BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Na huyu naye ana chuki dhidi ya huyo dhalimu je alimchukulia mkewe?
Na Kikwete aliyemwambia wapinzani si maadui alimchukulia nani?
Na Mwigulu kampiga dongo humu naye alimchukulia mkewe!?
Ni hasara mmeruhusu akili zenu zitumiwe na mafisadi vile watakavyo wao.
Na Kikwete aliyemwambia wapinzani si maadui alimchukulia nani?
Na Mwigulu kampiga dongo humu naye alimchukulia mkewe!?
Ni hasara mmeruhusu akili zenu zitumiwe na mafisadi vile watakavyo wao.
Bado miaka 8, lazima uloose weight haki ya nani.
Hivi jamaa alikuchukulia demu uliyekuwa umepanga kumuoa nini maana chuki yako dhidi yake sio ya sayari hii.