Mimi sikuwahi kupima kujua grupu la damu,nikiwa mikoa yenye mbu mfano ukanda wa pwani nilikuwa nang'atwa na mbu hadi mchana.Mimi ni O+ ambacho mpaka sasa nina uhakika nacho ni kwamba O anang’atwa sana na mbu.
Yaani mkikaa nje usiku mtu mwenye O na mwingine labda A, B au AB basi wewe mwenye O lazima cha moto ukione wakati huo unapiga piga mbu mwezako hana habari
Nina shoga yangu yupo Kinondon hapa ni O-ve ana miaka 8 anagonga Arv.O-ve Ni best kwa sababu haina antigens watakaofanya ma group mengine ya damu kuzalisha antibodies hivyo ni blood group isiyokataliwa na ma group mengine (isipokuwa golden blood) ya damu ndiyo maana wakaitwa UNIVERSAL DONORS.
Blood group AB+ ni best na kinyume cha O-ve kwa maana yeye hazalishi antibodies kutokana na uwepo wa groups nyengine za damu hivyo kupelekea kupokea damu kutoka kwa magroup yote ya damu ndiyo maana akaitwa UNIVERSAL RECIPIENT.
The best blood ni GOLDEN BLOOD ambayo ina rhesus factor null (RH NULL) Na watu wasiozidi 50 dunia nzima ndo wana hiyo damu na wanaishi nchi mbali mbali hii ina maana kama mmoja wao akahitajia kuongezwa damu itabidi wamtafute na kumsafirisha mmoja wa hao watu maana hata wakiwekewa 0 -ve bado italeta immune response mbaya mno itakayopelekea kifo.
Hakuna ukweli wowote kuhusu hayo, hakuna cha resistant wala nini kinachomfanya mtu kuwa resistant wa virusi vya ukimwi ni genetic anomality inayotokea pale ambapo gene code "CCR5" inapopata mutation ambayo kwa asilimia kubwa itaathiri chembe chembe zako za damu kutokuwa na ukuta (cell membrane na si cell wall) wenye upenyo( soma zaidi kuhusu fluid mosaic model utaelewa namaanisha nini) wa kuruhusu kirusi kujishikiza wachilia mbali kuingia.
Hivyo hawa watu hata uwaingize damu ya mwathirika yaani hapati ukimwi wala nini na asilimia 1% tu duniani ndo wana hiyo mutation wengi wao ni wanapatikana nchi za ulaya na hawa wametokana na kizazi cha wale watu waliopona ugonjwa mbaya wa tauni walioupa jina (the black death fuatia zaidi ni histiria nzuri) ambao kirusi chake kinafanya kazi sawa na HIV hivyo wakapata bahati ya kurithi hiyo mutation .
Sababu nyengine ni exposure ya kirusi ya mara kwa mara , hapo nairobi kenya kuna wataalam walifanya utafiti mdogo uliohusisha machangudoa na waliwapima ila wengi walikutwa hawana ukimwi licha ya kufanya ngono zembe kwa muda mrefu .
Basi wakawachukua baadhi yao wakawawezesha kama part ya experiment hivyo kupelekea hao changidoa kujiweka mbali na kazi yao , baada ya muda mrefu wakaja kuwapima ndipo walipogundua hao waliowawezesha wamepata maambukizi na wale walioendelea ka kazi yao hawakuwa na maambukizi na hawa ambao waliendelea na kazi yao wakakutwa na extra layer ya protein kwenye seli hai zao .
Wakafikia conclusion kwamba hata exposure ya aina mbali mbali ya virusi vya HIV inapelekea mwili ku addapt na kutafuta njia mbadala ya kujikinga .
Kingine ni kuna watu baadhi miili yao inakuwa na uwezo wa kulimit kiwango cha virusi ndani ya miili yao yaani unakuta anapata maambukizi lakini viral load per cell inakuwa ndogo mno na virusi huwa haviendelei kujizalisha wala kutafuta njia ya kutoka ndani ya cell na kufanya maambukizi zaidi.
Hawa watu wanaitwa HIV controllers na hii haitegemeani na group la damu .
Hawa watu wanaweza kuambukiza wengine ila wao hutokaa usikie wanapata magonjwa mengine yanayotokea baada ya kupata ukimwi kamwe na unaweza ukawapima waka test negative.
Nijuavyi ni kwamba kuna magojwa ya kawaida yasiyoambukiza ambayo kila kundi la damu linaathiriwa zaidi na huo ugojwa mfano group AB magonjwa ya mfumo wa moyo, B kisukari na O ni vidonda vya tumbo.
Hongera sana kwa kuchakata mara 100
FICHA HUU ujinga. Kupata UKIMWI haiwezi kuwa mipango ya Mungu.. usiwe kama Wanaosema KIFO NI SEHEMU YA MAISHA wakati ukweli KIFO NI KINYUME CHA MAISHA.Nina shoga yangu yupo Kinondon hapa ni O-ve ana miaka 8 anagonga Arv.
Sasa nikisoma story zenu huku za Research na nikimwangalia huyu rafk yangu naona ishu ya Kupata Maambukiz ni Mipango ya Mungu tuh wala haihusian na group la Dam
Labda pia una kibamia,maana wakibamia kupata ngoma nasikia sio kazi rahisi-huwa wamateleza kama kambale.Inawezekana kupata maambukuzi. Ila sio kirahisi rahisi. Kiukwel mie nishawahi kuteleza kwa waathirika kadhaa tena mmoja nili-sex nae zaidi ya mara 100 tena peku.
Lakini alhamdulillah nipo salama, sasa sijui ni sababu ya O negative au kuna sababu nyingine.
Mawazo yako hayo.Inaezekana mara 100 zote hakukuepo na mchubuano unaokutanisha damu zenu. Mlikua mnakulana kama watoto
Inch 6 na point zake inawezekana ni kibamia?Labda pia una kibamia,maana wakibamia kupata ngoma nasikia sio kazi rahisi-huwa wamateleza kama kambale.
Ni proved info mzee articles zipo online free unaweza kufuatilia kwa muda wako binafsi ila jua kuna watu HIV hawafanyi kazi.[emoji28][emoji28][emoji28] huwaga nacheka sana nikionaga maelezo kama haya kuhusu ukimwi. Ikitokea mtu amesex na mwathirika alaf akapimwa na kukutwa negative , lazima mje na maelezo hayo, waambieni watu ukweli aisee, anyway, hizi propaganda zina mwisho wake, siku itafika.
Umeelewa lakini nilichoandika mkuu? Hakuna sehemu nimesema O -ve ni the best kwa sababu hawapati ukimwi HAKUNA kama ipo uko free kuonesha .Nina shoga yangu yupo Kinondon hapa ni O-ve ana miaka 8 anagonga Arv.
Sasa nikisoma story zenu huku za Research na nikimwangalia huyu rafk yangu naona ishu ya Kupata Maambukiz ni Mipango ya Mungu tuh wala haihusian na group la Dam
Jidanganye mkuu , hakuna blood group lina resistant ya HIV siku moja utapata unachokitafuta.hata mimi nilishapitiz maeneo ya hatari ila nikienda kupima naambiwa nakupa ni negative View attachment 2380978
Mm ni o neg, nilivyojifungua na nilivyokuwa na mimba wik 28 nilichoma hiyo sindanoMi ni 0-
Mara ya kwanza kugundua na nlvokuwa naambiwa sjui yatakuja kuwa kweli?
Mara oh ukjfungua mtoto wa kwanza kama baba yake atakuwa grp yoyote rhesus +Haina tatizo ila kuanzia wa pili na kuendelea uspochoma sjui sindano ya ANT D watoto watafariki..ila kama atakuwa rhesus - watoto hawatakuwa na shida yoyote.
Sjui Sasa kama ni ya kweli haya [emoji119][emoji119][emoji119]
MUNGU anisaidie tu.
Bado watu wengi wanashindwa kufahamu kuwa ngoni haiambukizi HIV. Kinachopelekea kuambukizwa HIV ni michubuko wakati wa ngono.Inawezekana kupata maambukuzi. Ila sio kirahisi rahisi. Kiukwel mie nishawahi kuteleza kwa waathirika kadhaa tena mmoja nili-sex nae zaidi ya mara 100 tena peku.
Lakini alhamdulillah nipo salama, sasa sijui ni sababu ya O negative au kuna sababu nyingine.
Aise, mimi muda wote ni kama nina homa maana mwili unakuwa wamoto ila najiona niko sawa tu.Mbona wenye blood group O homa zinawasumbua sana?
Ni ya kweli mkuu..jitahidi utakapopata ujauzito wa pili uchome hiyo sindanoMi ni 0-
Mara ya kwanza kugundua na nlvokuwa naambiwa sjui yatakuja kuwa kweli?
Mara oh ukjfungua mtoto wa kwanza kama baba yake atakuwa grp yoyote rhesus +Haina tatizo ila kuanzia wa pili na kuendelea uspochoma sjui sindano ya ANT D watoto watafariki..ila kama atakuwa rhesus - watoto hawatakuwa na shida yoyote.
Sjui Sasa kama ni ya kweli haya [emoji119][emoji119][emoji119]
MUNGU anisaidie tu.