhimu pia kukizungumza hapa ni kwamba, wakati wa ujana wetu, kumkosoa mkubwa wako ilikuwa ni kosa kubwa sana. Ilifikia hatua hata mkubwa wako akipumua, kijana haraka haraka unachukua jukumu lile na kusema ni mimi ili kumwondolea mkubwa au mzee wako fedhea. Na iwapo utamwona mtu mzima anakosolewa mbele yako basi unamwona ni dhaifu. Nina mfano mzuri juu suala hili katika Tanzania ya leo. Mwaka jana nilipata nafasi ya kuudhuria mafunzo ndani ya darasa moja shule ya msingi wilaya ya kinondoni ili kujionea mwenyewe matatizo yanayowakumba wanafunzi na walimu wao. Shule hii ilikuwa haina uzio (fence) kwahiyo wapitia njia wengi, walikuwa na tabia ya kupayuka kila wakisikia walimu wanafundisha kwa kutamka mwongo huyo, anawadanganya kila wakati walimu walipokuwa wanatoa mafunzo yao. Hili liliwavutia sana wanafunzi wale na polepole wakaanza kupoteza heshima mbele ya walimu wao kwani walianza kuonekana kumbe sio chochote kwani pamoja na ukubwa wao na heshima yao kumbe hata wao wapo vulnerable na wanaweza kosoleka. Sina maana kwamba Chadema ni sawa na mpita njia, la hasha, hoja yangu hapa ni kwamba vijana na watoto wengi sasahivi wamekuwa wanavutiwa sana na hoja za Chadema za kukosoa utendaji wa serikali ya CCM na hoja hizi zimekuwa zinamvua mtu mzima na heshima zake (CCM) nguo hadharani na hili limechangia sana chadema kuvutia vijana na watoto wengi katika mikutano yao ya hadhara kwani wakisikia mikutano ya chadema, wanajua mkubwa anaenda hadhirika.
Suala la jinsia nalo ni muhimu kuligusia kidogo. Idadi ya wanawake Tanzania imekuwa inaongezeka kwa kasi zaidi ya wanaume. Hivi sasa, katika watanzania kumi, wanawake ni kati ya sita na saba. Na tunajua jinsi gani kina mama na kina dada walivyokuwa na ushawishi pamoja na msimamo juu ya masuala mbali mbali in the household iwe kiuchumi, kisiasa na kijamii. Mama au dada akifanya uamuzi, mara nyingi ni wa busara na akishaamua mabadiliko, hayumbi na harudi tena nyuma. Mabadiliko ya changes in age and gender characteristics ni masuala ambayo CCM hatujiandaa kuyadhibiti au kuweka mikakati ya kwendana na mabadiliko hayo. Tuna UWT, UVCCM lakini wameshindwa katika hili.
- Sababu ya tatu CCM kupoteza umaarufu: Tofauti na sasa, zamani ilikuwa ni wajibu wa kila mwananchi kushiriki shughuli za CCM
- Sababu ya nne CCM kupoteza umaarufu: Removal of censorship katika muziki wa kitanzania
Bongo flava na rap zilipo emerge in early 1990s, artists no longer needed kuficha the meaning of their words na kwani sasa walipata uhuru wa kutoa maoni yao juu ya social, political and economic issues surrounding them. Following liberalization of the media, wasanii wengi wakaanza kwenda to independent radio stations and recording studios that were rapidly mushrooming in the early 1990s. Consequently, lyrical messages became more direct compared to enzi za dansi na taarab wakati wa Ujamaa au mfumo wa chama kimoja. Muziki wa rap, lwa mfano haraka ukapata a strong network of support from vijana kwani muziki ukawa jukwaa la vijana to promote and amplify their political and social views, na vile vile kuamsha wenzao across the country about the challenges of life. Mfano wasanii kama Roma Mkatoliki na nyimbo zake juu ya mafisadi, au wimbo mpya wa Izzo Business uitwao ridhiwani where anamweleza mtoto wa rais Kikwete ridhiwani akamwambie baba yake adha wanayopata vijana. Yote haya yamechangia sana vijana kuamka, kupanuka mawazo na kufanya rational and informed decisions juu ya nini mchele na nini chuya.
- Sababu ya tano CCM kupoteza umaarufu: Jina la Chama yani CHAMA CHA MAPINDUZI
- Sababu ya sita CCM kupoteza umaarufu: Rangi ya bendera ya Chama Pamoja na Suala la Jembe na Nyundo.
Ukiachilia mbali suala la simba na yanga ambalo halina uzito sana, rangi ya kijani katika bendera yetu inaashiria mimea au mazao. Implication yake ni nini? Wakulima wetu wengi wamekuwa na hali duni katika kipindi karibia chote cha miaka 50 ya uhuru, na suala hili limekuwa linatugharimu sana kisiasa CCM pamoja na serikali. Katika pita pita zangu huko vijijini, nilikuwa nawapa chemsha bongo watu kwa kuwauliza hivi bendera ya chama chetu ina rangi ngapi? Wengi walijibu mbili kijani na njano. Lakini ukweli ni kwamba rangi ya CCM ni moja tu kijani na hata katiba ya chama inasema hivyo. Mjadala huu ukapelekea niulizwe maswali, Je rangi ya kijani katika bendera yetu ya CCM na ile ya Tanzania zinawakilisha kitu gani? Nikawajibu haraka haraka kwamba ni mimea au mazao na ustawi wake. Baadhi ya wakulima wakaelekea kukerwa sana na suala la rangi ya kijani kuashiria ustawi wa mimea wakati kilimo chao kipo hoi kwa miaka 50. Utafiti huu ulinistaajabisha sana. Wapo baadhi ya wananchi wakatamka kwamba rangi za Chadema na CUF zina mvuto zaidi.
Pia alama ya za jembe na nyundo zinaonekana kuwakera sana wananchi walalahoi kwani kuna baadhi walitamka kwamba chama kimetekwa na wafanyabiashara. Mwanakijiji mmoja alienda mbali zaidi na kutamka kwamba ni bora jembe na nyundo vigeuzwe kuwa noti ya elfu kumi na nyumba ya ghorofa ili tujue moja.
- Sababu ya saba CCM kupoteza umaarufu: Mfumo wa CCM (As an organization) ni wa kizamani.
- Sababu ya nane CCM kupoteza umaarufu: Chama chetu kimeshindwa kusimamia serikali.
Suala lingine la kugusia hapa ni la Sera na Dira ya CCM. Unlike miaka ya nyuma, leo hii ni vigumu kwa kijana kuelewa CCM inampeleka wapi. Wapiga kura wengi pia wamekuwa wanachanganya sera za serikali, dira ya nchi na ilani za chaguzi CCM. Wanashindwa kuelewa haya yanahusiana vipi. Ili kujijengea uelewa zaidi, vijana wengi wanaamua kuangalia zaidi ahadi wakati wa kampeni za urais pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwani kama kigezo kikubwa kuelewa serikali inajiendesha vipi na vile vile kuchambua utendaji wa serikali. Ingawa CCM imekuwa inajitahidi kutekeleza ilani zake kwa kiasi kikubwa, bado impact ya utekelezaji huu kwa kijana wa Tanzania ni ndogo sana. Tuna mikakati mizuri sana ambayo hata wapinzani wamekuwa wanaiga lakini tatizo letu limebaki kuwa utekelezaji.
Tatizo lingine ni kwamba leo hii CCM inaendesha nchi katika mifumo miwili, wa kwanza ni ule unaotokana na Azimio La Arusha na wa Pili Azimio La Zanzibar. Hii inaleta conflict of interest kwani kwa upande mmoja, kiongozi anaruhusiwa kuwa na mali n.k akiwa kazini lakini kwa upande mwingine linakuwa tatizo. Vile vile katika siasa zetu ndani ya chama, Ujamaa na kujitegemea still features but in practice, hakuna kitu. Inasikitisha kusikia vijana wa UVCCM katika salam zao wakiimba siasa za Ujamaa na kujitegemea wakati in practice hazipo.
Pengine nimalizie sehemu hii kwa kusema kwamba watanzania wengi walishakata tama na serikali ya CCM (suala la hudua za kijamii) baada ya Mwl. Nyerere kuondoka madarakani mwaka 1985 kwani ni wakati huu ambapo mageuzi ya kiuchumi yalianza kuja kwa kasi na huduma za kijamii zikaanza kutoweka kwa kasi pia. Suala la Ujamaa na kujitegemea likabakia kujitegemea sio kama jamii bali kivyakovyako kimaisha ili mradi chakula kiingie tumboni. Kutokana na hali hiyo wananchi wengi wakaanza kujitafutia huduma wenyewe mfano kiafya by kujilipia wenyewe in private hospitals au kwenda hata kwa waganga wa jadi kwa wale waliokosa uwezi kifedha; in terms of employment, pakatokea massive lay-offs as the government used to be the major employer in the modern sector wengi wakaishia kwenye informal sector kama mama lishe, machinga n.k. Kwa wale waliobahatika kubaki makazini, real wages zilishuka kwa kasi kwani Basic Salary haziku match na uhalisia wa gharama za maisha, Kwahiyo wakaanza kupunguza kujituma katika kazi zao rasmi na kutumia muda mwingi kwenye informal income generating activities; kuna wengine wengi pia ambao walianza kujisaidia kwa kuiba fedha za serikali, rushwa ikakithiri n.k. Kutokana na hali hii, by 1992 when mfumo wa vyama vingi ulipoingia, wananchi wengi walishakuwa disappointed na CCM kwani baada ya miaka yote ya kujitolea mashambani na makazini kwa bidii mwisho wake ikaishia kuwaweka katika hali mbaya zaidi ya kiuchumi. Pampja na yote haya, wananchi wengi waliendelea kuunga mkono CCM after 1992, sio kwasababu eti sera zetu zilikuwa na tija kwao bali kutokana na perception iliyokuwepo kwamba upinzani utaleta uvunjaji wa amani na utulivu. Kwa kuunga mkono utawala wa CCM iliwaletea matumaini kwamba angalau the future was more predictable notion kwamba maisha ya tabu lakini amani uhakika wa amani upo.
- Sababu ya tisa CCM kupoteza umaarufu: Kufutwa kwa mishahara ya watendaji muhimu wa chama.
- Sababu ya Kumi CCM kupoteza mvuto: Kusahaulika kwa viongozi ngazi za chaini - wajumbe wa nyumba kumi kumi
- Sababu ya kumi na Moja CCM kupoteza mvuto: Kutokuwepo kwa Baraza kuu la Vijana Taifa Tanzania.
- Sababu ya kumi na mbili CCM kupoteza mvuto: Exposure ya Vijana on Whats happening outside Tanzania
- Sababu ya kumi na tatu CCM kupoteza mvuto: Failure ya CCM to groom viongozi bora.
Vijana wengi wanawangalia kina Zitto, Mnyika kama their inspirational figures, especially given the unequivocal level of success katika harakati zao za kupigania maslahi yao na ya nchi kwa ujumla. Vijana wengi sasa wanahisi wamepata viongozi wa kuwasikiliza. Hivi sasa, Zitto, Mnyika, Mdee wanazidi kuonekana kama standard ya viongozi bora, not just among viongozi vijana Tanzania bali pamoja na wazee. CCM tumeanza kubadilika katika hili kwa kuingiza vijana katika nafasi za juu lakini inabidi tukimbie wakati upinzani wanatembea.
Nikiwa bado katika suala la viongozi bora versus bora viongozi, kwa kiasi kikubwa viongozi wetu wengi ndani ya CCM wamepitwa na wakati na hawana elimu inayohitajika kuongoza Tanzania ya leo. Mfano mdogo tu ni kwamba ukiangalia wengi wa watendaji wetu katika chama, karibia asilimia 90 (Makatibu wa CCM wilaya na Mikoa) ni darasa la Saba, la nane, kumi au kidato cha nne. Hawa wanawaongoza vijana wa Tanzania ya leo ambao wengi wao wamesoma na ndio washauri wakuu wa wazee wetu huko vijijini kuhusu masuala mbali mbali ya kiuchumi na kisiasa (kwani kijamii bado wazee wameshika usukani). Mfano rahisi na wakaribu kushindwa kwa wanafunzi wa vyuo kuja Dar-es-salaam kupiga kura October 2010 brought more harm than good for CCM kwani utafiti unaonyesha kwamba kubaki kwao mikoa husika walisaidia sana Chadema kupata kura nyingi za ubunge na urais. Tuzidi kukumbuka kwamba leo hii, nyumba nyingi Tanzania aidha ina mtoto, ndugu, rafiki au jirani aliefika au anaesoma elimu ya chuo kikuu.
- Sababu ya Kumi na Nne CCM kupoteza umaarufu: Mbinu zinazotumika kupata Rais, ubunge na Udiwani.
- Dhana ya Kujivua Gamba
Ukweli unabakia kwamba dhana ya Gamba ni dhana nzuri sana because its all about change. Chama chochote huwa kinahitaji changes aidha kwa ajili ya ku stimulate growth au kurekebisha makosa kadhaa. Chadema kwa mfano kimepitia transformations nyingi kufikia hapa ilipo na hiyo ilikuwa ni dhana ya gamba vile vile kwa maana ya transforming and modernize the party au in other words realizing change is the only thing thats constant if you want to stay ahead of competition. Chadema ya 1995 sio Chadema ya 2005 na sio Chadema ya 2010 na haitakuwa chadema ya 2015 na hii inatokana na Chadema kujivua gamba kila wakati. Ninadiriki kusema hapa kwamba kwa wasio elewa dhana ya gamba watakuja na shambulizi kubwa sana juu ya hoja yangu hii.
I personally do not think suala la gamba ni suala la ufisadi pekee kwani ufisadi is ubiquitous yani lipo kila mahali, na litaendelea kuwepo chini ya chama chochote kwa muda mrefu sana, kama lilivyo nchi hata zilizoendelea. Kitachobadilika chini ya utawala mwingine mfano wa Chadema, CUF etc iwapo watafanikiwa kukamata madaraka ya nchi, itakuwa pengine ni the magnitude ya ufisadi and implementation ya anti ufisadi strategies. Otherwise tumeona katika nchi nyingi zilizotutangulia kimageuzi jinsi gani vyama vipya viliingia kwa sera za kumaliza ufisadi lakini viongozi hao hao kuishia kuwa mafisadi mara tu walipopata uongozi wan nchi .Ndio maana uamuzi wa Chadema kugundua kwamba mtaji wao haupo kwenye ufisadi pekee ni mzuri kwani kuna masuala mengine mengi muhimu zaidi kuleta Maendeleo na wameanza kuyafanyia kazi.
Pia nisema kwamba suala la gamba limekaa kishabiki zaidi kwani ni desturi yetu watanzania kufurahia kuona mwenzako anaanguka hata kama anguko halina maelezo yanayojitosheleza. Hata Jenerali Ulimwengu amelizungumzia hili katika current issue ya RAI. Lakini hii haina maana kwamba siungi mkono mafisadi kutolewa, ila napinga approach ya kuwatoa just because umma una perceive ni mafisadi. Sio sahihi kumfukuza mtu kwenye chama sababu tu ni mtuhumiwa. Kabla ya kumfukuza, ni lazima kiongozi huyo apewe nafasi ya kujieleza kwani ni haki yake ya msingi. Wapo wanaosema kwamba tuhuma za kisiasa sio lazima ziwe za kimahakama. Nakubaliana na hilo ndio maana viongozi huwa wanajiuzulu na suala linaishia hapo. Lakini hili la kufukuzana ndani ya chama ni jipya na ni la hatari. Kwa kifupi, kujiuzulu kwa tuhuma ni sahihi, lakini kufukuza mtu ni suala linguine, ni muhimu haki itendeke na wapewe nafasi ya kujieleza ili tusije fanya maamuzi ya hisia na ushabiki. Tuelezwe tuhuma zao ili tuzijue na wao wajieleze ili wananchi tupime. Otherwise tujiulize, hata ndani ya vyama vya upinzani, ni wangapi watapona kutokana na tuhuma based on perception kwani zipo nyingi. Mfano, Chadema is perceived kuwa chama cha wachaga etc. Wananchi wakihukumu based on this perception?
Kwa mtazamo wangu, kujivua gamba iwe zaidi:
- To get rid of viongozi wazee na wenye upeo uliopitwa na wakati.
- To modernize the party in terms of organizational behavioral issues.
- Kuwadhibiti walaji wa pesa za umma katika ngazi za kata, wilaya ambao wanajulikana wazi na ushahidi upo wazi.
- Kuwatoa viongozi mafisadi katika nafasi zao lakini baada ya kuwapa nafasi ya kujieleza, sio kushughulikiana based on perception.
- Tuachane na tabia ya kupeana kazi ndani ya chama kwa njia za upendeleo kama vile undugu, urafiki, na badala yake uteuzi au ajira ziwe based on merit ili wanachama wote waone chama ni chao, sio cha wachache.
- Ni muhimu viongozi wa chama, haswa ngazi za chini kuacha kuwa miungu watu.
Kwetu sisi CCM imetuwia vigumu to maintain us at the steady state and we are in the brink of entering into a decline stage if we dont take urgent decisions now and leave important decisions for later.
Changamoto facing CCM Vis-à-vis Chadema
- Based on the account presented above, it is obvious kwamba Chadema is perceived more as a progressive party na CCM more of a regressive party. CCM needs to reverse this trend.
- When it comes to mass support, Chadema wana fan-base kubwa kuliko loyal-base na CCM tuna loyal-base kubwa kuliko fan-base. Uanachama wa siasa traditionally unaanza na ushabiki, then tararibu mtu unabadilika kuwa loyal to that party. Lakini the fact remains kwamba chadema has more fans than loyal supporters but their fan base is shrinking faster and loyal base growing faster; CCM still has a larger loyal-base than Chadema but both our fan-base and loyal-base are getting depleted at a high rate. Kielelezo kizuri juu ya loyal-base versus fan-base ni an examination on how wapiga kura wengi Tanzania ya leo wamegawanyika sana when it comes kupigia kura chama versus kupigia kura candidate. Hii ni indication kwamba we are still an infant when it comes to democracy.
Nimalizie kwa kusema kwamba, kwa upeo wangu ambao upo informed na magazeti mbali mbali pamoja na threads za humu ndani ya JamiiForums, inaonekana mwaka 2015 CCM tutakuwa na wagombea wengi sana na watagawanyika katika makundi makuu matano:
- Wagombea wataotumia jina au nafasi ya Rais atakaekuwa anamaliza muda wake.
- Wagombea ambao ni watuhumiwa wa ufisadi (by perception) au watakao simamishwa na kuungwa mkono na watuhumiwa wa ufisadi (by perception).
- Wagombea wapambanaji dhidi ya ufisadi au watakaoungwa mkono na hawa wapambanaji.
- Wagombea majeruhi wa uchaguzi wa 2015.
- Na independent candidates ambao hawatakuwa katika makundi tajwa hapo juu na badala yake watachukua tu fomu kujaribu bahati zao.
- Kwanza, tuondokane na siasa za mtu wetu na badala yake kuegemea zaidi katika siasa za chama chetu au nchi yetu. Hapo ndipo tutapata kiongozi bora na sio bora kiongozi. Tujifunze kilichojiri katika kura za maoni ambapo viongozi wa CCM walidhania wanaemtaka wao basi ni huyo huyo wapiga kura watamchagua.
- Katika mchakato wa kumpata mgombea wa 2015 tujitahidi kuepuka kuangalia kabila, dini, kanda au zamu ya huku au zamu ya wale; pia utamaduni wa kwamba huyu hana mizizi au uzoefu ndani ya chama. Wapiga kura wengi, may be close to 80% watakuwa ni mixuture ya waliokulia na kuzaliwa ndani ya mfumo wa vyama vingi (i.e. after 1992); hawajui TANU wala Afro shiraz party ni nini;hawajali nani ana uzoefu katika chama; hawajui au kujali suala la amani na utulivu wakati hali halisi ni kwamba njaa zinawauma; wanachojali ni kupata kiongozi mwenye mvuto kwao, asiye na kashfa na mwenye ushahidi wa kuwa mchapa kazi. Kwahiyo, ili CCM tupate mgombea wa kutuhakikishia ushindi mwaka 2015, tuangalie kwanza nani anakubalika na wananchi huko nje, na hata kama hana mizizi mirefu au uzoefu ndani ya chama, au hata kama sio mwenzetu, huyo huyo ambae jamii inamkubali tumchukue na kuanza kum groom tena mapema, san asana baada ya uchaguzi wa CCM mwakani. Lakini kuna hatari ya mtu huyu kuchafuliwa tena na sisi wenyewe kwasababu ya siasa za mwenzetu kwanza badala ya chama chetu au taifa letu kwanza. I am not trying to be pessimistic lakini kuna dalili kwamba siasa za mtu wetu will continue to overshadow siasa za chama chetu au nchi yetu. Hilo ndilo litakuwa beleshi lenye mchanga wa mwisho katika kaburi letu CCM. Kama mwana CCM, nimelelewa kusema mambo bila uoga ili mradi sikashifu mtu na sivunji sheria zilizopo. Isitoshe, hoja ya kusubiri kuyazungumza haya ndani ya vikao vya chama hainigusi kwani mimi ni mwana CCM wa kawaida tu kama kina jumbe, mzee rashidi na mama mazinge mitaani kwetu kinondoni. Vinginevyo, nitabakia kusema ukweli daima kwani fitina kwangu mwiko.