Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 372
- 730
Kama group 0 haipati/ haipokei maambukizi, sasa mwenye group 0 anamuambukizaje 0 mwenzake?Hey!
Wataalamu wa masuala ya Cardiac System naomba ufafanuzi hapa;
Inasemekana kuwa mtu mwenye blood group O anakuwa resistant dhidi ya maambukizi mbalimbali ikiwemo HIV.
Inasemekana pia kuwa mtu mwenye blood group O hawezi kupata maambukizi toka kwa mtu asiye na blood group O, yani ili aambukizwe inabidi muambukizaji awe ni group O mwenzake tu. Naomba kujua ukweli kuhusu hili.
HapanaUmegonga pekupeku!?
O- ndiyo ipo more resistant.Hey!
Wataalamu wa masuala ya Cardiac System naomba ufafanuzi hapa;
Inasemekana kuwa mtu mwenye blood group O anakuwa resistant dhidi ya maambukizi mbalimbali ikiwemo HIV.
Inasemekana pia kuwa mtu mwenye blood group O hawezi kupata maambukizi toka kwa mtu asiye na blood group O, yani ili aambukizwe inabidi muambukizaji awe ni group O mwenzake tu. Naomba kujua ukweli kuhusu hili.
Soma vizuriKama group 0 haipati/ haipokei maambukizi, sasa mwenye group 0 anamuambukizaje 0 mwenzake?
+ siyo resistant?O- ndiyo ipo more resistant.
Kwamba tuko prone kwenye kisukari!Changamoto yetu kubwa hilo group ni kisukari!! Hapo sio WOTE ila 90%
Wewe unafahamu nini kuhusu blood group O?Mkuu nenda kajisajili kwenye daftar la kudumu uanze kumeza njegere
Mimi ni O+Group O -ve ni funga kazi..
Hey!
Wataalamu wa masuala ya Cardiac System naomba ufafanuzi hapa;
Inasemekana kuwa mtu mwenye blood group O anakuwa resistant dhidi ya maambukizi mbalimbali ikiwemo HIV.
Inasemekana pia kuwa mtu mwenye blood group O hawezi kupata maambukizi toka kwa mtu asiye na blood group O, yani ili aambukizwe inabidi muambukizaji awe ni group O mwenzake tu. Naomba kujua ukweli kuhusu hili.
Really??Changamoto yetu kubwa hilo group ni kisukari!! Hapo sio WOTE ila 90%
Yaliyopo kule yaliandikwa na watu kama sisi
Check out this...Changamoto yetu kubwa hilo group ni kisukari!! Hapo sio WOTE ila 90%
kwani mimi na yule na wewe tunafanya research ? watu kama wewe walifanya reserch. Humu hakuna anayefanya research, atakwambia baada ya kusoma vitabu ambavyo vimeandikwa na researchers au reviews za researchers! Do you get me?Yaliyopo kule yaliandikwa na watu kama sisi
Check this...Kwamba tuko prone kwenye kisukari!