UKWELI KHS CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA

ba nso

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
668
225
Habari zenu, je ni kweli kwamba chuo hiki ni moja ya vyuo vyenye elimu yenye fursa kubwa za ajira kwa kua taasisi za Serikali za Mitaa ni nyingi kuanzia ngazi ya kujibu hadi jiji?
Ni nani kapitia huko na vipi naweza peleka vijana wangu? Mwenye taarifa juu ya chuo hiki kilichopo Dodoma tafadhali!
 
njaa tu. kama umesoma art nakuonea huruma sana.........kama masomo ya science ulifauru O level bora uombe hata certificate ya community health
 
Back
Top Bottom