Ukweli Juu Ya Wanaomchukia Rais Magufuli

Ukweli Juu Ya Wanaomchukia Rais Magufuli

Nikweli kabisa ndugu yangu mambo anayofanya rais yako wazi kabisa hakuna wa kuambiwa tazama wak as to uko uwanjani unaweza kuliza mpira unavokwenda? Si upunguwani huo acha tulioko uwanjani tunaona kila kitu hata walioko nje ya uwanja kwamaana ya nchi za nje wanafatilia hadi wanakuja kutoa pongezi kwa jpm kama biligeti mnakumbuka alitoa dola ngapi? Muogopeni mungu juu ya dhulma mnayoifanya.

 
Wadau
Utafiti uliofanywa tokea Mhesh Rais Magufuli aingie madarakani umeonyesha kuwa % kubwa ya wanaopingana na juhudi zake wanavijitabia vifuatavyo:-
1. Wengi mafisadi
2. Waliozoea kutumia madaraka yao vibaya
3. Wapiga deal
4. Wasiotaka kulipa kodi
5. Wasaliti
6. Wazembe
7. Waliokosa uzalendo
8. Wahaini
9. Wezi na wabadhilifu.
10. Matapeli
11. Washirikina
12. Wasiopenda kufuata sheria
JPM Kanyaga Twende Mamilioni ya Watanzania Tunakuunga mkono.
Karibuni

I concur with 100%
 
Na wanaomsifia magu je?m utafiti hata sifanyi maana ntapoteza muda wangu plus kipato changu maana mnajulikana utimamu wenu
 
Nashangaa mnaongelea camera utadhani ilikuwa yake, mimi nifunge camera halafu wengine wanataka iwe yao. Ungekuwa mwanasiasa ungesha gundua kuwa hiyo haikufanywa na serikali bali na chadema wenyewe. Fungua macho kijana tumia akili zako changanya na za utafiti utapata jibu kuliko kupaza sauti kwa ulicho kisikia tu kama kasuku. Eti alifanyiwa cpr aka survive wapi? Bongo hata first world cpr mitaani ni asilimia 10 tu wana survive. Amka ujue mengi.
Pointless....
 
Wadau
Utafiti uliofanywa tokea Mhesh Rais Magufuli aingie madarakani umeonyesha kuwa % kubwa ya wanaopingana na juhudi zake wanavijitabia vifuatavyo:-
1. Wengi mafisadi
2. Waliozoea kutumia madaraka yao vibaya
3. Wapiga deal
4. Wasiotaka kulipa kodi
5. Wasaliti
6. Wazembe
7. Waliokosa uzalendo
8. Wahaini
9. Wezi na wabadhilifu.
10. Matapeli
11. Washirikina
12. Wasiopenda kufuata sheria
JPM Kanyaga Twende Mamilioni ya Watanzania Tunakuunga mkono.
Karibuni
Aisee umejuaje Haya Mambo . ?? Kweli wewe ni GT.
 
Naongezea wengine.
1. Watumishi wasiopandishiwa mshahara
2. Wakulima walioshindwa kuuza mazo kwa amri ya kutouza nje ya nchi
3. Walionunua boat ya MV Bagamoyo/ Dar
4. Wafanya Biashara walioongezewa kodi bila utaratibu
5. Mashabiki wa makinikia
6. Waliotupotezea Noah zetu kwa ACACIA- BARIK MINE
7. Waliokosa kununua nyumba za serikali
8. Waliopenda bunge live
9. Wanafunzi waliokosa mikopo
10. Wenye vyeti fake waliofukuzwa na mmoja kuachwa japo ana cheti tata
11. Waliosababisha bombardier kushikiliwa Canada.
12. Wanaodhan wananyanyaswa na polisi
13. Wanaotarajiwa kuishi kama mashetani
14. Wenye wivu na maendeleo yanayopatikana
15. Wakulima wanaokosa pembejeo za ruzuku
16. Wasiotaka kufuata sheria na kubadilika
17. Wanaotumbuliwa na familia zao na jamaa zao
18. Wenye kuidai serikali.
19. Wenye kutaka demokrasia kuonekana inatendeka
20. Waliokua na matumaini kuwepo katiba mpya
21. Wanaodhurumiwa bila kupata msaada wa serikali
 
Naona unatafuta kiki kwa kasi sana..uzuri Magufuli kaishashtuka..hatoi tena kwa wapenda kiki
 
Acha uongo wewe! Mbona yeye mwenyewe ni fisadi, mzembe, mkwapuzi, mwizi, lini huyu dikteta kaanza kufuata sharia za nchi? umesikia anavyochota pesa hazina bila bunge kuziidhinisha? Umesikia anavyopindisha sharia za nchi mfano swala na kufoji vyeti la Bashite, kesi ya Mnyeti kutoa rushwa, kutowagusa mafisasi akina Chenge, Tibaijuka, Lugumi, Ngeleja na wengine wengi, ukawapuzi wa bilioni 16 alioufanya wa pesa za wahanga kule Kagera. Acha uzushi tumia akili yako ipasavyo badala ya kuruhusu wahuni na mafisadi waitumie akili yako vile watakavyo wao.
Bado miaka 8, lazima uloose weight haki ya nani.
Hivi jamaa alikuchukulia demu uliyekuwa umepanga kumuoa nini maana chuki yako dhidi yake sio ya sayari hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom