Ukweli juu ya NASA kutuma chombo mwezini

Ukweli juu ya NASA kutuma chombo mwezini

Wamarekani walikwenda mwezini,walitua mara mbili tatu. Halafu baada ya the Battle of the Harvest Moon,walipokua wanaugombania Mwezi,Warusi wakashinda. Sasa hivi Warusi wanazo base Mwezini,wanao watu kule. Wamarekani hawaruhusiwi kwenda kule. Sikiliza audio lettet no. 26 ya Dr.David Peter Beter kuhusu Vita ya Mwezi Mpevu.
 
ndo kwanza nasikia kutoka kwako kuwa kuna nchi nyingine tofauti na America iliyosema wametuma chombo kwenye mwenzi ambayo ni URUSI.
Sio Urusi zipo nchi zaidi ya hizo zilizopeleka vyombo mwezini, labda tu hufuatilii, pitia hiyo link usome kuhusu luna 10.
Luna 10 - Wikipedia, the free encyclopedia

Huu ni mstari wako """"USSR ndo walikuwa wa kwanza kurusha satellite mwezini"""" HIVI UNADHANI UKO KWENYE MWENZI ZINAENDA SATELLITE??? .
Mr hivi unaelewa nini maana ya satellite? mi nielevyo satellite, hasa artificial satellite "In the context of spaceflight, a satellite is an artificial object which has been intentionally placed into orbit. Such objects are sometimes called artificial satellites to distinguish them from natural satellites such as Earth's Moon."
source:Satellite - Wikipedia, the free encyclopedia kwa hiyo huko mwezini zipo satellites nyingi tu zinazunguka mwezi kwa ajili ya tafiti.
Category:Artificial satellites orbiting the Moon - Wikipedia, the free encyclopedia

Naomba ufanye uchunguzi wa kina alafu utuambia kuwa hayo mataifa unayoyasema yameenda mwenzin akiwemo USA wameenda Mara ngapi uko. Kwa kifupi ni URUSI hawajawahi kwenda mwenzin na hakuna taifa lingine zaidi ya America anayesema kuwa mwenzin kaenda.
Mr, ni marekani tu ndiyo ambayo inadai ilipeleka watu mwezini yaani manned mission to moon na hiyo ilikuwa ni apollo mission, lakini kutuma vyombo mwezini zipo nchi ambazo zimeshafanya na hii chini ni list ya spacecraft pamoja na nchi ambayo imefanya mission za huko mwezini.
List of lunar probes - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mi nilidhani mambo ya imani tu ndiyo yana utata kumbe sivyo,wengine humu wanaona hatuna hata hadhi ya kuwapinga marekani katika masuala haya.
 
Sio Urusi zipo nchi zaidi ya hizo zilizopeleka vyombo mwezini, labda tu hufuatilii, pitia hiyo link usome kuhusu luna 10.
Luna 10 - Wikipedia, the free encyclopedia

Mr hivi unaelewa nini maana ya satellite? mi nielevyo satellite, hasa artificial satellite "In the context of spaceflight, a satellite is an artificial object which has been intentionally placed into orbit. Such objects are sometimes called artificial satellites to distinguish them from natural satellites such as Earth's Moon."
source:Satellite - Wikipedia, the free encyclopedia kwa hiyo huko mwezini zipo satellites nyingi tu zinazunguka mwezi kwa ajili ya tafiti.
Category:Artificial satellites orbiting the Moon - Wikipedia, the free encyclopedia

Mr, ni marekani tu ndiyo ambayo inadai ilipeleka watu mwezini yaani manned mission to moon na hiyo ilikuwa ni apollo mission, lakini kutuma vyombo mwezini zipo nchi ambazo zimeshafanya na hii chini ni list ya spacecraft pamoja na nchi ambayo imefanya mission za huko mwezini.
List of lunar probes - Wikipedia, the free encyclopedia

Achana nae, unabishana na mtu asiyejua kuwa hajui. Hoja zake zinaonyesha si mfuatiliaji wa mambo ya space.
 
Walifika mwezini , hilo halina ubishi
Vladimir Markin, a spokesman for the Russian government's Investigative Committee, says he wants an inquiry after the video from 1969 and a piece of lunar rock, which was brought back to earth, went missing.
In an opinion piece in the Russian newspaper Izvestia, Mr Markin says that such an inquiry is vital to reveal new insights into the historical space journey.
 
Chombo inawezekana kabisa ila ni ngumu kupeleka mtu mana kufika ni easy ili kurudi ni mtiti sana sanaaa
 
Wamarekani walikwenda mwezini,walitua mara mbili tatu. Halafu baada ya the Battle of the Harvest Moon,walipokua wanaugombania Mwezi,Warusi wakashinda. Sasa hivi Warusi wanazo base Mwezini,wanao watu kule. Wamarekani hawaruhusiwi kwenda kule. Sikiliza audio lettet no. 26 ya Dr.David Peter Beter kuhusu Vita ya Mwezi Mpevu.
Duuuu!!!!
 
Swala la kuamini kuwa NASA waliweza kutua mtu mwezini nafikiri ni kila mtu na uelewa wake, pia na vile anavyoweza kufatilia taarifa!.
Upande wa nasa wameshajibu hoja zote za wale wote waliokuwa wanasema kuwa nasa hawajawahi kwenda mwezini, zipo video za maelezo kama sio YouTube basi kwenye site yao!. mi nilishaiona ni kitambo lakini..

katika tukio ambalo lilikuwa na mshiko miaka ya 1969 ni pamoja na binadamu wa kwanza kuweza kutua mwezini ambae ni neil Armstrong kupitia NASA!. mpaka kufikia 1972 binadamu takribani 12 wameweza kukanyaga mwezini. ila watu hufikiri kuwa project hazikuendelea ni vile tu hazikuwa maarufu kama ya awali.

Baadae hoja ilikuja kuna mwamba huyo aliibuka nakuanza kuishutumu nasa kwanini haikuendeleza project zake za kwenda mwezini na baadae kwenda mars..??
serikali walijibu kuwa ni kwasababu ya gharama na hoja nyengine nyengine!, jamaa hakuishia hapo akakaa na wataalum wenzake wakaunda mpango wakupunguza gharama lakini haikufua dafu!.. haya maelezo yote nilishawahi kuyaandikia uzi humu kuhusu hili la huyu jamaa na harakati za nasa kwenda mwezini hadi mars.

Sitaki kuwalaumu sana NASA yakusema aidha wanatudanganya ama hawatudanganyi!, ila kama kuna mtu anasema hawakwenda mwezini basi aje na athibitishe maana wenzako wanakuna vichwa wanatengeneza maroketi ila wewe wapiga porojo!.
Tusifichane maswala ya anga yanagharama kubwa mno mimi hata sishangai mashirika ama serikali kusitisha baadhi ya mission!, maana kufanya tafiti kwenye za anga unatumia gharama kubwa na unaweza hata usirudishe fedha yoyote!.

Vilevile hatari zipo nyingi sana na ndio maana safari za mbali hutuma vyombo zaidi!, Just imagine kuifikia sayari ya mars ikiwa karibu utatumia miezi sita!, hapo kwenye hicho chombo ulichomuweka huyo mtu kinatakiwa kiwe na uwezo wa kutopitisha mionzi ili watu ndani yake wasidhurike, pili kuna majabari yanatembea kwa kasi sana yanaweza kukigonga chombo!, so inatakiwa hizo hatari uziepuke zote ili uhesabike kuwa mission unayoifanya sio ya mauwaji!. bado kukosekana kwa gravity huleta changamoto kwenye mwili wa binadamu japo hili tayari wameshaweza kulitatua!.. kaa chini ufikirie ni fedha kiasi gani watatumia halafu na hairudi halafu ndo uje uanze kunena hapa!.

Wao angalau wameweza kujikokota nakufanya hayo waliyofanya, hivi mlishawahi kujiuliza sisi tumefanya nini!.. hata kurusha satellite tu mtihani!.. na ndipo hapo ninapoanaga na wao pia hupata wakati mgumu kubishana na kiumbe ambacho hata satellite hakijawahi kurusha!.

kuna mwaka china alirusha kifaa chake kikaenda mwezini kikapanda baadhi ya miche kama cotton n.k baadhi iliweza kudumu kwa muda tu lkn kwasababu ya hali ya hewa havikuweza kukua!, najua hata wao wanajua kuwa isingeweza kukua lkn waliona japo na wao wafanye kitu!.. by the way projects nyengine huwa ni za siri mnaweza kudanganywa wameenda kufanya hichi kumbe tofauti!, so usifikiri kila muda utameng'enyewa taarifa sahihi!.
 
Back
Top Bottom