Ukweli au uongo?

Ukweli au uongo?

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Hbr wanajf wenzangu.
Waraka huu hapa chini unauonaje?
Toa maoni yako tafadhari

attachment.php
 
Attachments

  • 1397040955327.jpg
    1397040955327.jpg
    119.1 KB · Views: 982
Mi naona km kuna ukweli ivi.
Huyu wa kuoa kweli? Judging from the figure
 
Attachments

  • 1397041086693.jpg
    1397041086693.jpg
    67.8 KB · Views: 1,014
Hahahahaha eti ataishia kumaliza visigino kwa kucheza kwaito kweye harusi za wenzake
 
Mi naona km kuna ukweli ivi.
Huyu wa kuoa kweli? Judging from the figure

Sizitaki mbichi hizi, Sungura akatamka
Naona nafanya kazi, bila faida kupata
Yakamtoka machozi, ....................

mimi najikumbusha mashairi haya ya mwaka 47
 
dah...so very true! ila tusisahaukuna wenye yote hayo na bado akili iko
 
Saa zingine ni insecurities zebu tu. Mbona kuna walijaliwa kila kitu (umbile, sura na hata tabia).
 
Sizitaki mbichi hizi, Sungura akatamka
Naona nafanya kazi, bila faida kupata
Yakamtoka machozi, ....................

mimi najikumbusha mashairi haya ya mwaka 47

Hahahahahaaaaa..... mashairi mazuri
 
unajidanganya huu ni woga wako wa kuogopa watoto wazuri utaishia kuwaita shem....

kuna wenye makalio na wana tabia nzuri na kuna hao modal wana tabia mbaya wewe ungesema wanawake tuwe na tabia nzur sio ishu za shep au kujua cub mara plot za kununua
 
lakini nalo neno binti akiona miaka inamnyea hamna hata ndoa inamuhusu jiangalie tabia
 
unajidanganya huu ni woga wako wa kuogopa watoto wazuri utaishia kuwaita shem....

kuna wenye makalio na wana tabia nzuri na kuna hao modal wana tabia mbaya wewe ungesema wanawake tuwe na tabia nzur sio ishu za shep au kujua cub mara plot za kununua

Hahahaha..... mada imeshika hii... kwikwikwi..... hawa wa ivo ni shoo tuu.
 
unajidanganya huu ni woga wako wa kuogopa watoto wazuri utaishia kuwaita shem....

kuna wenye makalio na wana tabia nzuri na kuna hao modal wana tabia mbaya wewe ungesema wanawake tuwe na tabia nzur sio ishu za shep au kujua cub mara plot za kununua

absolutely...............umefunga thread
 
Back
Top Bottom