Ukweli, Iran should be demilitarized or whipped

Anza kufutika ww na America yako.
Msipende kuingilia mamlaka ya watu.
Kila nchi ina taratibu zake za uendeshaji.
Huyo mfalme wa Saudia wa sasa ni American puppet.
Maana inafahamika wazi uislam ni haram kufanya mziki.kwann aalike Nick minaj?!
Mfalme aliyefariki ndio alikuwa mzuri ,kuna fala wa kimarekani alishuka Airport ya Suudia na Chupa za pombe alitandikwa mpk aliomba arudishwe kwao.
Na ndio maana America ilikua haipatani na Suudia.Ila KIONGOZI bora kufariki tu akawekwa huyu Salman American puppet anatuchafulia ardhi tukufu ya Suudia.
WEWE NA MAREKANI WENZAKO MNAPOCHOKOZA NCHI ZA KIISLAM ZIKAJA JUU MSIANZE KULALAMIKA ETI OOOH HAWA MAGAIDI ILHALI MMEANZA WENYEWE.NA KWANN KILA KUNDI LA KIGAIDI LIWE LINAIANDAMA USA?!
KAA CHINI USIKURUPUKE NA. KUROPOKA.
Nchi za kiislamua kama Iran ndio zinatakiwa zifutwe haraka juu ya uso wa dunia

Wa saudia wamemualila Nik minaji akapigw shoo ya kufa mtu atasasambua tako njenje mbele ya wasaudia ,mzungu sio kabisa
 
Leo hii uingereza ameikamata meli ya Iran ikiwa inapeleka mafuta Syria ikiwa na bendera ya panama. Uingereza kasema Iran inakiuka makubaliano ya kimataifa. Tayari Iran imejipalia Moto mwingine Kwa uingereza
Jamhuri ya Iran ni moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta, na hivyo kuipelekea nchi hivyo kubadilika kitabia kutoka Jamhuri ya Kiislamu kuwa Jamhuri ya Kigaidi, kwa sababu nchi hiyo ilishafungamana Na makundi mengi mengi ya kigaidi ambayo baadhi ni Bokko harram, Alshabab, Islamic states, Alnusurahyy front, ALQAIDA, Na Yale yaliyoko Jangwa la hasara Na kule ufilipino.

Nashauri nchi hiyo iondolewe silaha ama ibatizwa kwa moto wa B52, F16, nk kwani kuicha Irani ni kuicha dunia ikae katika ukisefu wa usalana Na amani.

BILA kuondolewa silaha hiyo nchi ya Iran tujiandae nchi yetu kutokuwa Na usalama wa kutosha hasa mikoa ya kusini mwa Tanzania.

Nitoshe kusema Iran should be demilitarized or whipped bila huruma na uoga wa kukosekana mafuta.
 
Daah.kaka nakuamkia shikamoo.
Hiki kitabu kimenipa bonge la elimu aisee.
YANI HUYU SIR.FULLER AMESEMA KWELI"MANY ARISEN PROBLEMS ARE CAUSED BY GEOPOLITICAL RATHER THAN RELIGION ORIGINS.
Tafta kitabu hiki uongeze maarifa. "The world without islam"..sikumbuki muandishi ila google it .
 
Jamhuri ya Iran ni moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta, na hivyo kuipelekea nchi hivyo kubadilika kitabia kutoka Jamhuri ya Kiislamu kuwa Jamhuri ya Kigaidi, kwa sababu nchi hiyo ilishafungamana Na makundi mengi mengi ya kigaidi ambayo baadhi ni Bokko harram, Alshabab, Islamic states, Alnusurahyy front, ALQAIDA, Na Yale yaliyoko Jangwa la hasara Na kule ufilipino.

Nashauri nchi hiyo iondolewe silaha ama ibatizwa kwa moto wa B52, F16, nk kwani kuicha Irani ni kuicha dunia ikae katika ukisefu wa usalana Na amani.

BILA kuondolewa silaha hiyo nchi ya Iran tujiandae nchi yetu kutokuwa Na usalama wa kutosha hasa mikoa ya kusini mwa Tanzania.

Nitoshe kusema Iran should be demilitarized or whipped bila huruma na uoga wa kukosekana mafuta.
Magaidi wanatengenezwa na USA, kwa vile ni waarabu ndo unazani Iran inahusika? Wewe unaonekana hujui dunia ilivyo na propaganda.
 
Aaah hawa Imperialists nations wanataka kumuangusha sana huyu jamaa maana wanajua dhahiri atawaharibia maslahi pale middle East.Ila watapata tabu sana kumuangusha maana huyu jamaa anahimarika sekunde hadi sekunde aisee.
Bora wangemkata maini toka 1980s ila wameshindwa kipindi kile aaah sasa walalame tu hawataweza Kiukweli
Leo hii uingereza ameikamata meli ya Iran ikiwa inapeleka mafuta Syria ikiwa na bendera ya panama. Uingereza kasema Iran inakiuka makubaliano ya kimataifa. Tayari Iran imejipalia Moto mwingine Kwa uingereza
 
Nchi za kiislamua kama Iran ndio zinatakiwa zifutwe haraka juu ya uso wa dunia

Wa saudia wamemualila Nik minaji akapigw shoo ya kufa mtu atasasambua tako njenje mbele ya wasaudia ,mzungu sio kabisa
Hahahahaha hahahahaha eti tako nje nje
 
Jamhuri ya Iran ni moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta, na hivyo kuipelekea nchi hivyo kubadilika kitabia kutoka Jamhuri ya Kiislamu kuwa Jamhuri ya Kigaidi, kwa sababu nchi hiyo ilishafungamana Na makundi mengi mengi ya kigaidi ambayo baadhi ni Bokko harram, Alshabab, Islamic states, Alnusurahyy front, ALQAIDA, Na Yale yaliyoko Jangwa la hasara Na kule ufilipino.

Nashauri nchi hiyo iondolewe silaha ama ibatizwa kwa moto wa B52, F16, nk kwani kuicha Irani ni kuicha dunia ikae katika ukisefu wa usalana Na amani.

BILA kuondolewa silaha hiyo nchi ya Iran tujiandae nchi yetu kutokuwa Na usalama wa kutosha hasa mikoa ya kusini mwa Tanzania.

Nitoshe kusema Iran should be demilitarized or whipped bila huruma na uoga wa kukosekana mafuta.
Easier said than done.
 
Kawaida ya chuki humchoma anae ihifadhi

#*Get Well Soon#*
 
iwe whiped kwa sababu gani unadhani hao wanaoitishia ndio watu wema.Nchi nyingi wanauwana leo kwa ajili ya mmarekani.Mmarekani hufanya mambo kwa maslahi yake na si vinginevyo.Hivyo vita anavyosema ni vya kigaidi ni kwa ajili ya maslahi yake kutokana na matendo yake maovu ndio maana anajihisi yuko insecure
 
Back
Top Bottom