Nyie bwana sometimes mawazo yenu muwe mumeyafanyia assesment kisha kuyatoa,, Vodacom, Zain Tigo, na makampuni mengine ya sim ni makampuni ya kibiashara,,
kunama Marketing managers ambao hao kazi yako ni kutafuta njia ya kupandisha pato la Company, na hakuna njia nyingine bali kufanya Promotions na kuendesha Bahatinasibu ambazo Destination ni kupata faida kubwa kama kazi yake inavyo mtuma,
kazi hii hufanywa kwakulingisha gari au Fedha kwani ukitoa sh 5000,000, wakacheza watu 300,000 wakakatwa shiringi 550 kwa kila sms, na kutumiwa sms zenye ujumbe wa kumpa moyo, kwa siku hutuma sms sita mpaka nae,
maana yake kila mmoja huchangia sh 3,300, Hesabu hii ukizidisha mara watu wote wanaoshiriki no sawa na shiringi 990,000,000 wakitoa shiringi 5000,000, wanabakiwa na faida ya shiringi 985,000,000
kwahiyo musije mukasema wanavifadhili Vyama kwasababu wao pia wanataka Faida sasa kwa kuvifadhili vyama watapata fida gani,, kwa mfano Zaid Wahindi wale wapo a chama Gani hapa?
tuwe productive katika kufikiria