Ukweli kuhusu Blood Group 'O'


Namimi nitoe ushuhuda kwa ilo, nilishawahi kutembea na wanawake wenye ukimwi tena wa mwisho nakumbuka kwenye ujana wangu alikua ni kahaba kabisa, kondom ilipasuka na kahaba akanambia nivae nyingine ila nikajifanya kama sielewi maana tukaendelea wala hakunikatalia na nakumbuka nilipata mchubuko mkubwa wakuonekana ata nikiwa naoga sababu ya lile tendo najua nayeye alichubuka sana tuu, nilitoka pale nimejipa asilimia zote kua tayari ninao maana malaya kukubali uendelee bila kinga hua ni ngum sana nikawa nawaza mengi kwanini amekubali?!! Inshoti nilitubu ile dhambi na ndo nilitoka pale nimeapa kutorudia na kweli sijarudia na sinto rudia mpaka nakufa.

Baada ya miezi siku niko zahanati ya maeneo fulani nikamwona uyo dada nilo lala nae wa mwisho anaongea na mtu anayehudumia watu wa HIV+ kwa mbali, badae nikamfata jamaa sababu tulikua tunaelewana sana jamaa akanambia kilakitu baada ya kumuliza na akacheka akanambia mbona uyo dada yupo kwenye grid na hata hua hajifichi nikachoka mwili na akili.

Badae nikaumwa sana nikaja kupima nikakuta niko negative, sasa nikijumlisha na wengine nilokuja kujua walizaliwa nao baada ya kulala nao na wengine wengi tuu ambao 1000% wanao nikajiuliza ni mungu ndo ananionesha kua anaionya au inakuaje siupati na ninalala badae nikaja kusikia izi story sehem kua watu wa group0 sijui +or- wana hatari kidog zaidi kupata uo ugojwa naleo nimekuta huu uzi apa wadau wenye elimu za afya watusaidie zaidi hii imekaaje hata mi sijawahi kupata jibu?
 

Duuh ahsante kwa elimu mkuu its so complicated.
 
hata mimi nilishapitiz maeneo ya hatari ila nikienda kupima naambiwa nakupa ni negative
 
O+ ipo vizuri sana ila O- best of all blood groups according to rhesus factor.
O-ve Ni best kwa sababu haina antigens watakaofanya ma group mengine ya damu kuzalisha antibodies hivyo ni blood group isiyokataliwa na ma group mengine (isipokuwa golden blood) ya damu ndiyo maana wakaitwa UNIVERSAL DONORS.

Blood group AB+ ni best na kinyume cha O-ve kwa maana yeye hazalishi antibodies kutokana na uwepo wa groups nyengine za damu hivyo kupelekea kupokea damu kutoka kwa magroup yote ya damu ndiyo maana akaitwa UNIVERSAL RECIPIENT.

The best blood ni GOLDEN BLOOD ambayo ina rhesus factor null (RH NULL) Na watu wasiozidi 50 dunia nzima ndo wana hiyo damu na wanaishi nchi mbali mbali hii ina maana kama mmoja wao akahitajia kuongezwa damu itabidi wamtafute na kumsafirisha mmoja wa hao watu maana hata wakiwekewa 0 -ve bado italeta immune response mbaya mno itakayopelekea kifo.
 
Group type haina uhusiano wowote na maambukizi ya magonjwa.
 

Mimi ni O+ ambacho mpaka sasa nina uhakika nacho ni kwamba O anang’atwa sana na mbu.

Yaani mkikaa nje usiku mtu mwenye O na mwingine labda A, B au AB basi wewe mwenye O lazima cha moto ukione wakati huo unapiga piga mbu mwezako hana habari
 
Mimi ni O+ ambacho mpaka sasa nina uhakika nacho ni kwamba O anang’atwa sana na mbu.

Yaani mkikaa nje usiku mtu mwenye O na mwingine labda A, B au AB basi wewe mwenye O lazima cha moto ukione wakati huo unapiga piga mbu mwezako hana habari
Duuh! Kwahiyo sisi wenye O damu yetu itakuwa ni tamu ndio maana mbu wanaipenda
 
Katika elimu ngumu ni jinsi cell ya mwanadamu inavyofanya kazi ni moja ya somo zuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…